ahadi

Ahadi is an Iranian surname. Notable people with the surname include:

Ahadi (The Lion King), a character from the fictive world of The Lion King
Mina Ahadi, Iranian Communist political activist
Reza Ahadi, Iranian footballer

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania yawekwa kwenye uangalizi Maalumu hadi itekeleze ahadi ya Kupambana na Utakatishaji Fedha na Ufadhili wa Ugaidi

    Hatua hiyo imefanywa na Kitengo Maalum cha Kimataifa cha Udhibiti wa Fedha Haramu (FATF) kwa kuziweka Nchi 4 za Afrika Mashariki (Tanzania, Uganda, Sudan Kusini na DR-Congo) ambazo zimeahidi kuongeza hatua kali katika kupambana na Utakatishaji Fedha na Ufadhili wa Ugaidi na Kuenea kwa Silaha...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Juliana Masaburi atimiza ahadi yake ya ujenzi wa Zahanati Serengeti

    MHE. JULIANA MASABURI AMALIZA AHADI YAKE YA KUTOA CEMENT KATIKA KITONGOJI CHA NYAMERAMA 🗓️ 14 DECEMBER 2023 📍Serengeti, Mara 📸 picha na Matukio Mbalimbali Ndugu Edmund Atanas Changwe Akikabidhi Cement kwa Viongozi wa Kitongoji cha Nyamerama kwa niaba ya Mh Mbunge Juliana Didas Masaburi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka ahadi gani iliyotekelezwa na Mbunge Gwajima kisiasa na kiimani?

    Mie kila pakikucha huwa ninakumbuka ile aliyosema ananunua treni. Bahati mbaya siku hiyo nikiwa ninasubiria kwenye foleni pale alipokuwa akihubiria nikasikia ahadi hiyo. Seriously ilinibidi nipaki gari pembeni nikasikiliza mahubiri yake mpaka mwisho na nikahudhuria tena kama mara tatu hivi...
  4. JamiiForums Tanzania Ahadi za Viongozi kuhusu kuanza kwa Huduma za Usafiri wa Treni ya SGR zimedumu kwa miaka 5 na bado haijaanza kazi

    Kwa takriban miaka 5 kumekuwa na ahadi kutoka kwa Mamlaka mbalimbali juu ya kuanza kwa huduma za usafiri wa Treni yenye Kasi zaidi (SGR) lakini utekelezaji wake umekuwa na mabadiliko ya muda mara kwa mara yanayotajwa kusababishwa na kutokamilika kwa baadhi ya Miundombinu. Hapa kuna mtiririko wa...
  5. JamiiForums Tanzania Inspekta wa Polisi Morogoro apewa "Toto" la Kiarabu na Sheikh Kishki

    Katika matukio yasiyo ya kawaida Tanzania mojawapo ni kama hili lililotokea Morogoro. Nakuwachia mwenyewe ujionee nisitie yangu:
  6. JamiiForums Tanzania Ahadi gani ukipewa na mpenzi wako, unatoa utamu fastaaaa...

    Haya mkujeee nasema mkujeeeeeeeeee mimi nikiambiwa napelekwa Santorini jamaaani,natoa yoooooooooooooooooteeeeeeee
  7. JamiiForums Tanzania Urusi yaonekana kulegeza masharti yake, yasema almradi Ukraine watoe ahadi hawatajiunga NATO

    Mwanzo Urusi ilipokua na mihemko ya kuivamia Ukraine ilitoa masharti mengi sana na vijisababu vya kila aina, ila mziki ulibadilishwa, msafara ukapigwa na wabeba javelin, leo hii Ukraine ndio wanafukuzia Warusi, sasa Urusi imeanza kupunguza na masharti na kubaki na moja tu, kwamba Ukraine...
  8. K

    JamiiForums Tanzania 2025-2030 Tanzania kufanikiwa kufika nchi ya ahadi chini ya Rais Samia. Naiona Tanzania mpya

    Hii si ndoto ila ndio uhasia ulivyo na kama mtu ataiona ni ndoto basi aifikirie Ile ndoto tamu sana ya kufurahisha ambayo inaacha kumbukumbu za furaha. Ninaamini baada ya 2030 tutakuja kusema YAMETIMIA, RAIS SAMIA AMEFANIKISHA. Kufika nchi ya Ahadi sio jambo dogo na ugumu wake tunaona kwenye...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ahadi hizi kweli wana-CCM wanazitekeleza?

    Hizi ni ahadi 10 za wana-CCM, ipi wanayoitekeleza kwa vitendo zaidi? Au ni kinyume chake? 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma. 4. Rushwa ni adui wa haki...
  10. H

    JamiiForums Tanzania 2025: Ahadi yangu kwa Mungu, kura yangu ni kwa Rais mwenye uwezo wa kutunza rasilimali za Tanganyika, na atakaye ahidi kuliondoa Zimwi la DPW

    KURA YANGU NI KURA YA UPENDO KWA TANGANYIKA: Kwa kuwa mihimili inayoongoza nchi yetu imetoa baraka, kwa maana ya serikali, kupitia ikulu imebariki, bunge kwa mbwembwe na bashasha imebariki, na mahakama imeshindwa kutoa msimamo wake kwa kuogopa kuingia madaraka. Sihitaji kuungwa mkono, wala...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mashirika mengi ya Tanzania hayatekelezi ahadi zao na hayajali muda wa Vijana

    Naweza nikatumia lugha ya uongo maana ndio maana halisi endapo mtu atashindwa kutekeleza lile aliloliahidi. Lengo la post hii sio kulichafua shirika lolote lile ila ni kuwakumbusha tu kuwa wasiwachukulie poa vijana wanaowapa kazi. Mfano mzuri leo hii nitayazungumzia mashirika mawili WATUMISHI...
  12. JamiiForums Tanzania Poleni watumishi wa umma uyo ndio mama anaupiga mwingi hakuna ongezeko la mshahara

    Poleni sana tena sana endeleni kunywa mchuzi nyama mtazikuta chini
  13. JamiiForums Tanzania Kamanda mkuu wa Ukraine akasirishwa na ahadi hewa za NATO huku askari wake wakiangamia

    Kamanda mkuu wa majeshi ya Ukraine generali Valery Zaluzhny amesema nchi yake ina makubaliano maalum na Pentagon na kwamba wana mawasiliano ya masaa 24 juu ya namna vita vinavyoendelea,hata hivyo amekasirishwa sana na ahadi hewa za Marekani na washirika wa NATO. kilichomkera zaidi na kutoa...
  14. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima asema ahadi yake kwa wakazi wa Kawe kuwapeleka Birmingham (Uingereza) bado ipo

    Baada ya kuwepo kwa maneno mengi ya utani na mengine ‘serious’ kuhusu ahadi aliyoitoa kwa kwa baadhi ya wanakazi wa Kawe (Dar es Salaam) kuwa atawapeleka Jijini Birmingham Nchini England, hatimaye akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Itawezekana kufika nchi ya ahadi bila uhuru?

    Wengi sana wamekua wakitazama nadharia ya uhuru katika sura ya kawaida tofauti kidogo na mimi,Mimi nautazama Uhuru kwa njia ya kifalsafa zaidi. Ili taifa liitwe taifa huru Kuna mambo makuu manne yanatakiwa kuzingatiwa ninaweza kusema pia ndio msingi wa maendeleo na jamii imara 1- Taifa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ni pale tu Marekani inapotekeleza ahadi zake kwa vitendo ndipo uhusiano kati ya China na Marekani unaweza kuboreka

    Kuanzia Februari hadi Juni, zaidi ya miezi minne baada ya "tukio la puto", Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken hatimaye aliwasili Beijing asubuhi ya tarehe 18 na kufanya ziara ya siku mbili nchini China. Watu wengi wanaojali uhusiano kati ya China na Marekani wanauliza kuwa, kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Unazikumbuka ahadi za Wagombea wakati wa Uchaguzi wa 2020? Lete iliyokuchosha

    Hadi sasa sidhani kama kuna Mgombea aliyewahi kuvunja rekodi ya Ahadi za Dkt. Josephat Gwajima kwenyr mikutano ya Uchaguzi Mkuu
  18. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz amzawadia Diara milioni 10

    Hongela sana CEO diamond kwa kutimiza ahadi yako ya kutoa motisha kwa kipa wa Yanga Diara. Sijui ni sawa na shilingi ngapi za kitanzania badilisheni wenyewe. --- Mkurugenzi wa Wasafi Media Naseeb Abdul Diamond Platnumz ametimiza ahadi yake ya kumkabidhi zawadi mlinda mlango wa klabu ya Yanga...
  19. JamiiForums Tanzania Shinyanga :Waandishi wamkumbusha Waziri Nape ahadi magari ya misafara

    Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga, Greyson Kakuru ameikumbusha Serikali ahadi ya ubora wa magari ya waandishi wa habari kwenye misafara ya viongozi baada ya mazoea ya kupewa magari yasiyo na ubora kuendelea. Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa Habari Mkoa wa...
  20. JamiiForums Tanzania Ahadi za Makamu wa Rais Tanzania kwa Wananchi wa Jimbo la Arumeru Magharibi

    MBUNGE NOAH SAPUTU - AHADI ZA MAKAMU WA RAIS KWA WANANCHI WA JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango, ametoa maagizo kwa Mamlaka husika kupitia Mawaziri wenye dhamana kutatua kero zinazowakabili wananchi wa halmashauri ya Arusha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…