aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

    Sio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki. Papa na Vatican walianza kutoa kauli tata za kuona ushoga (kubadili jinsia nk) sio dhambi ya kukemewa na kanisa (yaani...
  2. Serikali inawabagua wanafunzi wa shule binafsi; ushahidi huu hapa

    Serikali hii ya CCM ina mambo ya ajabu sana. Ni aibu kwa serikali inayojinasibu kuzingatia usawa kufanya uhuni wa kiwango hiki. Sijawahi kuona serikali yenye ubaguzi mkubwa kwa wananchi wake hapa ulimwenguni kama serikali ya CCM. Katika uchaguzi wa wanafunzi watakaojiunga kidato cha kwanza...
  3. Ni aibu sana kuendelea kukatika kwa maji na umeme kwa kisingizio cha ukame

    Ni Aibu Sana kuendelea kukatika kwa maji na umeme kwa kisingizio cha ukame. Tuna week ya tatu sasa mvua kubwa zinanyesha kila mahali nchini halafu unashangaa Dar haina maji. Nimepita mikoani mvua kubwa sana zinaendelea kunyesha lakini umeme unakatwa Tu. Huu ni Ujuha na kiwango kikubwa cha...
  4. Dar inasemwa kumjibu Generali ulimwengu. Inatia aibu

    Hivi jamani kwann mambo mengine msinyamaze mkijirekebisha. Vyuo vingi ni kama extended high school sio uongo. Zamani tulizoea ukisikia kitivo cha sheria, kitivo cha lugha unajua kabisa hapo kumesimama. Siku hizi hovyo hovyo Yapite
  5. A

    Immigration JNIA (Dar) Epukeni aibu hii

    1. Arrival lounge inajaa kupitiliza, 2. automated border control systems(gates) hazifanyi kazi, 3. Madirisha ya kugonga passport Machache kulinganisha na idadi ya watu wanaoshuka kwenye ndege. 4. Air Conditioner hazifanyi kazi. 6. Vyoo navyo mtihani.
  6. Tanzania ni bora kuliko Kenya, Lissu apingwa na Wakenya kwa ushahidi, anatia aibu.

    Lisu ana matatizo sana jamani, msikie anavyopingwa na wakenya kwa ushahidi. Anaitangazia ubaya Tanzania huko nje ya mipaka, ni hatari sana huyu mtu. Hataki wawekezaji waje hata kidogo. ni mtanzania gani? https://www.youtube.com/watch?v=FPYkc2W3ZVc
  7. Aibu Old Trafford, Bournemouth yaipiga Man. United 3-0

    Uwanja wa Old Trafford umekuwa mchungu kwa wenyeji Manchester United baada ya kukubali kichapo cha magoli 3-0 kutoka kwa Bournemouth katika Premier League. Kipigo hicho ambacho ni cha 7 katika mechi 16 za United katika EPL 2023/2, kimekuja siku moja tangu Kocha Erik Ten Hag na Harry Maguire wa...
  8. Ndugu unaempa mtaji ajitegemee anaanza upya kukuomba pesa hana mshipa wa aibu?

    Ni ndugu yangu mwenye miaka 26, kamaliza chuo mwaka juzi. Hapo zamani mara kwa mara alikuwa akiniomba pesa za kutatua shida zake, hizi elfu 20 nimemtumia sana. Nikaona isiwe taabu, kitu anachoomba ni kama samaki naowavua basi nayeye nimpe ndoano awe anajivulia, Tulikaa chini pamoja nikamuuliza...
  9. Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

    Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine. Huko PM yupo Mkuu wa Majeshi yupo Mawaziri wapo Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya...
  10. CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  11. Aibu hii ya waandishi wetu tumlaumu nani?

    Ukweli tunatia aibu. nadhani sekta ya habari inahusika na jambo hili. Sikiliza swali la mwandishi wa valor kwa kocha wa Al-Ahly. https://www.youtube.com/watch?v=oN9GvVQGckg
  12. Nashindwa kutongoza. Naona aibu

    Dah, nimekulia kwenye ukweli na uwazi ndugu zanguni. Kulaghai mtu siwezi kabisa. Kikwazo sio mimi, kikwazo ni huyo mwanamke anayenisikiliza. Huwa najiuliza sana kuwa ananichukulia vipi? Just assume, umetokeza kutoka kwenye kona ya nyumba, ghafla bin vuu unapamiana na mwanamke kiasi cha...
  13. Ni aibu kubwa mwanafunzi awe na first class GPA chuoni abaki mtaani, hawa watu wabakizwe vyuoni, mtaani bila mitaji wanateseka sana

    Imagine mtu ana gpa ya 4.5 hadi 4.9 sijawai ona 5.0) , anamaliza chuo anarudi kitaa na kwao hawapo njema kiuchumi hawezi pata mtaji kirahisi, umaarufu wa kupata gpa nzuri unageuka kumuaibisha. Na mara nyingi aina hii ya watu ni wale tuliokuwa tunawaita kina john kisomo, Sehemu wanayoiwezea...
  14. Nimepata aibu kubwa ukweni

    AIBU Kama kawaida mzee wa visa nakuletea kisa kingine iki apa twende sawa. Dada naomba nipeleke huko kwa wamama kuna aibu imenipata nilikuwa ukweni yani nilienda kwa mara ya kwanza na nilifika usiku nikapewa chumba nililala peke yangu sasa usiku nikabanwa na haja kubwa na chooni sipajui na...
  15. FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
  16. Hamas pambaneni acheni visingizio, la hamuwezi, nyoosheni mikono msione aibu!

    Magaidi wamekuwa walalamishi kwa visingizio kibao, eti IDF anapiga sana watoto na wake zao, kwa nini asiwapige wao tu? Wanasema hivyo, huku wakijificha sehemu ya watoto na wake zao, sasa wanataka adui yao akitupa bomu, likachague gaidi liliojificha kwa watoto na wanawake? Hii sjawai kuiona...
  17. U

    Kuhusu kikokotoo cha wastaafu: Serikali na CCM muwe na haya. Nanyi wabunge na bunge letu oneni aibu na muwe na utu

    Kabla sijasema lolote kila mmoja asome huu ujumbe wa mstaafu mmoja wa jeshi la polisi akigugumilia maumivu ya kikokotoo alioutuma kwa aliyekuwa mbunge mstaafu wa Jimbo la Tarime vijijini (CHADEMA) ndugu John Heche na kuuposti Instagram page yake... Mimi umeniumiza sana na nimeamua kuuleta...
  18. Wanaume wanaona aibu kwenda kanisani

    Ndio hivyo, ukristo umekuwa wa wanawake. Wanaume wengi kushiriki kwa asilimia kubwa haipo. Fuatilia mahudhurio kwenye shughuli zinazohusisha makanisa zikiwamo Ibada utakubali.
  19. B

    Aibu: Israel na ushahidi wa mchongo Gaza

    Ni aibu kubwa kwa taifa kama Israel kuwa waongo waongo hivi: 1. Hadi sasa wameshindwa kuthibitisha HAMAS kutumia vituo vya hospitali kwa vita. ==> Hapa wametengeneza hadi clips za manesi fake tokea kwenye ile kambi pendwa ya wale wasiojulikana. 2. Wamejielekeza kuonesha dunia kuwa watoto wao...
  20. Vijumba vilivyopo pembeni ya barabara ya Morogoro Road vinatia aibu na fedheha kwa Watanzania

    Pamoja na kujitahidi kuwa na barabara za kisasa ambazo zinachangia kupendezesha mandhari ya nchi, lkn muonekano huu wa vijumba vilivyochoka pembezoni mwa barabara vinafanya upendezaji huo uwe ni sawa na mtu alievaa nguo nzuri, lkn chini amevaa viatu vichafu na vya kutoboka. Kwa wenzetu mfano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…