MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
"Nimenusurika katika Ajali mbaya baada ya Gari yangu Kugongwa vibaya Usiku wa Jana", Haji Manara.
===
HAJI Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo baada ya gari lake kugongwa na kuharibika "vibaya". "Usiku wa jana nilinusirika na ajali mbaya ya gari baada ya gari yangu kugongwa vibaya na kusababisha kuharibika vibaya gari yangu." ameandika kwenye akaunti ya Instagram.

Chanzo: Nipashe
 
😱 unafurahi mwenyewe
Nilikuja na Uzi hapa Wiki iliyopita kuhusu kuambiwa Jambo na Wazee Wanne wa Klabu Moja juu ya Hasira yao Kali kwa Msukule mpya wa Jangwani ila wengi wenu kama kawaida mkanipuuza ila walichoniambia walikuwa wanakimaanisha na Kauli yao ya mwisho Kwangu ni kwamba ndani ya Siku Saba alitakiwa akaombe Msamaha na zikipita Wasilaumiwe na nadhani Kazi ndiyo wameshaianza hivyo.
 
Misukule Football club wazee wa comeback poleni Kwa mchambaji wenu
Tafadhali Haji Manara najua Umenikera vya kutosha tafadhali Watafute upesi hao Wazee Wanne uwaombe Msamaha kwa uliyoyafanya na Mmoja wao yupo Magomeni ( na unamjua sana ) vinginevyo yatakupata makubwa zaidi kwani niliambiwa Mazito zaidi.
 
stress kwa sababu timu haikupata muda wa kujiandaa vizuri

anyway all the best in your new endeavor
 
HAJI Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo baada ya gari lake kugongwa na kuharibika "vibaya".

"Usiku wa jana nilinusirika na ajali mbaya ya gari baada ya gari yangu kugongwa vibaya na kusababisha kuharibika vibaya gari yangu." ameandika kwenye akaunti ya Instagram.
 
Pole sana kwa Hajji
Mwambieni Mightier wa JamiiForums namwambia Haji Manara upesi sana awatafute hao Wazee Wanne na Mmoja wao ni wa Magomeni na anamjua akamuangukie vinginevyo kuna nililoambiwa nao dalili zake naanza Kuziona hadi nami ninaogopa sasa.
 
Yanga kama Yanga ushauri wa bureee huu hapa

Nilikuja na Uzi hapa Wiki iliyopita kuhusu kuambiwa Jambo na Wazee Wanne wa Klabu Moja juu ya Hasira yao Kali kwa Msukule mpya wa Jangwani ila wengi wenu kama kawaida mkanipuuza ila walichoniambia walikuwa wanakimaanisha na Kauli yao ya mwisho Kwangu ni kwamba ndani ya Siku Saba alitakiwa akaombe Msamaha na zikipita Wasilaumiwe na nadhani Kazi ndiyo wameshaianza hivyo.
Sasa na we unatesekea ukiwa upande gani?
 
Back
Top Bottom