Afya

Afya

pambe samanini

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2015
Posts
444
Reaction score
241
Naomba msaada kama Kamanga medics hospital wanataibu severe hearing impairment? Aliye na uzoefu matibabu ya hapo anisaidie
 
N
Anywhere brother, but kwa sababu nipo Shinyaga nilionelea kuwa ni karibu nami, km Kuna sehemu nyingine tijuzane tu

Kwa kuwa upo Shinyaga, nakushauri uende Bugando mkuu!
Pale wanavifaa vizuri zaidi kufanya Audiometry pamoja na Tymponemetry.
Kama una Severe Hearing Loss, utatibiwa. Na pia kama una Hearing impairment, utapimwa na watajua nature ya tatizo lako, n kukushauri. Kama tatizo lako litakuwa kubwa sana, unaweza nicheki PM.
Kila la kheri mkuu.
 
Back
Top Bottom