Nimetoka zangu kazini nikaona niende kununua mahitaji kadhaa sokoni.
Ghafla nikaona tunaambiwa na vijana jamani mpishe hii njia kidogo iwe wazi kwa muda, nilidhani labda kuna emergency nikasimama.
Ghafla wakaingia vijana wawili kumbe ni ugomvi.
Moja wao kavaa vizuri tu sikuweza kumdhania...
Kuna mwanamke mmoja alitishia sana mtaa kutokana na uzuri wa sura na rangi ya mwili aliyonayo. Kati ya Predators waliovizia vizia nami nilikuwa mmoja wao
Nilipoona binti mwenyewe ni aina ya staki nataka nikamuweka chini na kumuomba anipatie jibu moja, akasema hanipendi. Nilipomuuliza sababu...
Sitawapotezea muda wenu kuwaelezea umuhimu wa taasisi ya Mahakama katika jamii na nchi yoyote ile. Hii taasisi ina heshma yake ambayo haitakiwi mtu au taasisi yoyote kuichezea, kuidhihaki, kuidharau wala kuitukana.
Kwa hiki kinachoendelea siku hizi mbili na kauli za viongozi wa Yanga akiwemo...
Kwa yanayoendelea ni dharau na kejeli kwa mkuu wa nchi hawa wateule wanamdharau sana wanakula hadi wanavimbiwa sasa wanalopokaa vile wanavyojisikia usalama msaidieni mhe. Rais jamani haiwezekani watu wanatolewa jalalani ili wamdharau rais wetu na mama yetu...
Hofu imetanda kwa baadhi ya wazazi kuhusu usalama na ustawi wa watoto wao kufuatia matukio ya ukatili yanayowatokea watoto ambapo kwa mujibu ripoti ya polisi kwa mwaka 2023 imeonyesha matukio 30 hutokea dhidi ya watoto kila siku.
Hatua hiyo imewafanya wazazi wa Mtaa wa Kibonde maji Mbagala, Dar...
Inasikitisha kampuni kubwa kama hii watu wa mizigo badala ya kushusha wanaanza kuuliza watu mzigo wako ukohapa ndio wanashusha
Aibu kubwa sana
Mbadilike ati
Mwaka 2027 kutakuwa na michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)ambayo yatafanyika katika mataifa 3,miongoni mwa mataifa hayo na Tanzania ikiwemo.
Kila nikijaribu kuangalia na kutazama namna mambo yanavyoendeshwa kwenye hii nchi na watu ambao tuliwaamini kiukweli nakosa majibu na napata...
Baadhi ya wakatoliki wanatia aibu sana katika hili sakata la anayedaiwa ni paroko kukamatwa kwa shutuma za mauji ya binti albino Asimwe.
Maoni yao hao wakatoliki naoweza kusema ni "radicals" yanatia kichefuchefu na kuonyesha jinsi gani dini bila kujali ni ya upande gani inavyoweza kutafuna na...
PICHA: Mle mbuga ya mikumi, na kona za iyovi na maeneo mengi kipande hiki matobo barabarani ni mengi mno gari zinapasua matairi na malori plus mabus mengi yanachochora...Fanyeni mrekebishe hii kasoro kwa wakati.
Mikumi mjini kilimani
Kwako ndugu yangu, namshukuru mungu kwa aliekuchagua anajua makusudi yake
Hakika wananchi wameumia wanateseka sana na wahuni wapiga dili viwanja vya watu
Hawa wahuni wana channel ndefu sana naamini mungu amekuleta kuwasaidia wananchi. Naomba kama inawezekana uonnane na wananchi hata mara...
Yaani pamoja na wengine kuipambania CCM humu kwa kiwango hata cha kujidhalilisha, huku mkijitutumua kwa kuweka hata namba zenu za simu ili mkumbukwe, lakini mwisho wa siku mnaishiwa kupewa vocha tu!
Kitendo cha Mamlaka kuteua waliokufa na kuwapuuza nyie mlio hai, Si tu kwamba kimewadhalilisha...
Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma anashikiliwa na Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kusafirisha kinyume na sheria Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia.
Akiongea Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Manyara ACP Lucas Mwakatundu amesema tukio hilo limetokea March 23 2024 ambapo gari hilo...
Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.
Amewashinda wafuatao :
◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️
◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6)
◎ Feisal Salum - ⚽ (5)
Pia bodi imetangaza kuwa, kocha...
Upigaji kura ulimalizika jana tarehe 29.05.2024. Zoezi linaloendelea sasa ni uhesabuji wa kura.
Wapiga kura waliojiandikisha ni zaidi ya 27m. Watu walijitokeza kwa wingi kupiga kura. kulikuwa na utitiri wa vyama vilivyoshiriki uchaguzi huu.
ANC, EFF, DA na MK hivi vikiwa ndio vyama...
Mimi ni Mkazi wa Ifakara Mkoani Morogoro, nina kero moja ambayo naona kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele mambo yanazidi kuharibika, bora niseme hapa kupitia JF ili ujumbe uwafikie wahusika kuanzia wazaz, walezi na mamlaka za juu.
Kuna shule hapa jirani yangu ambapo ilibidi nifanye mchakato wa...
Anonymous
Thread
aibu
elimu
kubwa
sekondari
shule
wizara
wizara ya elimu
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA ni chama cha ajabu sana,ni chama kinachotia aibu sana,ni chama kinacholeta fedheha kubwa sana,ni chama kinachoendeshwa na kwenda utafikiri mtu aliyepofuka macho,ni chama kisicho heshimu hata uwepo wa viongozi wake wa ngazi za juu,ni chama ambacho kinawakatisha na...
Naenda kwenye hoja moja kwa moja. Kwa kutambua mchango wa viongozi wa CCM wote ngazi ya kata nchini Mwenyekiti wa CCM taifa ametoa pikipiki kwa Makatibu CCM Kata na jumuiya zake.
Ili wagawiwe pikipiki hizo viongozi hao wanatakiwa kulipia gharama kadhaa - sasa baadhi ya wilaya ikiwemo Kakonko...
Hii ni kwa wapiga vibomu wenzangu wote nawakumbusha hizi aibu tunazokutana nazo katika haraka zetu za kupiga watu wetu vibomu.
Ongeza aibu nyingine kwenye harakati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.