ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ajali Morogoro: Gari la abiria lagonga lori kwa nyuma, wawili wafariki dunia

    Watu wawili wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Toyota Coaster kuligonga kwa nyuma lori lililokuwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara kuu ya Dar es Salaam- Morogoro eneo la Oilcom Nanenane. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Fortunatus Muslimu...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu 22 Wamefariki dunia kwenye ajali ya Basi la Ahmed linalofanya safari kati ya Tanga-Mbeya. Limegongana na Lori

    Ajali mbaya maeneo ya Mzumbe maiti ni nyingi. Walioko Mzumbe tujuzeni basi la Mbeya. UPDATE: 1). Basi la kampuni ya Ahmed Coach linalofanya safari Kati ya Tanga kuelekea Mbeya, limepata ajali maeneo ya Sangasanga Mkoani Morogoro muda si Mrefu, chanzo na Habari zingine tutatoa baada ya...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Handeni: Ajali mbaya ya magari imetokea, wanne wafariki, mashuhuda wa ajali nao wapitiwa na Coaster

    Ajali mbaya imetokea Sindeni, Handeni mkoani Tanga usiku wa kuamkia leo, idadi ya vifo na majeruhi haijatajwa, usiku wa kuamkia lo Machi 16, 2022. “Coaster ilivamia Hiace ilivyokuwa imeharibika pembeni na kuwasomba abiria wote. Ajali ni mbaya kwa kweli,” amesema Siriel Mchembe, Mkuu wa Wilaya...
  4. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Dereva Basi la Kilimanjaro Express aliyesababisha ajali na kuua watu wanne, afutiwa leseni

    Dereva ambaye alisababisha ajali ya Basi la Kampuni ya Kilimanjaro Express iliyotokea jana Machi 14, 2022 Mkoani Songwe na kusababisha vifo vya watu wanne, Mjahid Waziri mwenye umri wa miaka 39, amefutiwa leseni ya udereva. Ajali hiyo ilitokea wakati basi likitoka Tunduma kuelekea Dar es Salaam...
  5. blogger

    JamiiForums Tanzania Ajali katika soka zipo. Goli la Simba ni offside, ilaa mcheza kwao...

  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Songwe: Basi la Kampuni ya Kilimanjaro Express lapata ajali, watu wanne wafariki dunia

    Bus la kampuni ya Kilimanjaro limepinduka asububuhi hii mkoani Songwe likitokea Tunduma kuelekea Jijini Dar es salaam ambapo taarifa za awali zinaeleza ajali hiyo imesababisha watu kadhaa kufariki na uwepo wa majeruhi, taarifa kamili zitakujia hivi punde. =================== Basi la Kampuni ya...
  7. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Namna nilivyonusurika kufa kwenye ajali ya gari, Bongo unakufa huku unajiona

    Kwema wadau? Mwaka huu mwanzoni nikiwa nimetoka kusheherekea sikukuu ya mwaka mpya na nikiwa nimefanya maombi ya mipango yangu mingi kwa mwaka huu na kumsihi sana Mungu wangu aliye hai anijalie afya, uhai, furaha na amani tu mengine nayaweza hayanisumbui kabisa, basi sikuwa najua siku chache...
  8. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mtazame mzee Hassan Dalali baada ya kupata ajali ya bodaboda, Simba yatoa tamko

    Uongozi wa Klabu ya Simba umetoa pole kwa aliyewahi kuwa mwenyekiti wa klabu hiyo Hassan Dalali kufuatia ajali aliyoipata Jumatatu Machi 7, 2022 jijini Dar es Salaam. Dalali alianguka na Bodaboda aneo la Rangi Tatu njia ya kuingilia Chamanzi, polisi ndiyo waliomtambua baada ya kumfikisha...
  9. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Askari waonywa kutotumia lugha za kifedhuli, waambiwa rushwa ni chanzo cha ajali

    Kamishna wa Polisi Zanzibar, CP Awadhi Juma Haji ametoa maelekezo kwa Jeshi la Polisi kufanya oparesheni za kukamata madereva wote ambao wataendesha abiria bila kuvaa kofia ngumu katika pikipiki, kuendesha kwa mwendo kasi, kuendesha gari bila leseni na makosa ya kuegesha magari hovyo...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Daktari: Ajali za bodaboda zimeongeza wagonjwa wa kifafa

    AJALI za bodaboda zinachangia ugonjwa wa kifafa kwa waathirika wa ajali hizo kutokana na majeraha kwenye kichwa ambayo yanaathiri ubongo, imeelezwa. Hayo yamebainishwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Mfumo wa Fahamu na Ubongo kwa watoto, Dk Edward Kija wakati akizungumza katika kipindi cha...
  11. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Nape, Tido Mhando wawatembelea wafanyakazi wa Azam TV waliopata ajali

    Waziri wa Habari, Nape Nnauye akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Tindo Mhando, jana usiku walifika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam kuwajulia hali waandishi wa habari wanne wa Azam waliopata ajali ya gari Mlima wa Kitonga, Iringa wakiwa safarini kwenda Mbeya. Awali, majeruhi...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania RC Makalla asema amechoka kusikia ajali za moto katika Mkoa wa Dar

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amesisitiza umuhimu wa kutengeneza miundombinu ya njia kwenye masoko inayoweza kusaidia kukabiliana na majanga ya moto huku akisema amechoka kusikia ajali za moto katika mkoa huo. Kauli hiyo ameitoa jana Februari 13, 2022, wakati anatoa pole kwa...
  13. Faana

    JamiiForums Tanzania New Force yapata Ajali Tanangozi Iringa

    Kama heading isemavyo, majira ya mchana huu katika barabara ya iringa - Mbeya Bus la New Force limegonga lorry kwa nyuma na inasemekana chanzo cha ajali ni mwendo kasi na ku overtake bila kuchukua tahadhari, haijafahamika kama kuna vifo au majeruhi Kwa mliopo Iringa mwaweza kutufahamisha zaidi...
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kimara Suka, Dar: Watu wawili wamefariki na nane kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha magari matatu

    Picha: Sehemu ambayo ajali imetokea Watu kadhaa wahofiwa kufa na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali ya lori lililovamia kituo cha daladala cha Kimara Suca jijini Dar es Salaam leo Januari 28, 2022. Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Usalama wa Barabarani Taifa, ACP Abdi Isango ndiye aliyefika...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Cameroon: Ajali ya moto klabuni yaua takriban watu 16

    Serikali Nchini Cameroon imesema takriban watu 16 wamefariki dunia kwenye Klabu iliyopo Mji Mkuu wa Taifa hilo, Yaounde kufuatia ajali ya moto iliyosababishwa na fataki Kwa Mujibu wa Wizara ya Habari na Mawasiliano, Ripoti ya Awali inaonesha ajali imesababishwa na milipuko ya fataki ambazo mara...
  16. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Arnold Schwarzenegger apata ajali jijini Los Angeles

    Muigizaji mkongwe na gavana wa zamani wa California, Arnold Schwarzenegger mwenye umri wa miaka 75 amepata ajali jijini Los Angeles. Mmoja akijeruhiwa lakini Schwarzenegger alitoka akiwa na hajapata majereha. Schwarzenegger alikuwa kwenye gari aina ya SUV iligongana na gari aina ya Prius na...
  17. MC44

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa Serikali kufuatia ajali iliyohusisha waandishi

    Ajali ya gari iliyohusisha gari ya serikali iliyobeba waandishi wa habari na hiace iliyobeba abiria tulitangaziwa jumla ya watu 14 walipoteza maisha 6 waandishi na 8 wananchi. Lakini leo wale waandishi 6 ndio wameagwa na waziri wao kuibuka. Tena kaka na matamko mengi na ya hovyo. Ila wale 8...
  18. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Tuungane kukemea ajali hizi, nyingi zina uzembe ndani yake

    Ni takribani mwezi na Kidogo tangu gari ya serikali ipate ajali mbaya sana na kuwamaliza abiria wote. Ilikua STL iliyoaminika kuwa ilikua ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Leo Tena gari ya serikali imeondoka na roho 14 za Watanzania ambao ni nyuma Yao wanategemewa na familia zao na ndugu zao. Kuna...
  19. bagabe

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Watu 14 wafariki dunia kwenye ajali katika msafara wa Mkuu wa Mkoa Mwanza

    Watu 14 wamefariki dunia baada ya gari ya waandishi wa habari iliyokuwa kwenye msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC), Robert Gabriel kugongana na gari ya abiria Hiace katika eneo la Nyamikoma wilaya ya Busega Mkoani Simiyu. Mkuu wa Wilaya ya Busega (DC), Gabriel Zakaria amethibitisha kutokea...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania ILINICHUKUA MIAKA MIWILI NA AJALI YA MTOTO 1 KUWA MZOEFU WA NJIA YA KUCHOMOA KABLA KUMWAGA

    Ni njia inayotumika kuzuia mimba, unapokaribia kumwaga unaichomoa umwage nje. mtoto wangu wa kwanza ndie alikuwa gharama ya kujifunzia hii njia nikiwa bado hata sijamuoa mama yake ambae ilinibidi nimuoe baada ya kumpa mimba.
Back
Top Bottom