Fedha za basket fund ambazo huwa zinaingizwa kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya kila baada ya robo mwaka haijaingia tangu mwezi disemba 2025.
Hii imepelekea changamoto ya uendeshaji wa vituo hivi vya Afya kwani fedha hizi hutumika kununua dawa na vifaa tiba, kulipa bili za umeme na maji...
Nipo katika hospital ya Wilaya ya Mkalama muda huu.
Naona kila mhudumu wa afya anapita kavailia uniform nadhifu lakini cha kushangaza chini wanavaa yeboyebo tena za shilingi elfu tano tano.
Je, ndio utaratibu rasmi wa Wizara ya Afya?
Anonymous
Thread
afya
huduma
kazini
rasmi
sana
utaratibu
watumishi
wizara
wizara ya afya
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Nchi yetu imesaini makubaliano muhimu ya sekta ya Afya yenye thamani ya bilioni 3.1.
Hili sio jambo dogo hususani ukiangazia mwenendo wa ufadhili wa USA kwa Tanzania kwenye sekta ya Afya.
Vile vile hili ni pigo kubwa kwa wapinzani wapinga maendeleo ambao...
Albert Chalamila, leo Julai 2, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kutangaza kuwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imeandaa kampeni maalum ya upimaji wa afya na utoaji wa matibabu bure kwa wananchi kwa muda wa siku sita.
Akitoa taarifa hiyo, Chalamila amesema kampeni hiyo itaanza Julai 3 hadi...
Mimi ni mmoja wa watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, na ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu mazingira ya kazi ambayo kwa muda mrefu yamekuwa magumu kutokana na mwenendo wa katibu wa kituo chetu.
Sisi watumishi tunafanya kazi kwa muda wa ziada (overtime), lakini malipo yake hayafanyiki...
Anonymous
Thread
afya
kituo
kituo cha afya
mambo
mambo ya
sawa
serikali
uongozi
watumishi
yombo vituka
Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, yenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.14 kupitia uwekezaji wa pamoja wa nchi hizo mbili.
Makubaliano...
Tunaomba msaada wa kutupazia sauti sisi Watumishi wa Ajira Mpya wa Januari 2026 wa Kada ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Mkoa wa Singida, ambao hadi sasa hatujapatiwa fedha za kujikimu licha ya taarifa kuwa fedha hizo zimeshawasilishwa kutoka Hazina kwenda Halmashauri.
Kwa muda...
Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kutatua changamoto hii.
Waajiriwa wapya wa sekta ya afya mwaka 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro, tunaendelea kuzungushwa kuhusu malipo ya posho zetu za kujikimu.
Tunaomba suala hili lishughulikiwe haraka ili tupate haki zetu kwa...
Tunaomba mfanye uchunguzi wa kina kuhusu utendaji wa Kaimu Mganga Mkuu wa Halmashauri (TMO) na Katibu wa Afya wa Halmashauri ya Mji wa Nzega (Nzega TC).
Kuna malalamiko yanayoibuliwa kuhusu ukosefu wa ushirikiano katika uongozi, pamoja na maamuzi yanayodaiwa kuathiri utendaji na morali ya...
Anonymous
Thread
afya
katibu
malalamiko tamisemi
nzega
waziri wa afya
Nikikumbuka, TAARIFA ya waziri mkuu mstaafu dhidi ya Afya ya Hayati magufuli kwa wananchi wa Tanga, aliwambia naomba kunukuu" Rais WENU ni mzima wa buheri WA afya, yupo imara kama CHUMA na anawasalimia wotee" wananchi heheeeeeeee vicheko na nderemo😚🤣😊😁😂😊🤣 staki niamini km pm hakuwa na TAARIFA...
Habari za asubuhi wadau
Nahitaji MSAADA wa kupata chuo huko kwenye mitandao mingine naona matangazo mengi kuhusu hiki chuo vipi wakuu kinafaa au ndoa kizuri chajiuza.......
Uandikishaji ulifanyika kwa siku saba kwa kupita kaya kwa kaya lakini wamelipwa kiasi cha sh. 50000 tu. kwa siku hizo zote.
Tunaomba katibu mkuu wizara ya Afya atolee ufafanuzi suala hilo, Kwan huu ni unyanyasaji. Hata fedha ya mafunzo halimashauri ililipa sh.15000 tu.kinyume na utaratibu.
Anonymous
Thread
afya
katavi
kilio
mpimbwe
vyandarua
wahudumu wa afya
Wanajukwaa sina mengi ya kueleza, lakini itoshe kusema hawa watu wanaosali makanisa ya kilokole kwa asilimia kubwa wanamatatizo makubwa ya afya ya akili!
Mama yangu ni mlokole, Imagine back then 1998 aliachana na baba sababu baba kakataa kuokoka, baba kafanyiwa matukio mpaka akakimbia familia...
Wahudumu wa afya ngazi ya jamii katika Manispaa ya Songea na Halmashauri ya Wilaya ya Songea wamekabidhiwa jumla ya baiskeli 337 kwa ufadhili wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania Limited ili kurahisisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi.
Katika Manispaa ya Songea, baiskeli 140 zimetolewa...
Sisi wananchi wa eneo la Kindimbachini, Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, tunaomba kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu vitendo vinavyodaiwa kufanywa na mmoja wa wahudumu wa afya katika Kituo cha Afya Kindimbachini.
Mhusika huyo amekuwa akiwaambia wagonjwa kuwa baadhi ya dawa muhimu hazipatikani...
Anonymous
Thread
afya
dawa
kituo
kituo cha afya
mbinga
mtumishi
mtumishi wa umma
taasisi
umma
Mimi niliajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo mwaka 2021, nikifanya kazi katika Hospitali ya Wilaya. Baada ya miezi miwili nilipewa barua ya kuhamishwa kituo cha kazi, hivyo nikaandika barua ya kuomba posho ya uhamisho. Hata hivyo, hadi leo sijalipwa.
Nimekuwa nikiandika barua za...
Anonymous
Thread
afya
fedha
likizo
mwaka 2021
uhamisho
watumishi
watumishi wa afya
Tunatafuta mtu wa mauzo wa muda wote atakayeweza kushughulikia na kuwasiliana na wagonjwa, kufanya ufuatiliaji, na kuwashawishi wateja kupitia simu na mitandao ya kijamii kama WhatsApp.
Mtu anayeweza kuwasiliana kwa simu na kufanya ufuatiliaji mara kwa mara atapewa kipaumbele.
Kazi hii ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.