Urusi yaonekana kulegeza masharti yake, yasema almradi Ukraine watoe ahadi hawatajiunga NATO

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,440
Mwanzo Urusi ilipokua na mihemko ya kuivamia Ukraine ilitoa masharti mengi sana na vijisababu vya kila aina, ila mziki ulibadilishwa, msafara ukapigwa na wabeba javelin, leo hii Ukraine ndio wanafukuzia Warusi, sasa Urusi imeanza kupunguza na masharti na kubaki na moja tu, kwamba Ukraine isijiunge NATO.

Japo imehelewa kwenye hilo, hamna namna Ukraine watajiunga tu.....

A top Kremlin official on Saturday suggested Russia could agree to an end to the war in Ukraine if a key condition is met.

During a press conference at the United Nations General Assembly, Russian Foreign Minister Sergey Lavrov indicated Russia would recognize Ukraine's borders prior to Moscow's invasion if Kyiv pledges to not join a military alliance.

Since Russian President Vladimir Putin began the war on February 24, 2022, he and Kremlin officials have cited various justifications for the conflict. But one of the most frequently stated reasons is Putin's opposition to the expansion of NATO on his country's borders, and he is said to be especially against Ukraine becoming a member of the military bloc.
 
Endeleeni kujifariji humu..Ukraine vijana wanakufa..Russia hawatembei na mihemuko...West wameishaanza kuchoka...
Russia wanafukuza mwizi kimya kimya..counter- offensive imefail...hata ukiingia MSMs habari za Ukraine mvuto zimepunguza...
Ukraine alipaswa kuwa na busara kama Armenia tu...kaona isiwe tabu..Nogorkaraba inaenda kwa Azerbaijan....akili mara nyingi ina busara kuliko hisia..
 
Kwa ajili ya maisha ya watu, ningelikuwa Ukraine ningelikubali sharti hilo nikaiachia future to determine the fate of UKRAINE need to join NATO au ningeliweka sharti vile vile kuwa Urusi mnayo itoe KIAPO kuwa haitaivamia/kuingia vita ya aina yoyote na UKRAINE au haitaingilia mzozo wowote ambao UKRAINE itakuwa nao na majirani yake au na dunia kwa ujumla.
 
hehehe hizi sound mnazopeana huko, mlianza kwa moto sana siku hizi mumebakiwa na sounds tu, Warusi wanafukuziwa balaa na kutema maeneo kila siku.
 
Kwa ajili ya maisha ya watu, ningelikuwa Ukraine ningelikubali sharti hilo nikaiachia future to determine the fate of UKRAINE need to join NATO au ningeliweka sharti vile vile kuwa Urusi mnayo itoe KIAPO kuwa haitaivamia/kuingia vita ya aina yoyote na UKRAINE au haitaingilia mzozo wowote ambao UKRAINE itakuwa nao na majirani yake au na dunia kwa ujumla.

Urusi haijawahi kuheshimu ahadi zake, kumbuka Ukraine walikua na silaha za nyuklia, wakaja kuziachia pale Urusi iliahidi haitokuja siku iivamie, kwa hivyo hii ndio fursa nzuri ya Ukraine kujikwamua, hapa ambapo wamemkamata Mrusi korodani.
 
Endeleeni kujifariji humu..Ukraine vijana wanakufa..Russia hawatembei na mihemuko...West wameishaanza kuchoka...
Russia wanafukuza mwizi kimya kimya..counter- offensive imefail...hata ukiingia MSMs habari za Ukraine mvuto zimepunguza...
Ukraine alipaswa kuwa na busara kama Armenia tu...kaona isiwe tabu..Nogorkaraba inaenda kwa Azerbaijan....akili mara nyingi ina busara kuliko hisia..
Kuna chawa wa kitaifa kama akina babalevo na Mwijaku lkn kuna chawa wa kimataifa pia
 
Russia ameshafahamu fika kwamba hawezi kushinda vita na kuikalia ardhi ya Ukraine kwa amani hivyo lazima atafute gia ya kuondokea Ukraine.

Na pia uchumi wake ndio unazidi kuangamia kila uchao. Nchi za magharibi zina uchumi mkubwa huwezi ukapambana nao ukashinda, ni kujidanganya tu.
 
Kama anarudisha maeneo Urusi aheshimiwe hitaji lake. Wale ni ndugu na majirani wasikilizane sababu raia wao wanataka amani na raha hata wanaume wavizie binti wa kirusi na vice versa.
 
Mwanzo Urusi ilipokua na mihemko ya kuivamia Ukraine ilitoa masharti mengi sana na vijisababu vya kila aina, ila mziki ulibadilishwa, msafara ukapigwa na wabeba javelin, leo hii Ukraine ndio wanafukuzia Warusi, sasa Urusi imeanza kupunguza na masharti na kubaki na moja tu, kwamba Ukraine isijiunge NATO.

Japo imehelewa kwenye hilo, hamna namna Ukraine watajiunga tu.....

A top Kremlin official on Saturday suggested Russia could agree to an end to the war in Ukraine if a key condition is met.

During a press conference at the United Nations General Assembly, Russian Foreign Minister Sergey Lavrov indicated Russia would recognize Ukraine's borders prior to Moscow's invasion if Kyiv pledges to not join a military alliance.

Since Russian President Vladimir Putin began the war on February 24, 2022, he and Kremlin officials have cited various justifications for the conflict. But one of the most frequently stated reasons is Putin's opposition to the expansion of NATO on his country's borders, and he is said to be especially against Ukraine becoming a member of the military bloc.
Kwani anawapangia maisha anawalishaa?? Ukraini ili iwe salama zaidii lazima ajiunge na Nato. Natamani putini ubabe umuishie kabisa
 
Mwanzo Urusi ilipokua na mihemko ya kuivamia Ukraine ilitoa masharti mengi sana na vijisababu vya kila aina, ila mziki ulibadilishwa, msafara ukapigwa na wabeba javelin, leo hii Ukraine ndio wanafukuzia Warusi, sasa Urusi imeanza kupunguza na masharti na kubaki na moja tu, kwamba Ukraine isijiunge NATO.

Japo imehelewa kwenye hilo, hamna namna Ukraine watajiunga tu.....

A top Kremlin official on Saturday suggested Russia could agree to an end to the war in Ukraine if a key condition is met.

During a press conference at the United Nations General Assembly, Russian Foreign Minister Sergey Lavrov indicated Russia would recognize Ukraine's borders prior to Moscow's invasion if Kyiv pledges to not join a military alliance.

Since Russian President Vladimir Putin began the war on February 24, 2022, he and Kremlin officials have cited various justifications for the conflict. But one of the most frequently stated reasons is Putin's opposition to the expansion of NATO on his country's borders, and he is said to be especially against Ukraine becoming a member of the military bloc.
unaelewa maana ya 'Key conditions'au kiingereza ni kigumu
 
Russia ameshafahamu fika kwamba hawezi kushinda vita na kuikalia ardhi ya Ukraine kwa amani hivyo lazima atafute gia ya kuondokea Ukraine.

Na pia uchumi wake ndio unazidi kuangamia kila uchao. Nchi za magharibi zina uchumi mkubwa huwezi ukapambana nao ukashinda, ni kujidanganya tu.
Ni kichaa tu ambaye anafikiri Russia hatashinda.
 
Russia ameshafahamu fika kwamba hawezi kushinda vita na kuikalia ardhi ya Ukraine kwa amani hivyo lazima atafute gia ya kuondokea Ukraine.

Na pia uchumi wake ndio unazidi kuangamia kila uchao. Nchi za magharibi zina uchumi mkubwa huwezi ukapambana nao ukashinda, ni kujidanganya tu.
Alafu urusi tayari ameshashinda kwanza muunganiko wa NATO na ulaya wameshafeli kumtoa Ukraine na Ukraine akaendelea kuishiwa askari.nasikia NATO wanataka waingie wenyewe wasmi sasa.
 
Mwanzo Urusi ilipokua na mihemko ya kuivamia Ukraine ilitoa masharti mengi sana na vijisababu vya kila aina, ila mziki ulibadilishwa, msafara ukapigwa na wabeba javelin, leo hii Ukraine ndio wanafukuzia Warusi, sasa Urusi imeanza kupunguza na masharti na kubaki na moja tu, kwamba Ukraine isijiunge NATO.

Japo imehelewa kwenye hilo, hamna namna Ukraine watajiunga tu.....

A top Kremlin official on Saturday suggested Russia could agree to an end to the war in Ukraine if a key condition is met.

During a press conference at the United Nations General Assembly, Russian Foreign Minister Sergey Lavrov indicated Russia would recognize Ukraine's borders prior to Moscow's invasion if Kyiv pledges to not join a military alliance.

Since Russian President Vladimir Putin began the war on February 24, 2022, he and Kremlin officials have cited various justifications for the conflict. But one of the most frequently stated reasons is Putin's opposition to the expansion of NATO on his country's borders, and he is said to be especially against Ukraine becoming a member of the military bloc.
Ukraine hawezi kuwa mjinga kiasi hicho ndio kwanza Yuko hatua Moja kuwa memba.
 
wewe utaanza kuijenga nchi wakati mimi nachanja mbuga na pia itategenea kaa utakubali kutojiunga nitakupa maeneo yako kama utakaidi yakuwa yangu kabisa
 
Kwa ajili ya maisha ya watu, ningelikuwa Ukraine ningelikubali sharti hilo nikaiachia future to determine the fate of UKRAINE need to join NATO au ningeliweka sharti vile vile kuwa Urusi mnayo itoe KIAPO kuwa haitaivamia/kuingia vita ya aina yoyote na UKRAINE au haitaingilia mzozo wowote ambao UKRAINE itakuwa nao na majirani yake au na dunia kwa ujumla.
Hii ni kweli kabisa, Ukraine wakubali hii option kwani ni dhahiri hii vita haina mshindi. Hata Ukraine akakubali hili sharti na baadae akaachana nalo, kwa hasara iliyopatikana, itaichukua Urusi miaka zaidi ya 10 kabla ya kuanzisha tena vita nyingine.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom