Ni njia inayotumika kuzuia mimba, unapokaribia kumwaga unaichomoa umwage nje.
mtoto wangu wa kwanza ndie alikuwa gharama ya kujifunzia hii njia nikiwa bado hata sijamuoa mama yake ambae ilinibidi nimuoe baada ya kumpa mimba.
Niliwahi kushuhudia familia ikipoteza baba na mama kwa wakati mmoja katika ajali ya gari wakiwa wanatokea kula Krismasi na mwaka mpya, kijijini kwao, wakati huo watoto wao wa pekee (mapacha), walikuwa wamebaki shuleni (skuli ya wazazi na walezi wenye kipato cha kati) wakifanya maandalizi ya...
Waandishi wa habari 4 mkoani Mtwara wamepata ajali ya gari na baadhi yao kuumia wakiwa katika msafara wa Mkuu wa Mkoa huo Brigedia Jen.Marco Gaguti.
Gari lililopata ajali liliwabeba John Kasembe(Azam TV), Anne Roby(Daily News),Adam Malima(Chanel Ten) na Baraka Jamal(Safari Redio)...
Wakuu wanasheria natumaini mko poa.
Nilinunua pikipiki juma tano na niliambiwa kuwa kadi haijafika tukapewa chases number tukarudi. Jumamosi nikiwa safarini nikaambiwa dogo amegonga mtu na huyu dogo hana lesen. Kachukuliwa yeye na pikipiki yeye aliwekwa mahabusu then kuna mtu kaenda kumuwekea...
Huu ni uzi wangu wa pili kuhusu kulipwa fidia, hii ni kwa sababu watu wengi kila siku wanapata ajari na wakifatilia fidia wanaishia kati kutokana na hatua nyingi au wengine kupotezea kutokana hawajui waazie wapi.
Mi ya kwangu ni hivi nilipata ajar mwezi wa kumi, sasa kuna ndugu yangu anafatilia...
Akishiriki Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Kitaifa Jijini Arusha, amesema takwimu zinaonesha zaidi ya 90% Ajali za Barabarani husababishwa na makosa ya kibinadamu ikiwemo mwendokasi, kutovaa mikanda na kupita gari lingine bila tahadhari.
Amesema, "Uendeshaji wa Vyombo...
Unaweza ukashangaa lakini huo ndiyo ukweli wenyewe.
Meneja wa Chama Kikuu cha Ushirika Mkoani Kilimanjaro, Godfrey Massawe,hivi karibuni alisafiri kutoka Mjini Moshi kwenda Mkoani Tabora kwa shughuli za kichama akitumia usafiri wa pikipiki lengo likiwa ni kubana matumizi lakini kilichomtokea...
Kila sekunde 24 mtu mmoja anakufa kwenye ajali ya barabarani! Ndivyo ulivyoanza ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres katika maadhimisho ya leo ya siku ya kukumbuka waliopoteza maisha au kujeruhiwa kutokana na ajali za barabarani.
Katibu Mkuu anasema katika kuadhimisha...
Nimejaribu kusoma kwa utulivu kisha nikaangalia picha, naona kama yanapingana na uhalisia, anyway Wajuvi nisaidieni, lory HOwo ame-ovrtake kweli hapo??
Afande taarifa ya ajali:
KAB/TR/ar/16/2021(×)ajali ya magari manane kugongana na kusababisha majeruhi na uharibifu wa magari (×) mnamo tar...
Jamani, kumetokea utitiri wa kampuni za bima za magari nyingi sana nchini kiasi kwamba na makanjanja wamepetia humo humo.
Makampuni haya ni mepesi sana kupokea hela kutoka kwetu wateja...lakini mteja lilikukuta la kukukuta la ajali ya gari wanaingia mitini kwa speed ya 5G. Wakitoa vijisingizio...
Habari za asubuhi wana JamiiForums
Kwa maslahi ya taifa naona tujadili hili swala. Naona halizungumzwi mahali popote ukiachilia matatizo mengi tuliyonayo kama taifa kwa sasa.
Kumezuka tatizo la ajali za kila mahala takribani ajali 4-5 kwa siku zinaripotiwa kwenye mitandao ya kijamii...
Ajari mbaya ya basi la isamilo imetokea muda hu,
Ilikua inatokea Mwanza kwenda Mbeya. Inasemekana wamefaliki watu wa nne (wahudumu wa basi,na abilia mmoja)pia kuna majeruhi kadhaa
Ila madereva wote wawili wamepona (aliekua anaendesha basi na lori pia). Ajali imetokea nje ya kidogo ya kijiji...
Taarifa zilizotufikia muda huu katika eneo la Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ni KwaMBA, basi la Kimotco likiwa kwenye mwendo Kasi limepindukia na kusababisha vifo vya watu wawili baada ya kupasuka tairi ya mbele.
Mkurugenzi wa basi Hilo Benedict Mberesero amethibitisha tukio hilo...
Mwanafunzi moja wa shule ya msingi Kibaoni Manispaa ya Singida amefariki dunia jioni ya Leo baada ya kugongwa na Gari iliosemekana ni ya kusafirishia hela za benki.
Mwanafunzi huyo aligongwa akiwa sehemu salama kabisa inayoruhusu waenda kwa miguu kuvuka barabara yani zebra, lakini kwa kutojali...
Mzuka wanajamvi!
Hizi ajali za ndege binafsi na Helicopter zinaua sana matajiri sasa hivi.
Ajali mbaya ya ndege binafsi The single-engine Cessna P210N ilianguka DeKalb-Peachtree Airport Atlanta Georgia mda mfupi baada ya kupaaa.
The plane 'was taking off, went straight up, and it took a...
1. Kipande cha Mikocheni B kwa Warioba hadi njia panda ya Clouds au Coca Cola
2. Supa Lugalo
3. Bondeni Kawe
4. Makonde
5. Kona ya Goba ukimaliza lilipo Kanisa Katoliki
6. Afrikana
7. Mbuyuni njia panda kuelekea Kunduchi, Bahari Beach na Ununio
Na kwa Taarifa tu haya maeneo yote tajwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.