Kuhusu gari aina ya Nissan Dualis

Teremaro

Member
Mar 18, 2022
16
14
Ndugu wanaJamiiiForums, habari za wakati huu

Naomba mwenye kujua kuhusu gari aina ya Nissan Dualis kuanzia matumizi ya mafuta, upatikanaji wa Spare na changamoto zingine. Na vipi kununua used kwa mtu maana nyingi zinauzwa sana mtaani. Je, zinakuwa kuna changamoto inayopelekea hizi gari kuuzwa, na je Bora kuagiza nje au hata used inafaa?

Naomba ushauri wenu, naielewa sanaa hii gari
 
 
Ndugu wanajamiii forum habari za wakati huu, naomba mwenye kujua kuhusu gari aina ya Nissan duals, matumizi ya mafuta, na upatikanaji wa Spears na changamoto zingine, na vp kununua used kwa mtu maana nyingi zinauzwa Sana mtaani je zinakuwa Kuna changamoto inayopelekea hizi gari kuuzwa, na je Bora kuagiza nje au hata used inafaa.

naomba ushauri wenu Wana jamiii naielewa Sanaa hii gari!!
 
Back
Top Bottom