Leo nlikuwa na Jeep mitaa flani town.nikawa na mambo yangu mengi kichwani maana next week natakiwa kwenda Canada na Norway sasa sijajua protokali zake kwa sasa. Nmeangalia kwenye Calendar ndo naona hiyo Issue.
Nikiwa sina hili wala lile kumbe kwenye zebra kuna jamaa alikuwa anaendesha VW yake...