Jbg Joely Songoyi
Member
- May 2, 2022
- 9
- 6
Jbg
Shukrani kakaMkuu omba kote kote. Ukipata kazi unaacha chuo utajiendeleza baadae. kazi kwanza
Soma kwanza. Ukiingia huko kusoma ni baada ya miaka mi3. Tena hapo uwe hujapatikana na kosa lolote. Na ukienda kusoma kupanda cheo itategemea na uchapakazi na utii au huruma ya mkuu wa gereza akupendekeze uende koziMkuu omba kote kote. Ukipata kazi unaacha chuo utajiendeleza baadae. kazi kwanza
Sasa jema hapo kwako.uonavyo afanyeje..? Kwangu nimempa ushauri huo. Aombe kote kazi ikipatikana sawa anachukua kazi kwanza kwa maana hatuijui kesho itakuaje. Anaweza soma afu ajira zikawa changamoto baadae kama uonavyo hali ya wahitimu mtaani. Hivyo bora atege kote kote. Kazi ikipatikana vyema aende kazini kusoma atasoma sioni tatzo.Soma kwanza. Ukiingia huko kusoma ni baada ya miaka mi3. Tena hapo uwe hujapatikana na kosa lolote. Na ukienda kusoma kupanda cheo itategemea na uchapakazi na utii au huruma ya mkuu wa gereza akupendekeze uende kozi
Kama unaona nakusumbua si ungekaa kimya kuwa mwelewa mzee , Huna cha kujibu kaa kimya...Hiyo kazi ya magereza umeshaajiriwa tayari?. Kama bado usitusumbue maana unapanga vitu as if umeshaqualify
Ahsante kakaNdugu omba hizo nafasi za jeshi utakuja kunikumbuka mchango wangu.
Nilikutana na nafasi kama yako, nilipata nafasi ya kujiunga chuo pamoja na nafasi ya kwenda jeshi la polisi. Nilichagua kwenda chuo baadhi walienda course ya polisi. Hivi sasa toka nimemaliza chuo Nina miaka saba jobles, wenzangu walioenda course ni polisi wenye miaka kumi kazini. Kwa somo hili tu chukua hatua nafasi ya ajira serikalini ukipata sifa za kuomba jichomeke mapema kujidanganya et ukasome kwanza utamaliza chuo utarudi kitaa mfumo umebadilika kabisa.
Ahsante broOmba kote kote uingie kwenye mfumo chaap, magereza ikizingua unaingia chuo
AhsanteJaribu uko Magereza ukikosa ndio ufikirie chuo,na ukipata magereza maadamu sifa unazo utajasoma hata uko baadae
Ahsante sana ndugu yangu umenishauri nimeshachukua maamuzi Nafocus na shule kwanza.Mungu akubariki kwa moyo wako mzuri wa kushare vitu na wenzako..."Narudia tena, kijana nenda kapige shule. Tena kada ya afya na jkt tayari umepitia!! Mbeleni ni rahisi sana kuja kuingia hata JWTZ. Jela(magereza) michosho sana. Labda uende huko ukiwa na taaluma
NB:Ukishaajiriwa jela huruhusiwi tena kuajiriwa chombo chochote cha ulinzi na usalama.
View attachment 2248772
Ushauri huu atakayeuzingatia lazima atalia.Narudia tena, kijana nenda kapige shule. Tena kada ya afya na jkt tayari umepitia!! Mbeleni ni rahisi sana kuja kuingia hata JWTZ. Jela(magereza) michosho sana. Labda uende huko ukiwa na taaluma
NB:Ukishaajiriwa jela huruhusiwi tena kuajiriwa chombo chochote cha ulinzi na usalama.
View attachment 2248772
Hivi nikiingia huko na Cha form 4 nikamaliza kozi kwenye usajili wa vyeti nikawaletea cha degree hawana noma ?Soma kwanza. Ukiingia huko kusoma ni baada ya miaka mi3. Tena hapo uwe hujapatikana na kosa lolote. Na ukienda kusoma kupanda cheo itategemea na uchapakazi na utii au huruma ya mkuu wa gereza akupendekeze uende kozi
Huwa najutia nafasi niloipataga nakuichezea nilipokua mujibuUshauri huu atakayeuzingatia lazima atalia.
Mimi ni mmoja wa waliogoma kwenda university baada ya kumaliza six.
Sasa nashangilia uamuzi wangu.
Kumbuka wasomi kila siku wanafyatuliwa.
Siku hizi JWTZ wanachukua maafisa wale wa mujibu then wao huwasomesha.
Wengi waliodanganywa kuwa wataingia JWTZ baada ya kumaliza degree wanasaga meno.
Omba, ingia kazini, utasoma ukiwa kazini.
Tofautisha JWTZ na Jela. Mfano ingekuwa inaruhusiwa kuhama idara kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, magereza labda angebakia CGP pekeyake na wafungwa. Wote wangehamia tiss, tpdf, immigration, fire na police. Vikosini vijana wengi huwa wana doji magereza wakijakufanya usahili. Wengi wanasubiria JW. Tofauti ya askari jela na mfungwa ni uniform tuu na mshahara.Ushauri huu atakayeuzingatia lazima atalia.
Mimi ni mmoja wa waliogoma kwenda university baada ya kumaliza six.
Sasa nashangilia uamuzi wangu.
Kumbuka wasomi kila siku wanafyatuliwa.
Siku hizi JWTZ wanachukua maafisa wale wa mujibu then wao huwasomesha.
Wengi waliodanganywa kuwa wataingia JWTZ baada ya kumaliza degree wanasaga meno.