Kumbukizi: Manara alipolia kubaguliwa baada ya kukanywa kwa kuchekelea ajali ya Yanga

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Hassan bumbuli alimpa makavu live baadaya kuwacheka Yanga kwa ajali ya kupasuka tairi la mbele la gari ambayo kimahesabu ingeweza kusababisha madhara makubwa

kama kawaida yake ya kutumia ulemavu wake ku play victim card alianza kulialia mitandaoni and oh boy it worked ,hata majuzi tu alitumia social media kusema kitenge aliangusha hirizi redio one, kitenge huwa anaenda kwa bwanake marekani yeye ikizungumzwa issue ya "mzee" wa bandari wanakuja wapambe wake na kuanza kulia kwa moderators uzi ufutwe kwamba mlemavu wa ngozi ananyapaliwa

Cha kufurahisha huko aalipoenda na kusifia usajili wa wachezaji wazuri anaosema yeye bado kuna wale wa mafungu na wa kuokotwaokotwa kama alivyowaita mwezi wa 7 wanamuangalia tu
voicenote.jpeg
 
Kwa kuwa ninazo za kukuzidi wewe, basi zinanitosha.
Ukitaka ujue kwamba huyo zeruzeru ni empty set subiri simba waongee jioni leo uone atakavyoanza kuhangaika na hiyo press wakati hukuona msemaji wa simba akihangaika na issue zao za jezi wala utambulisho wake, subiri jioni uone nani hataki kuachika
 
Kwa Sasa hakuna haja ya kufukua makaburi, Kila mtu afanye yake maisha yaendelee
Unachokiandika wewe ndicho lengo la hii post, je huyo zeruzeru wenu anahangaika na yake?jibu ni NO hawezi otherwise aki stick kwenye job description amekwisha
Ndiyo maana aliweza hata kushangilia ajali ya ya yanga, linapokuja suala la pesa yeye hata vifo vya watu hajali kabisa
 
Unachokiandika wewe ndicho lengo la hii post, je huyo zeruzeru wenu anahangaika na yake?jibu ni NO hawezi otherwise aki stick kwenye job description amekwisha
Ndiyo maana aliweza hata kushangilia ajali ya ya yanga, linapokuja suala la pesa yeye hata vifo vya watu hajali kabisa
Usimwite zeruzeru muite manara halafu hoja yangu haijafungamana na timu yoyote
 
Endelea kupasua Mbarika Mkuu. Huna kosa, kwani wewe unanukuu tu kutoka Maktaba.

Mnafiki hana rafiki.. Msaliti hachagui Kazi.
 
Alipowapiga wengine mlishangilia..

Sasa ni zamu yenu unalia nini?
sasa utulie basi tulishangilia lakini hatukuwa tunalia mwa moderators, tulia hapohapo show iendelee mbona mbichi hiii ? halafu usitarajie kusikia jibu lolote toka kwa kiongozi wa ma champions tuta deal naye mashabiki
 
Back
Top Bottom