Wapi ninapata suruali aina ya Chino (cadet)?

Mtafiti77

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,843
2,272
Ndugu, kama unafahamu mahali wanauza suaruali aina ya chino/cadets za ukweli hapa Dar nitajie hapa tafadhali. Yaweza kuwa mtumba ama dukani. Mradi tu ziwe za ukweli, siyo midosho.

Jana nimepita maduka ya Mlimani city, hakuna kitu cha maana.

Ninaomba kufahamishwa wandugu
 
Mkuu jilipue online turkey ama uchina unyama mwingi
 
Ndugu, kama unafahamu mahali wanauza suaruali aina ya chino/cadets za ukweli hapa Dar nitajie hapa tafadhali. Yaweza kuwa mtumba ama dukani. Mradi tu ziwe za ukweli, siyo midosho.

Jana nimepita maduka ya Mlimani city, hakuna kitu cha maana.

Ninaomba kufahamishwa wandugu
Inbox nichek
 
Za mtumba siku shuka KITUO CHA boma halafu fanya kam unakuja mtaa msimbazi pembezoni mwa KIWANDA CHA BIA utakuta machinga wamesimama
huwa wananiuziaga CADET kali sana za mtumba halafu OG na zinadumu kuliko za dukani na bei nafuu tu
jaribu hapo siku moja
au pia MAKUMBUSHO katika maduka ya simu pale utakuta baadhi ya flemy wanauza CADET za mtumba nzuri sana hata mashati mazuri pia pia hapo nanunuaga ingawa makumbusho kidogo bei imechangamka ila QUALITY sana
 
Ndugu, kama unafahamu mahali wanauza suaruali aina ya chino/cadets za ukweli hapa Dar nitajie hapa tafadhali. Yaweza kuwa mtumba ama dukani. Mradi tu ziwe za ukweli, siyo midosho.

Jana nimepita maduka ya Mlimani city, hakuna kitu cha maana.

Ninaomba kufahamishwa wandugu
Nenda kwenye maduka ya Walebanon wana vitambaa vizuri sana vya cadet, tafuta fundi mzuri akushonee suruali ya ndoto zako
 
Back
Top Bottom