Nimelazimika kupandisha huu uzi hewani baada ya kurudisha kumbukumbu namna mzee wetu hayati JPM alivyotutoka bila hata ya kutupatia angalau dakika 5 za kumuombea
Tukiweka ushabiki wa kivyama pembeni hayati JPM alikuwa akipendeka sana ndani na nje ya nchi kiasi cha kama wananchi wangehisi hujuma...
Bima nyingine kama NHIF Zina Changamoto hizi
1. Kama hakuna Umeme Huhudumiwi.
Pale Levolosi Arusha nilikosa huduma Kwa sababu hakukuwa na Umeme. Nilioa baadhi ya sehemu taa Zinawaka ikiwemo Mapokezi. Nikaambiwa wanatumia Generator Haliwezi kuwasha Computer. Nikaazuga kwenda nyuma ya Mapokezi...
Heshima kwenu wadau wa jukwaa.
Ndugu yangu ana ugonjwa inasemekana wa neva. Ni kampun gan bora kwa bima ili kukabiliana na tiba bora nchini? Maana hii kupimwa pimwa tu bila tiba inatupiga sana pesa!
Sio mtumishi.
Bunge la JMT lilipitisha tozo ambazo ama kwa hakika zilizua tafrani na kuzua kilio kwa wananchi, bila hata aibu Mwigulu Nchemba akainuka na kudai kuwa ambae hataki kulipa tozo basi ahamie Burundi.
Sasa kama mlipitisha tozo na mkadai kuwa zinajenga, shule, madarasa, zahanati na vituo vya afya...
Afya ndio msingi wa maisha yetu. Bila kuwa na afya hakuna Jambo linaweza kuwa sawa kwa mtu binafsi, familia na hata Taifa.
Kwa hali inayoendelea sasa nchini ya watu kupatwa na mafua na homa kali, nasukumwa kuziomba Mamlaka zetu kuwa Malini na kila kinachoingia nchini hususani vifaa tiba...
Afya ndio msingi wa maisha yetu. Bila kuwa na afya hakuna Jambo linaweza kuwa sawa kwa mtu binafsi, familia na hata Taifa.
Kwa hali inayoendelea sasa nchini ya watu kupatwa na mafua na homa kali, nasukumwa kuziomba Mamlaka zetu kuwa Malini na kila kinachoingia nchini hususani vifaa tiba...
Imekuwa mazoea sasa ambapo watu wanaopata huduma ya Dialysis pale Bugando kushindwa kufanyiwa huduma kwa kuambiwa kuwa vifaa havipo au havijafika.
Wagonjwa wa Dialysis idadi yao inajulikana na forecast inafanywa kwa kujua mahitaji lakini inafikia sehemu wagonjwa mpaka wanalala kwenye chumba cha...
Uandishi wa habari kwa sasa umekuwa wa ajabu sana. Umegubikwa na masihara, mizaha na kutoa taarifa ambazo ni za uongo. Tukiendelea kulea na kuendekeza masuala haya tutaua nchi yetu.
Hakuna mtu anayekemea, viongozi wapo kimya tu. Kwanini haya mambo hayakemewi!?
Unajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa.
Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini...
Kiukweli binadamu ni wabishi sana.
Yaani mtu ameathirika na VVU, akashauriwa kuanza kumeza dawa akakubali. Baada ya kumeza kwa muda akaacha. Sasa leo anatafutwa tujue tatizo nini ili kulinda afya yake haya ndio majibu anatoa🙄
Anyway, hawa ndio binadamu.
Moja kwa moja.
Siku za hivi karibuni nilipanda usafiri wa daladala kutoka banana hadi kivule kwenye harakati zangu ,Kwa kweli Ktk Maisha yangu sijawahi shuhudia barabara mbovu kama ile na kila siku hali ile ile miaka nenda miaka rudi
Kutokana na ubovu wa barabara uliopitiliza nilipata...
Hello JF...
Naomba kuuliza kwa nini wizara ya Afya haiko responsive kukitokea milipuko ya magonjwa??.....
Week iliyopita karibu kila mtu Dar es Salaam alikua na mafua, nilitegemea serikali kuja public kama ni kitu serious tujue jinsi ya kujikinga, ama ni kitu tu cha kupita. Sometimes we just...
Wizara ya Afya imesema kuwa taarifa ya Waziri Mkuu kwamba hakuna wimbi la 4 la UVIKO19 na ile ya Katibu Wizara ya Afya, kuhusu kuongezeka kwa maambukizi ya UVIKO19, zote ni sahihi. Kwani kuongezeka kwa maambukizi au visa hakumaanishi kuwa tayari ni wimbi jipya la maambukizi.
Prof. Makubi...
Niliandika asubuhi japo ujumbe haukuwa moja kwa moja kwako,,lakini uzalendo wangu umenituma kurudia tena kuandika,,,Mimi ni mwananchi ambae shughuli zangu hunifungamanisha sana na askari wa majeshi mbali mbali nafikiri toka kipindi cha Magufuli.
Binafsi sipendezwi na maneno ambayo yana...
Wizara ya Afya imesema watu wengi wamekuwa wakiripoti kuwa na dalili za mafua na homa kwa siku za karibuni
Wizara imesema uchunguzi umebaini hayo ni mafua ya kawaida ya kila mwaka yanayosababisha na vipindi vya hali ya hewa
Wananchi wameshauriwa kufika vituo vya afya kwa matibabu sahihi, ikiwa...
Taarifa kutoka vyanzo vya uhakika Dr Kigwangallah ndiye Waziri mpya wa Afya.
Wazee wa Urambo wameshafanya yao bila kijana wao kupewa nafasi hakuna namna.
Takribani kwa muda wa wiki moja tangu tarehe 10 Desemba 2021, kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu wakaazi wa Dar es Salaam, wamekumbwa na hali ya homa sambamba na kupata mafua na kikohozi,
kila mtu analalamika kwa namna yake, Mimi juzi nimekumbwa na hii homa nikahisi nina malaria ila ni...
Huu ndio ukweli ulio wazi ingawa CCM wenyewe hawawezi kukiri hadharani. Kuna hatari ya kundi la Mwendazake kutaka kumuhujuma Mama na mnyukano huu unalenga uchaguzi wa 2025.
Hata hivyo, kundi la Mwendazake wajue tu kwa katiba hii mbovu, hakuna wataloweza na ninachowashauri waungane na wapinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.