afya

  1. Doctor MD

    JamiiForums Tanzania Ifahamu funga yenye kuleta afya

    Huu ni aina ya ufungaji wenye kusaidia kutibu magonjwa sugu. Katika magojwa haswa kisukari, shikizo la damu na maumivu ya maungio kwa muda mrefu. Aina hii ya mfungo ni nzuri Zaidi ukaifanya kwa siku 3 hadi siku tano kutegemeana na aina ya ugonjwa wako wenyewe. Siku moja kabla ya kufunga...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya ikishirikiana na Wizara ya Viwanda ituletee kiwanda cha chanjo ya COVID-19

    Moja ya mapendekezo ya Tume iliyomshauri Mhe. Rais kuleta chanjo ilikuwa ni kujenga kiwanda cha chanjo kwa haraka. Napena kusisitiza kuwa pendekezo hili namba 7 lifanyiwe kazi kwa uharaka ule ule ili nchi isiingìe kwenye deni lisilo la lazima.
  3. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Fanya Mambo Haya Mawili Kuongeza Miaka 20 Kwenye Maisha Yako

    Rafiki yangu mpendwa, Vipi kama leo nitakuambia kuna mambo mawili unayoweza kufanya kila siku na ukaongezea miaka 20 kwenye maisha yako? Yaani kama ilikuwa uishi miaka 60, basi kwa kufanya kitu hicho utaweza kuishi miaka 80. Na kama ilikuwa uishi miaka 80 basi utaishi miaka zaidi ya 100. Na...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa sukari mzuri kwa Afya na kupunguza kisukari

    Taifa lenye Afya linaweza kuwa na maendeleo, na ni jukumu la serikali kuhakikisha Wananchi wake Wana afya. Moja Kati ya magonjwa hatari sana yanayoikumba Tanzania ni Kisukari, ugonjwa huu unatokana na matumizi makubwa ya sukari ambayo pamoja na vyakula Kama wanga, na bidhaa zinazotengenezwa na...
  5. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Huduma bora za afya: Mbona bado wakina mama wanaojifungua wanalazwa hadi watatu kitanda kimoja?

    Serikali yetu kupitia wizara ya Afya naona ipo busy na kampeni za chanjo za Uviko19 huku ikijisahaulisha huduma muhimu huko kwenye Hospital za serikali. Jana nilienda kutembelea mama mmoja jirani yangu Alieenda kujifungulia Mt Meru hosp,na mtoto kuwekwa chumba cha joto kwa muda wa wiki mbili...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Kuna tishio la Wimbi la Nne la Virusi vya Corona

    Wizara ya Afya imesema hivi karibuni kumekuwa na tishio la kutokea Wimbi la Nne kutokana na taarifa za ongezeko la visa vipya na kuwepo kwa wasafiri wengi ndani na nje ya Nchi katika kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka Kutokana na kuibuka aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho Omicron...
  7. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Rick Ross yuko makini sana na afya yake

    Rapa Rick Ross ni mtu makini sana inapokuja swala la afya yake. Rick Ross sio mtu wa kuvamia machaka ya ajabu ajabu bila tahadhari kubwa na kinga. Rick ni mtu anajua kwamba sio kila machaka unayaongia ingia tu kienyeji, utakutana na miba, wanyama wakali, manyoka makali ama hata kuliwa na chatu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima umechemka kuhusu Uuzaji wa Damu unaodai unafanywa na Watumishi wa Wizara ya Afya. Hujui ufanyalo

    Waziri wa Afya Dr Gwajima Katika hotuba yake aliyoitoa kwa watumishi ambapo aliwaonya kuhusu kununua damu au kwa watumishi kuuza damu na kudsi ni kosa hivyo anatoa eti mwezi kwa yoyote atakayebainika atachukuliwa hatua kali za kisheria. Cha Ajabu akiwa kama Waziri wa Afya kwanza Watumishi Wote...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbogwe aliyedaiwa kuugua uchizi yu mzima wa afya

    Kwa mujibu wa Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Mbongwe, Mobahe George amesema kuwa, mbunge wa jimbo hilo Nicodemas Maganga ni mzima na yupo mapumziko kwa sasa ndio maana hapatikani hewani na kwamba taarifa zilizoandikwa na gazeti la Jamvi la Habari ni za kupuuzwa hazina ukweli wowote...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Dalili zinazoashiria magonjwa ya Afya ya Akili

    Kihisia: Kukosa furaha na kuhuzunika sana. Au kuwa na furaha sana kupita kiasi wasiwasi na au woga kupita kiasi. Kupunguza kuongea au kutokuongea kabisa au kuongea sana kupita kiasi. Hasira za haraka haraka hata kufikia kupiga wengine. Kuwa na msongo wa mawazo. Kujitenga na watu na kupenda kukaa...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani kutoa Bilioni 437 kwa ajili ya Miradi ya Afya

    SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inatarajia kupokea kiasi cha shilingi Bilioni 437 kwa kipindi cha miaka 5 kwaajili ya miradi ya Afya inayolenga kuwafikia wananchi katika ngazi ya jamii. Hayo yamesemwa leo 15 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa NHIF Chuo Kikuu cha Dodoma wamekuwa wabishi, wamekosa huruma na utu

    Viongozi wa NHIF chuo kikuu cha Dodoma wamekuwa wabishi, wamekosa huruma na utu hivyo kusababisha mateso makubwa kwa baadhi ya wanachuo Kwakiutl was I lists michango ya bima ya afya sehemu husika. Tangu mwaka jana baadhi ya wanachuo hawajapata vitambulisho vyao vya bima ya afya. Kumekua na...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania College ya Afya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mbeya inajengwa sehemu gani?

    Wakuu Chuo hiki kinajenga wapi College yao ya afya pale Mbeya? Mkuu wao wa chuo, JK aliwaombea eneo la kujenga chuo. Waliomba wajenge viwanja vya Tanganyika packers. Badaaye nasikia wizara ya kilimo walisema lile eneo wana kazi nalo, wanataka kufuga ng'ombe hivyo chuo wakapewa eneo jingine...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mwenye mzio wa chanjo (Allergic reaction) amueleze mtaalamu wa Afya kabla ya kuchanjwa Covid-19

    Inaelezwa kuwa wapo baadhi ya watu ambao wana historia ya kupata matokeo mabaya (Severe Allergic Reaction) kutokana na chanjo wanazochanjwa kipindi cha nyuma. Shirika la Afya duniani linawashauri watu ambao wana historia ya kuwa na mzio wa chanjo nyingine kuwaona Wataalamu wa Afya na kuwaeleza...
  15. Program Manager

    JamiiForums Tanzania USAID Boresha Afya Southern Zone, mtalipa lini madai ya community testers?

    Kwa kifupi sana ni kwamba shirika linalohusika na program ya Boresha Afya Southern Zone halijalipa allowance na nauli za community & facility testers pamoja na CBHS wao kwa kazi ya wiki ya mwisho wa mwezi wa 9. Tatizo liko wapi? Ni sawa project zimeisha je mtalipa madai hayo ya vijana...
  16. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO TAARIFA KWA UMMA MAFANIKIO YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KWA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARA. Ndugu Wananchi, Disemba 2021 nchi yetu inaadhimisha...
  17. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Mgao Fedha za IMF kwa Afya umejaa upendeleo

    Kwanza niipongeze serikali kwa investment kubwa ya Afya kupitia hizi pesa za IMF, japo pia tungeweza ongeza zaidi kwa sababu sehemu kubwa ililenga kwenye afya. Pamoja na hayo yote huu mgao ulipashwa uzingatie mgawanyo wa kikanda. Kuna sehemu miaka na miaka hawakuwa na huduma za CT scan wala...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali imefuta matokeo ya nadharia kwa masomo ya Utabibu Ngazi ya Tano baada ya kubainika kuwa ilivuja

    Serikali imefuta matokeo ya nadharia (theory) kwa masomo ya program ya Utabibu Ngazi ya Tano (NTA Level 5) baada ya kubainika kuvuja kwa mitihani ya muhula wa pili wa programu hiyo. ======
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mbivu na mbichi kuhusu wizi wa mitihani ya afya alizoahidi Waziri ziko wapi?

    Waziri wa Afya kupitia vyombo vya habari alituhabarisha kuwa mbivu na mbichi wa wizi wa mitihani ya Afya itajulikana Jumatatu iliyopita ya wiki hii. Ninauliza, Je, Waziri wa Afya ametoa taarifa hii kupitia vyombo vya habari?
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa WHO atoa wito kwa G20 kumaliza mzozo wa chanjo

    Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kuwa Kundi la mataifa 20 yaliostawi na yanayoinukia kiuchumi G20 yana uwezo wa kuzuia janga la virusi vya corona kuenea zaidi na kuzuia majanga ya siku zijazo. Akizungumza wakati wa mazungumzo kuhusu afya hapo jana kwenye...
Back
Top Bottom