Wakuu,
Nipo hapa kuwasisitiza na kuwakumbusha tutunze afya zetu.
Binadamu jinsi tulivyo ukiichezea afya yako vibaya kuna wakati unafika unaanza kuoza.
Yaan mtu akikutazama hivi anakuona kwa nje ni mzima kabisa ila ndani wewe tayari umeshaanza kuoza unaoza kaka unaoza dada unaoza kijana unaoza...
Inasikitisha kijana mwenye ufaulu hafifu D nne anaenda kusoma clinical medicine awe daktari akatibu watu kweli?
Vigezo vya D vifutwe wenye sifa za kusoma iwe kuanzia angalau C
Vyakula vinavyosaidia kuboresha afya ya uzazi kwa mwanaume ni pamoja na:
Vyanzo vya protini na zinki
Samaki (hasa samaki wenye mafuta kama salmon, sardini)
Mayai
Nyama nyekundu kiasi (beef, kondoo) - zina zinki nyingi muhimu kwa uzalishaji wa mbegu za kiume
Karanga na mbegu (hasa mbegu za...
Serikali ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imepokea baiskeli 279 kutoka kwa mdau wa maendeleo wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania kwa ajili ya kusaidia kuboresha utoaji wa huduma za afya ngazi ya jamii.
Akizungumza katika hafla ya kukabidhi baiskeli hizo Katibu Tawala wa Wilaya ya Ileje...
DC MWENDA AKABIDHI MAGARI 4 YA KUBEBEA WAGONJWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA IRAMBA
Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Alhaj Suleiman Yusuph Mwenda, Jumatano Julai 15, 2026, amekabidhi magari manne (4) ya kubebea wagonjwa (ambulance) kwa ajili ya kuimarisha huduma za afya katika Vituo vya...
Ndugu Wakuu,
Katika uzi wangu uliopita, tulijadili jinsi mzunguko usio na tija wa kodi ya mvuja jasho unavyoishia kufadhili anasa za wachache huku mtaani vijana wakipambana na ukata wa mitaji. Leo naomba tushuke chini zaidi kwenye mifumo ya kibajeti ya nchi yetu.
Tanzania ni nchi changa...
Habari Tanzania !.
Naomba mamlaka husika kuanzia NACTVETA na TCU kozi zote za afya ziwe na mafunzo ya kijeshi kwa ulazima aisee. Yaani hao jamaa wakihitimu iwe vyuo binafsi au vya umma waende walau kozi ya kijeshi isiyopungua miezi 6 mpaka mwaka 1. Na wawe askari kamili.
Asante.
Serikali ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imepokea baiskeli 279 kutoka kwa mdau wa maendeleo wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania kwa ajili ya kusaidia kuboresha utoaji wa huduma za afya ngazi ya jamii.
Akizungumza katika hafla ya kukabidhi baiskeli hizo Katibu Tawala wa Wilaya ya Ileje...
Heshima kwenu wakuu,
Katika ulimwengu wa biashara wa sasa hapa Tanzania, rasilimali watu ndio injini kuu ya mafanikio ya kampuni yoyote. Wafanyakazi wakiwa na amani ya nafsi (peace of mind), ufanisi kazini (performance) huongezeka mara dufu.
Je, unajua kwamba unaweza kulinda afya na ustawi wa...
Hello wanajukwaa,
Nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa afya na uzima anaotupa kila siku, pia niwashukuru jamiiforums kwa kuwa karibu na wananchi kwa kupeleka kero zetu mahali husika na utatuzi kutolewa kwa wakati(Asante Team JF). Mwezi wa tatu ilipostiwa kero kuhusu kituo Cha afya Kigamboni...
Anonymous
Thread
afya
jamiiforums
kigamboni
kituo
kituo cha afya
mrejesho
taarifa
tarehe
Mimi ni mtumishi Halmashauri ya Mbomba mkoa wa Songwe ajira mpya Kada ya Afya tunadai pesa zetu za kujikimu kwa muda mrefu sana sasa, Julai 12, 2026 wamelipa ila wamelipa pungufu wakati walisema kuwa serika imeshaingiza pesa zote hivyo tutalipwa zote bila ubaguzi.
Ajabu wamelipa kiwango tofauti...
Anonymous
Thread
afya
ajira mpya
fedha za kujikimu
halmashauri
kada ya afya
songwe
Naomba kuwasilisha kero hii
Ni takribani mwaka mmoja sasa tangu kuahidiwa kwa muundo mpya wa kada za afya, hususan kada ya uuguzi, lakini utekelezaji wake bado haujaanza.
Tunaomba mamlaka husika kuliangalia suala hili na kutupatia majibu kuhusu ni lini muundo mpya utaanza kutumika, kwa kuwa...
Sio kwamba eti ni punyeto ndio imefanya umeaanza kuona hakuna utamu katika sex , no , ni afya ya akili ndio director wa hii movie, unakuta mtu anachakata mikono kila muda kwa kutumia energy zake zote na akifanya hivi akili yake hutulia tuli kuliko kama angepata jagina.
Usicheze na kitu kinaitwa...
Habarini,
Kwanini lakini kitu cha muhimu kama hiki hakitiliwi maanani?
Watu wanapanga kuandamana kwaajili ya masilahi ya wanasiasa badala ya maandamano kwaajili ya BIMA YA AFYA KWA WOTE kwani ndiyo shida ya Watanzania walio wengi.
Ni bora wapinzani mkawekeza kwenye matatizo ya wananchi siyo...
Nimekuwa nikihudhuria Muhimbili kwa takribani mwezi sasa. Ukweli wagonjwa wanachukua muda mrefu sana kumsubiria Daktari afike. Madaktari wengi wanaanza kusikiliza wagonjwa kuanzia SAA TANO asubuhi wakati kuna watu wamefika toka saa kumi na moja asubuhi.
Nashindwa kuelewa wanakuwa wapi alafu ni...
Habari za majukumu, JF.
Sisi watumishi wa ajira mpya wa Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Momba (Momba DC) bado hatujapokea fedha zetu za kujikimu hadi leo, wakati watumishi wa halmashauri nyingine tayari wamelipwa.
Jambo linalotusikitisha zaidi ni kwamba tunapofuatilia stahiki zetu...
Napenda kuwasilisha malalamiko kuhusu yanayoendelea katika Kituo cha Afya Makurumla (zamani Mianzini) kilichopo Mburahati, Dar es Salaam.
Kwanza, kuna changamoto kubwa ya malipo ya overtime kwa watumishi. Tulilipwa mara ya mwisho mwezi Oktoba 2025, na tangu Novemba hadi sasa hatujalipwa kabisa...
Kumekuwa na changamoto nyingi sana za kiutumishi kwa uongozi uliopo, watumishi kunyanyaswa na kukosa haki zao za kiutumishi na kupelekea utendaji kazi kudhoofika kwa baadhi ya watumishi na hali hii imesababisha kutokuelewana katika kutimiza majukumu ya kazi ya kila siku na kufanya utendaji kazi...
Anonymous
Thread
afya
halmashauri
idara
idara ya afya
uongozi
wilaya
Iwapo meno yako yametoboka/ kuoza kuna huduma ya kuziba meno ( Teeth Filling / Restoration)
Faida Zake
-Jino Litadumu kwa mda mrefu
-utazuia kuharibika zaidi kwa jino
-Utatafuna Chakula Vizuri
Utalinda meno mengine yasiharibike
Utakuwa na Muonekano mzuri wa meno yako
Nimeambatanisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.