Ajali za ndege na helicopter zinaua sana mamillionea duniani sasa hivi

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,654
28,911
Mzuka wanajamvi!

Miaka ya karibuni ajali za ndege na Helicopter zimeua sana mamilione, bilionea na watu maarufu wengi sana duniani.

Leo hii ajali ya ndege private jet imeua Dan Petrescu property developer kutoka Romania na wengine nane pamoja na mke na watoto wake huko Milan kwa kubamiza ghorofa.

Petrescu ni kati ya watu matajiri romania.

Pia mwaka huu tajiri billionaire mkubwa kutoka Czech alikufa pamoja na mke na marafiki zake kwenye ajali ya helicopter Alaska.

Kwaanzia 2018 mabbillionare, mamillionare na watu maarufu wanapata ajali sana kwenye helicopter na private jets.

Kobe Bryant naye helicopter ilimuondoa pamoja na binti yake na raia wengine.

Kifo akibagui kabisa uwe kapuku kama Idugunde na Etwege na middle class kama mimi na lower mabillionea kama Mo na mabbillionare wenyewe kama kina Gates.
 
Baadhi ya sababu za ajali hizo ni

1. Umafia wa kibiashara na kidola au kijeshi. Yaani wanahujumiana na kutengenezeana ajali( refer kifo cha John Garang Mabior na wale Marais wa Rwanda na Burundi kwenye ndege moja)

2. Hitilafu ya vyombo husika katika utengenezwaji wake. Hii imekua dosari kubwa hata kwa yale makampuni makubwa yanayoheshimika kama Boeing etc(refer kupotea kwa ndege ya Malaysia na ajali ya Singapore Airlines)

3. Umahiri mdogo wa waendeshaji vyombo. Hii hasa kwenye miaka 15 iliyopita. Waendesha vyombo hasa choppers ni kama wako half cooked
 
Huyu bwege kumiliki smartphone anajiona ni tajiri mwenye akili mpuuzi mkubwa.
Tayari nimeshakuwini kisaikolojia na ndio hicho nilikuwa nataka na kutafuta. Hapa nilipo am punching the air aggressively and violently with jubilation!
 
Back
Top Bottom