Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa Watu wasio Wazanzibar.
Saada ametoa kauli hiyo Juni 8, 2026 wakati akijibu hoja kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitia vikao vinavyoendelea vya kujadili bajeti...
HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA KUNA UTAPELI MWINGI KWA VIONGOZI TUNAOMBA WACHUNGUZWE.
Mimi ni mwajiriwa kada ya afya ni nurse by professional, niliajiriwa mwaka Jana lakini cha kushangaza Toka turipoti kazini ni mwaka sasa na miezi umepita hatujalipwa pesa za kujikimu.
Tumekuwa tukifatilia...
Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Meja Edward Gowele amefanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha Afya Nyangoto, kinapatikana Nyamongo Mkoa wa Mara, Wilaya ya Tarime Vijijini, Kata ya Matongo ambapo amezungumza na Wagonja na uongozi wa kituo hicho.
Ziara hiyo imefanyika baada ya Mdau kuelezea...
Dar es Salaam, Juni 6, 2026 — Wizara ya Afya leo itahodhi Kongamano la PPP lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHIMBILI-CHPE). Tukio hili limeandaliwa kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre) pamoja na wadau...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha Kolandoto Colage of Health Science kilichopo Shinyanga Kolandoto, tunapitia changamoto zakutosha sana wanafunzi nitaje baadhi;
1. Wanafunzi tumekuwa tukifelishwa na waalimu makusudi kisa bifu, au mahusiano ya kimapenzi baina ya waalimu na wanafunzi na utoaji wa...
Anonymous
Thread
afya
changamoto
chuo
health
katika
kozi
kozi za afya
science
wanafunzi
Wakuu, leo tarehe 04/06/2026 nimenunua maji ya Afya (Special) dukani. Kabla sijayatumia, niliyatikisa kidogo ili niyaangalie vizuri, na nilichokiona kilinishangaza.
Ndani ya maji kulikuwa na uchafu unaofanana kabisa na ule unaopatikana kwenye maji ya kandoro/kidebe. Kutokana na hali hiyo...
Tumeshindwa kabisa kukaa vikao vya kichama na kuyamaliza?, tuliolelewa ndani ya chama tunarekodi nzuri juu chama chetu na mifano lukuki juu ya ccm yetu,ambayo inapotokea misuguano basi sisi wana ccm wote kwa pamoja huchutama chini na kukaa pamoja na kuondosha zimwi linalotaka kujitokeza na...
●Biometrical Engineering
Hapa soma diploma tu fanya kazi utapanda daraja kidogo kidogo
●clinical
●Nursing
●health laboratory
●physiotherapy
●Dental therapy and surgeon
●Environmental health
●Radiology
●Nutrition
●occupational therapy
● Technologist pharmacy
Kukimbia ni Bure
Kupiga pushup ni Bure
Mazoezi ya kukimbia ni Bure.
Kijana jitahidi usiwe na kitambi kwasababu kuwa na afya bora sio biashara...ni wajibu wako.
Six pack muhimu
Kifua kikubwa Muhimu
Muonekano wa mazoezi muhimu.
Haya
Tukomae
Kufanya ngono salama na yenye upendo huongeza maisha ya binadamu badala ya kuyafupisha, kwani tendo hili huboresha afya ya mwili na roho kwa wakati mmoja.
Kisayansi, watu wanaoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara hupunguza hatari ya kufa mapema kwa asilimia 50 kutokana na .
kuimarika kwa afya...
Mamlaka ya maji safi na taka Mtwara mjini imeshindwa kutoa maji kwa wakazi wa shangani east, sijui na maeneo mengine kwa muda wa takriban miezi miwili.
Afya za watu hawa zipo hatarini kwani hakuna vyanzo vingine vya maji wanaweza kupata watu hawa.
Jitahidini kuja na majibu ya changamoto hii...
Anonymous
Thread
afya
hawana
kimya
maisha
maji
maji safi
mamlaka
miezi
miezi miwili
mjini
mtwara
mtwara mjini
muda
safi
taka
wananchi
Halmashauri ya Nyang’hwale ajira za july 2025 kada zingne zote wamepata hela yao ya kujikimu isipokuwa kada ya afya na tukiulizia kwa katibu wa afya anatufokea
Anonymous
Thread
afya
ajira
halmashauri
kada
kada ya afya
nyang'hwale
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akifanya Mahojiano na Clouds Media leo Mei 28, 2026
"Inaonekana wazi kwamba mazingira yetu sasa hivi ya watu ambao bado wako active kwenye siasa mazingira ya siasa ni magumu. Mnaona sarakasi za msajili na na chama cha Chadema ambazo hazina...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo.
Sisi Watanzania tuna utamaduni wa kuchangiana kwenye sherehe au misiba,
hivyo ili Tanzania tuweze kupata maendeleo ya kweli, maendeleo endelevu, Watanzania ni lazima tubadilike sio tusichangie sherehe au misiba, bali tubadilike na...
Sisi watumishi wa afya tulioajiriwa mwezi Novemba 2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha tunaomba Ofisi ya Waziri Mkuu isimamie suala la kuthibitishwa kwetu kazini, kwani mpaka sasa hatujapatiwa barua za kuthibitishwa wala barua za kuongezewa muda wa probation period. Kutokana na hali hiyo...
Wahitimu wa Chuo cha Kilimanjaro College of Health and Allied Science (KICHAS) hatujapata vyeti lakini tukiulizia wanasema chuo chetu kilisahaulika.
Wahitimu wa Mwaka 2025, tumeuliza uongozi wa chuo wanasema kwenye vyuo vilivyopata vyeti chetu hakipo kwa sababu kilisahaulika wakati wanaprint vyeti.
Anonymous
Thread
afya
chuo
college
health
kilimanjaro
vyeti
wahitimu
Kwa muda mrefu sasa hatupati posho ya madaraka, tofauti kabisa na wenzetu wa sekta ya elimu hasa wakuu wa shule za msingi ambao wao wanalipwa posho hiyo, hadi kufikia laki mbili kwa mwezi. Sisi Wafawidhi wa Vituo vya Afya, kuanzia ngazi ya hospitali hadi zahanati, hatupati chochote...
Ajira mpya wilaya ya chemba afya tuna mwaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu
Anonymous
Thread
afya
ajira
ajira mpya
fedha
fedha za kujikimu
hali
hali ya maisha
hatujapewa pesa ya kujikimu
januari
kujikimu
maisha
mishahara
mpya
mwaka
ngumu
pesa
pesa ya kujikimu
shida
tuna
wilaya
wilaya ya chemba
Kaka yangu Nape, mapema mwaka huu aliwahi kusema, kama serikali isipodhibiti matumizi ya nguvu dhidi ya raia, Siku moja wananchi watakikataa chama chetu.
Kila mtu anaweza kuwa na mtazamo wake juu ya hili, lakini mimi napenda kuwakumbusha viongozi wangu uchaguzi wa 2010 Mbeya mjini kati ya Sugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.