ahadi

Ahadi is an Iranian surname. Notable people with the surname include:

Ahadi (The Lion King), a character from the fictive world of The Lion King
Mina Ahadi, Iranian Communist political activist
Reza Ahadi, Iranian footballer

View More On Wikipedia.org
  1. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Napata mashaka juu ya ahadi ya Mito ya pombe mbinguni. Kama Pombe ni chukizo kwa Allah, ni kwanini Pombe iwepo mahali patakatifu?

    Sijaja kwa kebehi wala maudhi ila nahitaji upembuzi juu ya hili la mito ya pombe mbinguni, Quran 47:15 - Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya pombe yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa...
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Anzisheni mahusiano na watu wazima, hawa wa chini ya miaka 35 hawana tofauti na vitoto

    Anzisheni mahusiano na watu wazima, hawa wa chini ya miaka 35 hawana tofauti na vitoto, kutokana na kuwa na ahadi nyingi hewa. Kwa upande wangu, mabinti walio chini ya miaka 35 mimi huwa nawaita vitoto; kwa sababu wana usumbufu fulani katika uanzishaji wa mahusiano. Wengi wao wanatoa ahadi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya miaka miwili ya Hayati Magufuli na utekelezaji wa ahadi zake

    Kwanza naanza kwa kumshukuru Mungu kwa maisha ya aliyekuwa rais wa JMT hayati JPM. Lakini pia nimpongeze rais wetu wa sasa mama yetu kipenzi SSH kwa kutimiza miaka miwili ya kuliongoza taifa letu. Mama anatuongoza vizuri sana. Katika kutekeleza ahadi zote za mtangulizi wa rais wetu, mama...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mahakama Uganda, yamwamuru Mwanamke ( Slay ueen a.k.a Gold digger) Kumlipa Mwanaume (Sponsa) Kwa kosa la Kuvunja Kiapo Cha ahadi ya Kuolewa naye !!.

    Yaan ni kama Wee Jamaaz Umsomeshe Demu iwe kuanzia shule au Chuo Cha Kati au Chuo Kikuu Kwa ahadi ya Demu Kuolewa Nawewe. Alafu Demu baada ya kusoma ale Kona ... Dai chako !!!! Dai Chako.!! KATAA WIZI !!KATAA KUIBIWA !! Kuna kipindi nmewahi msikiliza Mwanasheria Mmoja akitoa Elimu ya...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nawatonya! Upinzani wataongea mambo ya ovyo kimkakati wa maridhiano na CCM kwa ahadi ya kurejeshewa majimbo yao 2025

    Hakika upinzani upo kimaslahi binafsi! Hakuna chama cha upinzani chenye nia ya kushika dola! Hata rais mbele ya bawacha alilisisitiza hilo, siyo kwamba alitania, ukweli ndiyo huo! Kelele za upinzani huwa ni za kutafta shibe hakuna chama hata kimoja chenye nia ya kushika dola kwa sasa! Katika...
  6. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni binadamu mwenye dalili zote za kutufikisha nchi ya ahadi. Mkimpuuza huyu itapita miaka 100 hajapatikana mwingine!

    Katika vitabu vitakatifu Abraham au Ibrahim alipewa ahadi na mungu ya kumbariki uzao mkubwa kama mchanga wa baharini kwa sharti Moja tu .akubali kuondoka katika nchi ya baba zake ukaldayo aende kuishi kwenye nchi mpya kabisa ya kanaani. Pamoja na ahadi nyingine kedekede kama atakuwa tajiri wa...
  7. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya Milioni 5 aliyotoa Rais itaziponza Simba na Yanga. Hazina bahati na wanasiasa

    Siasa za CCM zianze kuangalia vitu vya Msingi tu kila wakija kwenye soka always ni nuksi tu. Kwanza watu wanawekeza mabilion Alafu mwanasiasa anataka apate sifa kwa m 5 isiyotosha ata mshahara wa mwezi wa mchezaji. Kawaida Simba hununua away game kwa m 200. Sasa Hawa wanaomshauri mama...
  8. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo aanza kutimiza ahadi aliyoweka mwaka 2022

    Cristiano Ronaldo moja ya wachezaji bora Duniani ameanza kutimiza Ahadi yake ambayo aliisema Mwaka 2022 mwez wa 4 baada ya kufunga Hat trik ya 60 ambapo ali tweet katika mtandao wa Twitter na kuandika "30 Hat-Tricks before 30 and 30 Hat-Tricks after 30.It's time to...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia inatekeleza ahadi zake kwa 100%

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Philip Mpango ameweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Ziwa Victoria kwa mji wa Tinde. Hii ni baada ya miradi mingine mikubwa ya maji kukamilika ikiwemo: Mradi wa maji Nzega (Igunga Tabora) wenye thamani ya shilingi bilioni 6.72...
  10. Aizi Azma

    JamiiForums Tanzania Crypto na ahadi ambayo haijatimia

    NB: Uzi ni mrefu, kinoma 👽 Uchumi wa dunia umekuwa ukidorora kwa miezi (Kama sio kwa miaka) kadhaa sasa, na mdororo huo umeathiri pia thamani ya cryptocurrencies kwa kiwango cha kutisha. Watu wamepoteza mabilioni ndani ya muda mfupi, kiasi ambacho wengine wamechukua maamuzi magumu ya kujiondoa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya kuajiri askari wapya wa wanyamapori itatekelezwa lini?

    Ahadi ya Ajira ya kuajiri Askari wapya wanyamapori itatekelezwa lini?
  12. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwa nini Mungu aliamua kubadili ahadi yake kwa waumini wake kwenye Quran?

    Waamini wa Quran wanaamini kwamba Quran ndio kitabu cha mwisho cha mwenyezi Mungu kwa watu hapa Duniani, kwamba Quran ni updated version ya Biblia. Kwa msingi huo tukifuata mtiririko wa Vitabu vya Mungu, kuna agano la kale, agano jipya na Quran. Ukisoma Agano la kale, hakuna concrete promise...
  13. May Day

    JamiiForums Tanzania TFF hakikisheni ahadi ya pesa kwa Timu iambatane na wajibu

    Binaadamu ukimuahidi au akitarajia jambo anaweza asijali sana usalama wa wengine na wakati mwingine hata usalama wake mwenyewe. Teja anapohitaji pesa au chochote ulichonacho haoni shida kukuchoma kisu au bisbisi ya ubavu...kwake kwa wakati huo chenye thamani ni elfu mbili uliyonayo na sio uhai...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Boss Saalah wa Silent Ocean, wana Simba SC tunajua mchanganuo wa ahadi yako ya milioni 30 kama Tanzania Prisons ikiifunga Simba SC Ijumaa

    Boss Saalah Said Mohammed Mmiliki wa Kampuni ya Silent Ocean na Mdogo wake wa Damu Tajiri wa Yanga SC Gharib Said Mohammed tunajua kila Kitu juu ya ahadi yako ya Tsh Milioni 30 kama wakiifunga Simba SC ijumaa kwa Mkapa. Ufuatao ndiyo Mchanganuo mzima wa hiyo ahadi ya Tsh Milioni 30 kwa Klabu ya...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ahadi mpya za Rais Joe Biden kwa Marais 49 wa Afrika

    Rais Joe Biden amewaomba Marais wa Afrika ushirikiano wa muda mrefu na unaokita mizizi katika utawala bora huku pamoja na kuzipenyeza biashara za Marekanikuendelea kuingiza mabilioni ya dola kwenye uwekezaji wa teknolojia kwa bara ambalo China imekuwa mdau namba moja kwa sasa. Akihutubia katika...
  16. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ahadi 10 za Rais Ruto kwenye sherehe za siku ya Jamhuri

    Huku taifa la Kenya likisherehekea miaka 59 ya uhuru, hotuba ya Rais mpya wa awamu ya tano Dkt. William Ruto ilikuwa ya muhimu sana na kati ya mambo mengi aliyoyasema ni ahadi 10 muhimu; lakini swali la msingi lililobakia kwenye vichwa vya raia wengi ni Je atatimiza ? Hizi hapa ahadi 10 za...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania YA NDANI KABISA: Ahadi ya Kampuni ya Silent Ocean kwa Prisons FC ikiifunga Yanga au ikitoka Sare ni ya Kuzuga tu

    Mmiliki wa Kampuni ya Silent Ocean aitwae Saalah ni mdogo wa damu kabisa wa tajiri wa Yanga SC Gharib mwenye GSM yake halafu na dogo Saalah ni mwana Yanga SC lia lia kama ilivyo kwa kaka yake. Taarifa ambazo GENTAMYCINE nimezipata kutoka jikoni Yanga SC na hata kwa wana Simba SC walioko ndani...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama ambavyo mlifurahia walipoipa Ahadi Prisons FC iifunge Simba SC nanyi mnafanyiwa hivyo hivyo

    Kampuni ya Silent Ocean imeipa Ahadi ya Tsh Milioni 20 kama itashinda na Tsh Milioni 10 kama Timu ya Prisons FC itatoka Sare dhidi ya Yanga SC Jumapili ya tarehe 4 December, 2022. Nakumbuka Kampuni hii hi ilipoiwekea Ubaoni Ahadi hii Timu ya Prisons FC ili iifunge Simba SC Watu wa Yanga SC...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya Rais Samia kwa Watanzania

    Rais Samia akiwa njiani kuelekea Dodoma alisimama katika Halmashauri ya Wilaya Chemba kusalimiana na wananchi na kusema "Ahadi yetu kwenu tutarudisha kuwatumikia wananchi na kuondoa changamoto zinazowakabili hii ndio ahadi yetu kwenu"-Rais Samia Suluhu. Changamoto zinazowakabili watanzania...
  20. MANKA MUSA

    JamiiForums Tanzania Kwa hapa tulipofika, Rais Samia anatufikisha nchi ya Ahadi

    Hakuna tena more death threats kama ilivyokuwa kipindi kilichopita tulishuhudia vitisho vingi kuliko wakati wote ule wa vyama vingi vya siasa katika our political history. Rais Samia ni Kiongozi bora anafahamu umuhimu wa vyama siasa na vile vya Wafanyakazi hawezi kusema wapinzani wake...
Back
Top Bottom