afya

  1. J

    Mwenye mzio wa chanjo (Allergic reaction) amueleze mtaalamu wa Afya kabla ya kuchanjwa Covid-19

    Inaelezwa kuwa wapo baadhi ya watu ambao wana historia ya kupata matokeo mabaya (Severe Allergic Reaction) kutokana na chanjo wanazochanjwa kipindi cha nyuma. Shirika la Afya duniani linawashauri watu ambao wana historia ya kuwa na mzio wa chanjo nyingine kuwaona Wataalamu wa Afya na kuwaeleza...
  2. Program Manager

    USAID Boresha Afya Southern Zone, mtalipa lini madai ya community testers?

    Kwa kifupi sana ni kwamba shirika linalohusika na program ya Boresha Afya Southern Zone halijalipa allowance na nauli za community & facility testers pamoja na CBHS wao kwa kazi ya wiki ya mwisho wa mwezi wa 9. Tatizo liko wapi? Ni sawa project zimeisha je mtalipa madai hayo ya vijana...
  3. Wizara ya Afya Tanzania

    Mafanikio ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO TAARIFA KWA UMMA MAFANIKIO YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KWA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARA. Ndugu Wananchi, Disemba 2021 nchi yetu inaadhimisha...
  4. tutafikatu

    Mgao Fedha za IMF kwa Afya umejaa upendeleo

    Kwanza niipongeze serikali kwa investment kubwa ya Afya kupitia hizi pesa za IMF, japo pia tungeweza ongeza zaidi kwa sababu sehemu kubwa ililenga kwenye afya. Pamoja na hayo yote huu mgao ulipashwa uzingatie mgawanyo wa kikanda. Kuna sehemu miaka na miaka hawakuwa na huduma za CT scan wala...
  5. Roving Journalist

    Serikali imefuta matokeo ya nadharia kwa masomo ya Utabibu Ngazi ya Tano baada ya kubainika kuwa ilivuja

    Serikali imefuta matokeo ya nadharia (theory) kwa masomo ya program ya Utabibu Ngazi ya Tano (NTA Level 5) baada ya kubainika kuvuja kwa mitihani ya muhula wa pili wa programu hiyo. ======
  6. K

    Mbivu na mbichi kuhusu wizi wa mitihani ya afya alizoahidi Waziri ziko wapi?

    Waziri wa Afya kupitia vyombo vya habari alituhabarisha kuwa mbivu na mbichi wa wizi wa mitihani ya Afya itajulikana Jumatatu iliyopita ya wiki hii. Ninauliza, Je, Waziri wa Afya ametoa taarifa hii kupitia vyombo vya habari?
  7. beth

    Mkuu wa WHO atoa wito kwa G20 kumaliza mzozo wa chanjo

    Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kuwa Kundi la mataifa 20 yaliostawi na yanayoinukia kiuchumi G20 yana uwezo wa kuzuia janga la virusi vya corona kuenea zaidi na kuzuia majanga ya siku zijazo. Akizungumza wakati wa mazungumzo kuhusu afya hapo jana kwenye...
  8. Miss Zomboko

    Sekta ya Afya yaanza utafiti ikiwemo kubaini waliochanjwa wamepata Kinga kiasi gani

    Sekta imeanza kufanya tafiti sita (6) kuhusu tabia za virusi za virusi vya Korona kwa kuangalia 1) askari wa kinga mwili (antibodies); 2) uelewa, mtazamo na utendaji (KAP Study); 3) utafiti wa kimatibabu (Clinical trials); 4) kuchunguza mpangilio wa vinasaba (Gene sequencing); 5) hali ya kimelea...
  9. Red Giant

    Wanatakiwa kuweka tangazo kuwa unywaji wa soda kupita kiasi ni hatari kwa Afya yako

    Soda na Soft drinks zote ni hatari kwa afya ya binadamu. Binadamu hakuumbwa kubugia sukari nyingi namna anayobugia leo. Sukari nyingi huleta unene wa kupitiliza, kitu ambacho huleta kisukari, magonjwa ya moyo nk. Ni wakati sasa, kama ilivyo kwenye bia; Kwa matangazo yote ya vinywaji laini na...
  10. Travelogue_tz

    Kuvuja kwa mitihani ya muhula wa pili kwa kozi za uuguzi na utabibu; tumebaini chanzo, tutafute suluhu haraka

    Habari JF Mnamo tarehe 15 Oktoba 2021 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) walitangaza matokeo ya awali ( provisional results) ya mitihani ya muhula wa pili iliyofanyika mwezi Agosti , 2021. Katika taarifa...
  11. dexterous

    Hii tabia ya uvutaji wa sigara ovyo ikomeshwe

    Wasalam Iko hivi kuna tabia/mazoea kwa wavutaji wa sigara wanaovuta sigara kiholela barabarani na sehemu zenye mikusanyiko ya watu bila kujali afya za watu wengine Embu fikiria uko njiani unatembea mbele yako kuna mtu anavuta sigara na ule moshi anaoupuliza wote unawarudia mliokuwa nyuma yake...
  12. Erythrocyte

    Hivi mbona maji ya Uhai, Afya au Pangani hayanywewi kwenye hafla kubwa? Maji ya Kilimanjaro yana nini?

    Leo nilikuwa nafuatilia Tuzo za TFF, pamoja na mambo mengine nimefuatilia maji yaliyokuwa yananywewa na wadau, hakuna zaidi ya Maji ya Kilimanjaro. Haya maji ya Uhai, Pangani au Afya yanayouzwa sana kwa mama lishe kule Tandika na Kariakoo imekuwaje huko kwa wakubwa?
  13. N

    Watumishi wa Afya kuvaa mavazi ya kazi kwenye usafiri wa Umma ni hatari kwa afya za wananchi

    Leo nikiwa natoka kazini kwenye daladala nimekaa pembeni yangu alikuepo Nnesi amevaa sare ya kazi nahisi naye alikuwa anatoka kazini. Kwakweli kwa upande wangu sijafurahia alikuwa anatoa kwa mbali manukato ya hospitali. Nimejiuliza mtu anayeshinda na wagonjwa wengine ni magonjwa hatari je...
  14. Miss Zomboko

    Je, wajua ni muhimu kuwapa watoto elimu ya afya ya uzazi?

    Wataalamu wa #Malezi wanatuambia ni muhimu kuwapa watoto elimu ya afya ya uzazi ili kuwaepusha na madhara kama kujihusisha na kujamiiana wangali wadogo, mimba za utotoni, ndoa za utotoni na kupata magonjwa ya zinaa. Lengo kuu likiwa ni kuwawezesha watoto kujilinda na kujitunza ili waendelee...
  15. Fantastic Beast

    Hili la kuzuiliwa kwa maiti sababu ya bili kubwa mzizi wake ni huu, Wizara ya afya rudisheni utaratibu wa zamani

    Haka ni katatizo kadogo sana ambako wizara inajua mzizi wake ni nini, kama hawajui basi nawajuza. Kwanza hili tatizo huwezi kulisikia kwenye hospitali zifuatazo, kama lipo basi ni kwa udogo sana: Hospitali za Wilaya, Mikoa, Vituo vya Afya, Hospitali binafsi. Hili tatizo utalikuta hospitali...
  16. B

    Mhe. Waziri wa Afya na Waziri wa Nishati, gharama za oxygen hospitalini kwanini ni kubwa hivi na hakuna tamko lolote?

    Ninafuatilia maisha ya mama mmoja huko Arusha aliyekaa kwenye oxygeni kwa miezi miwili na familia kutakuwa kulipa zaidi ya milioni thelesini. Katika kipindi ambacho covid ni agenda ya Dunia napata fundisho kwamba ni watu wachache Sana wenye uchumi wakuweza kulipia oxygen. Naomba wenye utaalam...
  17. Darren2019

    Maoni: Mama Maria Nyerere apumzishwe na matukio ya kiserikali, atulie ailinde afya yake

    Wakuu nawasalimu kwa jina la muumba wetu sote. Nimejaribu kuwaza tu kuhusu umri wa mama Maria Nyerere na haya matukio ya kiserikali tukizingatia na hali ya hewa ya huu ulimwengu kwa sasa naona ingekuwa vema tu kukampumzisha maana ni hafla ashahudhuria nyingi mno, kwa sasa anastahili kutulia...
  18. Huihui2

    Hatari ya ushoga kwa watoto wa Tanzania; Serikali itunge Sheria kuzuia vikaragosi vya Superman

    Sahau Tozo, sahau machinga, sahau COVID-19Hatari mpya inayowakabili watoto na wajukuu wetu ni Superman mpya ambaye ni shoga. Ushaur; Serikali yetu ingetunga Sheria mathubuti za kuzuia vikaragosi hivyo visionyeshwe wala kufanya mijadala kama hiyo. Maana wazung wanaweza sema ni haki ila ni kwao...
  19. Analogia Malenga

    DC Mpogolo: Watumishi wa Afya msiwe na kigugumizi katika kupata chanjo

    Mkuu wa Wilaya ya Same, Edward Mpogolo amesema baadhi ya wataalamu wa Afya wamekuwa na kigugumizi katika kupata chanjo ya #COVID19 hali ambayo huwaondolea hamasa wananchi katika kujitokeza kupata chanjo. Amewataka wahudumu wa Afya wawe mfano bora ili kuwahamasisha wananchi kwenda na nia ya...
  20. J

    Afya ya akili yako ni muhimu katika kupambana na COVID-19

    AFYA YA AKILI YAKO NI MUHIMU KATIKA KUPAMBANA NA #COVID19 Shirika la Afya Ulimwenguni linaeleza kuwa afya ya akili ni miongoni mwa jambo la msingi katika kupambana na janga la #coronavirus. Inaelezwa kuwa athari za janga la Corona linaweza kuzalisha hisia za wasiwasi, woga na msongo wa mawazo...
Back
Top Bottom