ahadi

Ahadi is an Iranian surname. Notable people with the surname include:

Ahadi (The Lion King), a character from the fictive world of The Lion King
Mina Ahadi, Iranian Communist political activist
Reza Ahadi, Iranian footballer

View More On Wikipedia.org
  1. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenister Mhagama kumbuka ahadi yako kuhusu pensheni ya PSSSF kwa watumishi siku ya Sabasaba

    Tuna kukumbusha Mhe. Waziri Jenister Mhagama siku ya sabasaba ukiwa na mkurugenzi mtendaji wa PSSSF kwenye banda lao, mlisema kwa sasa mnafanyia kazi marekebisho ya malipo na maelekezo ya Mhe Samia Suluhu Hassan kuhusu kuwalipa wastaafu. Walio staafu kuanzia mwezi 3 hadi sasa hawajalipwa, je ni...
  2. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Kuna binti nilimuahidi nitamuoa mwaka huu ila bado mambo magumu, nifanyeje?

    Huyu binti nina mwaka nipo nae katika mahusiano na moja kati ya promise niliyomuahidi nitamuoa mwaka huu mambo yangu yatakapokaa sawa Ila mpka sasa mambo magumu. Na binti naye kwao wameanza kumsumbua kwani alishawaeleza ana mchumba anataka kumuoa sasa home kwao mpaka sasa hivi wananisikilizia...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Nijue, ishi na mimi: Ahadi namba 5 ya Mwanachama wa CCM

    NIJUE, ISHI NA MIMI: AHADI NAMBA 5 YA MWANACHAMA WA CCM. NIJUE, ISHI NA MIMI: AHADI NAMBA 5 YA MWANACHAMA WA CCM "Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu." Ahadi namba 5 inasisitiza kuwa uongozi ni utumishi kwa wananchi na sio manufaa kwa mtu binafsi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ile ahadi ya Mbunge wa Kibamba kutoka kwa Mh Rais ndo imeyeyuka?

    Nakumbuka wakati Mh Hayati Rais JPM (R.I.P) kipindi hicho anafungua stand ya Mbezi Lous alimuahidi Mh Mbunge wa Kibamba kuwa kutoka na sababu ya kwamba jimbo hili ndo linaongoza kwa kuwa na kiwango kidogo cha lami yaani chi ya 5%., basi aliagiza timu iundwe na Tanroads pamoja na mbunge wapitie...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tambua kwamba: Ahadi za wanaChama Wa Chama Cha Mapinduzi

    TAMBUA KWAMBA:- 🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰 AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (1) Binadamu wote ndugu zangu na Afrika ni Moja. (2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote. (3) Nitajitolea nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma. (4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mkazi yeyote yule wa Jimbo la Kawe aliyeanza kuzishuhudia ahadi lukuki za maendeleo za Mbunge Askofu Gwajima?

    Nikiwa kama Mmoja wa Wavuvi wa Ununio nimeshaandaa Siku nyingi sana Picha zangu 4 za Passport kwa ajili ya Pasi ya Kusafiria ili anikatie VIZA na Mbunge Askofu Gwajima atupeleke nchini Marekani kama alivyotuahidi na kutuhakikishia pia. Askofu Gwajima USA unatupeleka lini?
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mwanamke unapopewa ahadi ya kuolewa kuwa na subira sio kukumbusha kila mara

    Habari waungwana, Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi... kwa pamoja mjibu CHAMA KIENDELEE. Leo na mimi nimeamua nije nitoe neno kuhusu mapenzi. Watu wengi mmekuwa mkitamani mjue msimamo wangu kuhusu haya mambo. Leo nitaongea jambo moja tu kwasababu mapenzi ni mrundikano wa upuuzi mwingi...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya haipo kwenye Ilani wala ahadi za CCM, Tusimsumbue na tusimuwekee Rais Samia maneno mdomoni

    Lipo wimbi la waliokosa hoja za maendeleo kutaka kutuyumbisha. Rais Samia atapimwa kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM tu kwani huo ndio mkataba rasmi na wananchi kati yao na Serikali iliyopo. Katiba mpya haipo kwenye Ilani ya CCM na mgombea (Hayati Magufuli ) na mwenza wake (incumbet president)...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Charles Kimei awatoa hofu Wanavunjo utekelezaji wa ahadi ya hayati Magufuli ya Vunjo kupewa Halmashauri ya Wilaya

    Na Mwandishi Wetu, Moshi. Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei ameendelea kufuatilia kwa karibu ahadi zake binafsi, ahadi za hayati Rais Magufuli pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 kwa karibu ili kuhakikisha wanakidhi matarajio na matumaini makubwa ya...
Back
Top Bottom