aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. Fridge aina ya Boss rangi nyeusi

    Ninauza fridge yangu aina ya Boss. Inatumia umeme mdogo (energy server). Ina sehemu ya kugandisha na sehem ya fridge kawaida Ipo Arusha mjini Offer yangu ni Tsh. Laki 5 Sábado ya kuuza nina uhitaji wa pesa kwa haraka. Mazungumzo yapo kwa mteja alie serious tu. Namba ya simu 0758435748
  2. Natafuta vifaranga vya uhakika vya kuku aina ya Croila nipo Mbeya

    Ndugu, naulizia ni wapi nitapata Croila kwa uhakika nipo wilaya ya Kyela mbeya. Ahsanteni
  3. S

    Serikali ya mseto mbioni kama wengine tulivyotabiri. Je, CHADEMA watakubali kushiriki katika Serikali ya aina hiyo?

    Nchi hii ukiona media au watu maarufu (wanasiasa, wasomi, wanazuoni, n.k) wanaongelea jambo fulani kwa uhuru, jambo ambalo mwanzoni walikuwa hawezi kuliongelea au kuliuunga mkono, ujue teyari jambo husika lina baraka za watawala na liko mbioni kutumia au kutokea. Kwa misingi huo, naiona...
  4. Ndege ya kivita ya Iran aina ya F-14 yaanguka yenyewe

    Ni ndege ya pili ya kijeshi kuanguka yenyewe ndani ya mwezi mmoja, natumai hawatailaumu Israel kwenye hili.... An F-14 fighter jet crashed on Saturday while on a mission in central Iran, causing injuries to its two crew members, media in the Islamic republic reported. "The fighter jet suffered...
  5. Anwani za makazi za aina hii tuseme wote hapana

    Anwani za makazi ni jambo jema lenye Nia njema. Lengo lake ni kutambua tunapatikana wapi ndani ya mitaa, kata, tarafa, wilaya, mikoa ndani ya Tanzania. Kila mkoa, wilaya, tarafa, kata, vijiji na mitaa ina majina yake maalumu ambayo kama ukiyataja kila mtu atajua ni la mkoa na wilaya gani...
  6. Vibao vya Makazi vingekuwa aina moja nchini, Masasi DC ni aibu nyingine

    Nimeona na baadhi ya maeneo uwekaji wa vibao vya barabara na mitaa namna ambavyo imeacha maswali kwa wananchi, binafsi nimeyakuta haya Masasi hasa vijiji vya Masasi Dc. Wakati zoezi linaanza nilifikiri pengine utaratibu mpya wa kupata majina na vibao elekezi vya mitaa na barabara lingefanyika...
  7. Nchi za Ulaya kutumia charger za aina moja

    Umoja wa nchi za Ulaya (EU) wameamua ifikapo mwaka 2024, watengenezaji wa simu zinazotumiwa ulaya watengeneze simu zitakazotumia Pini ya charger ya aina moja na Pini yenyewe waliyoamuru itumike ni hii hapa kwetu inayochaji simu za techno n.k. Wamefikia maamuzi hayo Ili kupunguza utupaji wa USB...
  8. INAUZWA Nauza Player ina tumia santuri zote aina tatu

    Nauza player ya santuri bei laki moja tasilimu Ina bluetooth Ina play 45, 33 na 78 Portable and easy to carry
  9. Ushauri: Serikali iweke aina rangi za kupaka kwenye nyumba maana naona rangi za ajabu mtaani

    Rangi aina nne au Tano zitasaidia kuepuka maajabi ya rangi za ajabu. Lkn lazima Kuna rangi za Kupiga marufiku kitumia. Kwa mfano. Black Lazima nyumba zitapendeza. Angalia nyumba za bongo zingependeza Sana kama wangepewa option.
  10. Joyce Kiria ni aina na mfano wa wanawake wa kuwakwepa kuwaoa

    Wakuu, Kabla huzuni na majonzi hayajatutoka kufuatia mauaji ya mwanamke mrembo na wa kisasa kuuwawa na mumewe huko Mwanza, mtajwa hapo juu bibie Joyce Kiria anazidi kupigilia 'msumali' na kuwashauri ujinga mabinti zetu na wanawake walio katika unyoofu wa maadili. Nashauri wanaume mnaojielewa...
  11. Aina hii ya Wanawake ni kama Kutafuta Nyoka mwenye Miguu

    Mwanamke 1. Mzuri wa Sura 2. Mzuri wa Umbo 3. MWENYE AKILI? Ni nadra sana hasa miaka yetu hii. Nahangaika sana nipate mwanamke wa namna hiyo. Inakuwa changamoto. Unakuta dada mzuri wa umbo na sura lakini kichwani.... Empty. Unaumia sana kuwa huyu si anaweza hata kukuambukiza upumbavu? Miaka...
  12. Sasa tunaweza kukubaliana kuwa; aina ya siasa anayoifanya Rais Samia ni ya kiwango cha juu sana ambapo ni nadra sana kuiona Afrika

    Rais Mama Samia ni mtu anayeamini kwenye siasa za ushawishi badala ya kutumia maguvu ‘Unnecessarily’. Ni mtu anayeamini kwenye utu na muadilifu kweli kweli. Falsafa yake hii, humfanya asiwe anaangalia tu matokeo ya mwisho ya michakato, bali pia uhalali wa michakato yenyewe na kutumia busara ya...
  13. Aina za Adhabu Ambazo Hutolewa Mahakamani

    Utaratibu ni kwamba, mtuhumiwa akishatiwa hatiani, kipengele kinachofuata (after mitigation) ni kupewa adhabu. Sasa adhabu ziko nyingi; inaweza kuwa kifungo gerezani, kulipa faini, kutaifisha mali/kitu, kuchapwa viboko, kuhukumiwa kifo au kulipa fidia, n.k Kwa Tanzania, adhabu za makosa...
  14. Kenya2022 Rais Kenyatta: Kila Mgombea ajiandae kupokea matokeo ya aina yoyote

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewataka wanasiasa ambao wanagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi wa Agosti 2022 kuwa tayari kupokea matokeo ya aina yoyote hata kama ni kushindwa. Kenyatta ambaye anamuunga mkono mgombea wa Azimio La Umoja, amesema hawatakiwi kuhawamisha wapiga kura wao kufanya...
  15. L

    Roho za aina tatu zenye thamani alizoziacha duniani profesa mkulima Yuan Longping

    "Mwanadamu ni kama mbegu, anatakiwa kuwa mbegu bora. " Haya ni maneno ambayo mwanasayansi wa kilimo wa China anayejulikana kama "Baba wa mpunga chotara " Profesa Yuan Longping alikuwa akipenda kusema wakati alipokuwa hai. Mei 22, 2021, Yuan aliaga dunia mjini Changsha, Hunan akiwa na umri wa...
  16. B

    Aina za halmashauri kwenye serikali za mitaa

    Naomba kuuliza wataalamu, je kuna aina ngapi Za halmashauri kwenye serikali za mitaa?
  17. K

    Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

    Nimepita hapo, nimeona jamaa wako na madumu wananyonya mafuta kutoka kwenye Tank la gari. Chukua tahadhari.
  18. T

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    UNAWEZA UKANUNUA KWA CASH AU MKOPO. TARATIBU ZA KUPATA MKOPO WA GARI NI KWA CHASIS NUMBER TU. ●mteja utalipa 50%ya pesa kama utangulizi ●Gari lazima ikatwe bima kubwa&car track(gprs)ndio Dhamana yetu ●Muda wamkopo kuanzia miezi3,6,9,12 kwa magari madogo ama binafsi,kwa magari ya biashara kama...
  19. Digidigi ni wanyama wa aina gani? Tanzania wanapatikana wapi?

    Eti wakuu, digidigi ni wanyama wa aina gani? Wanatofauti gani na swala? Wanafugwa?
  20. Uingereza: Aina mpya ya maambukizi ya tetekuwanga yathibitishwa

    Maafisa wa afya wamegundua Maambukizi ya ugonjwa wa nadra unaofanana na tetekuwanga ujulikanao kama ‘Monkeypox’ Inaelezwa kuwa dalili za awali ni pamoja na homa, maumivu ya kichwa, maumivu ya misuli, mgongo na uchovu hata hivyo maumivu huwa makali zaidi kwa baadhi ya wagonjwa na huenea kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…