Yaani kuna mambo yanakera sana hii dunia ama hakika ukiwa mfuuatiaji wa kila kitu utaishia kuumwa ugonjwa wa ulcer tu yaani kuna vitu vinakera kweli kwenye hii dunia kwakweli
Nikuambie kitu jana maeneo x kuna padri wa kanisa x maarufu hapa nchini amefumwa gest x akiwa na mke wa mtu akila uroda...
Kwenye hii miji miwili ya MBEYA na DAR ES SALAAM kuna mambo yanachekesha sana. Unajiuliza wafanya maamuzi walikuwa wanatafakari kweli? Mbona walifanya maamuzi ambayo yako Illogical!
Mwaka 2008 Dar es Salaam jiji walipiga marufuku mabasi madogo almaarufu vipanya "Hiace".
Sababu ilikuwa ni...
MAHAKAMA ya Wilaya ya Tabora imemuhukumu mkazi wa Kidatu “B” kata ya Mtendeni Mkoani Tabora Husseni Mashibu (32) kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hati ya kumlawiti mtu mzima hadharani huku watu wakishuhudia kwa kumtuhumu kuwa ana mahusiano na mke wake.
Akitoa hukumu hiyo leo...
Kwa Maslahi ya Taifa Nipashe ya Jumapili ya 15 January 2023 ni swali
"hivi kweli sisi Tanzania tuna wanasheria wa ukweli au tuna wasomi tuu wa sheria, waliosomea sheria na kuhitimu?. Kama ni kweli tuna wanasheria, jee wanasheria waliopo ni wapo kweli au ni wapo wapo tuu?!. Kama kweli Tanzania...
Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano...
Imenitokea usiku wa leo wadau, hapa nimebaki nimeshangaa tu tangu asubuhi mpaka muda huu.
Wanasema si vema kusimulia ndoto lakini kwa hili limenishinda; kikubwa nilichoweza kufanya ni kutosimulia hapa mtaani na badala yake nimekuja humu.
Fadhaa zaidi inanikuta kwenye aina ya mapenzi niliyoota...
Popote pale, muda wowote haiwezekani kutokea mjadala kuhusu nani ni mchezaji wa soka bora zaidi bila jina la Pele kutajwa.
Mshambuliaji huyo wa Kibrazili amefanya alama yake kuwa mashine ya kufunga mabao ambayo ilitoa mambo muhimu sana, na kasi ya ushindi wa ajabu ambayo ilianzia katikati ya...
HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA.
Chapter 1
Kama miezi miwili hivi iliyopita nilikuwa zangu katika mihangaiko yangu nje ya jiji la mbeya.
Usiku mmoja majira ya saa nne na nusu nikiwa chumba cha kulala wageni simu ikaita mie nikajua ni wife labda anataka kunitakiwa usiku mwema kwani nilikuwa...
Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizoelezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu!
Ni wazi ipo haja kwa tusiompenda huyo jamaa tujiulize ni wapi anapotuzidi kete ilihali hayupo nasi ajabu bado nderemo kwake zinazidia zetu tulio hai tena mbele ya...
Ikiwa Ni mwaka mmoja na mwezi mmoja Toka namba D ya vyombo hivo vianze kwa Sasa wanasajili no MC**** DR*
Ambapo kwenye magari walitumia muda mrefu sana kufika usajili huo, Ni wazi Hadi mapema mwaka ujao watakuwa wamemaliza no D yao na kuanza fukuzana na no D ya magari na kuwaacha forever...
Tanzania ukiifuatilia sana utaona watu wengi wanaangalia mambo kinyumenyume sana. Sijui huwa sababu ni nini?
Pombe(Ethanol) ni sukari iliyogeuzwa kwa fermentation. Pombe ina nguvu kama tu chakula chenye wanga.
Inasemwa kuwa mtu anapokunywa pombe, mwili unaacha kutumia mafuta na wanga kama...
Kampuni ya Air Tanzania (ATCL) inaweza kufikiria kukodisha ndege iwapo mahitaji yataendelea kuzidi uwezo wa shirika hilo, hasa katika msimu wa sikukuu, ambao unachukuliwa kuwa kipindi cha kilele kwa wasafiri wa ndani na nje ya nchi.
Hivi karibuni, kumekuwa na hali ya kufadhaika miongoni mwa...
-Kutukana Matusi ovyo
-Ngono zembe - kufumaniwa kirahisi, magonjwa, n.k.
-Kuendesha gari bila umakini - ajali
-Hasira za haraka - kutembezewa kipigo, kujeruhi ama kuua.
-haja kubwa na ndogo bila kwenda chooni.
-kuzima - wahuni wanaweza kukusajili kwenye upinde bila kujijua
Imeandikwa: MTAIJUA KWELI NAYO KWELI (Siyo uongo) ITAWAWEKA HURU, kumekuwepo ongezeko kubwa la makanisa na madhehebu mbalimbali huku kila moja wakija na vimbwanga vyake.
Achana na maji ya upako, yanayotumika na makanisa au Chumvi, au Uvumba na vitu vingine kedekede ifuatayo ni list ya...
Duniani kuna magonjwa mengi mengine ni psychological made. Anyway, mimi nmepokea mgeni ambaye amekuja likizo maalum. Jamaa yangu wa kitambo sana.
Ilikuja tu tokea akawa amemaliza chuo kaajiriwa sehemu akafundishwa kunywa pombe...akaja kuwa komba. Wamehangaika naye sana. Mpaka mke amechoka...
Jana nimeona Mechi ya Azam na Ruvu, kiukweli pasi na shaka Azam na wao wameshakata shauri liwalo na liwe kama wakubwa wengine, kwa udi na uvumba na wao wanataka matokeo sasa. Najua kama ilivyo desturi mtataka ushahidi lakini angalieni hizi mechi zinavyochezeshwa yaani mpaka Refa anayo matokeo...
Around saa mbili na ushee asubuhi ya Leo, Nimeshuka zangu Chanika kituo kinaitwa Kwa Ngwale.
Natembea zangu mdogo mdogo naelekea eneo husika. Kwa mbali nasikia sauti za ibada hasa ulichukulia Leo ni siku ya ibada Kwa ndugu zetu Wakristo.
Mara paap nakaribia katika kanisa moja na huko ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.