Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kinara wa Umoja wa Afrika wa Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwaongoza Viongozi wakuu wa nchi Barani Afrika na Wadau wa Maendeleo kujadili na kuhamasisha uwekezaji katika afya ya uzazi, mama, mtoto...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba alisema uwezeshaji wa wanawake wakulima ni uwekezaji katika utekelezaji wa dhana ya Afya Moja, kutokana na nafasi yao katika uzalishaji wa chakula, ufugaji, lishe, afya ya mifugo, usalama wa chakula na utunzaji wa mazingira.
“Wanawake hawapo pembezoni mwa...
Naam hasa afya ya akili..
Hawa wake zetu kwa kiasi fulani wanachangia sana kututanguliza mahala pema peponi.
Hivyo mkombozi ni nyumba ndogo,,,huko hupata vitu ambavyo mke hawezi kukupatia,
Wanaume tunahitaji heshima tu,,ukiambiwa jambo sikiliza.
Mke akiwa na jeuri na kujibu kwa dharau hufanya...
CHEMICAL MASK YA UHAKIKA!
Linda afya yako unapofanya kazi hatarishi b
Mask hii ni bora kwa vumbi, kemikali na harufu kali
V Inakaa vizuri usoni
V Ina filter imara (double protection)
Bei yake ni 40000/= kwa mawasiliano ni 0612630936 .. mikoani pia tunasafirisha
V Inafaa kwa mafundi, welding...
Miaka 10 iliyopita, Serikali ilipiga marufuku viroba vilivyokuwa vikitumika kuhifadhia na kuuza pombe kali, ambavyo vilitajwa kuwaathiri zaidi vijana na watoto kutokana na kupatikana kwa urahisi. Hatua hiyo ilichukuliwa miongoni mwa juhudi za Serikali za kudhibiti matumizi ya pombe na wakati huo...
Anonymous
Thread
afya
hatua
janga
kabla
katika
mamlaka
mpya
nchini
sura
tishio
tishio kwa afya
vijana
viroba
Katika chumba cha exray katika Hospitali ya Lumumba Unguja, Zanzibar, mabadiliko ya kiteknolojia yanabadilisha namna madaktari wanavyochunguza magonjwa, kufanya maamuzi, na kuokoa maisha.
Katika kisiwa hicho, mifumo ya akili bandia (AI) inawasaidia madaktari kutafsiri picha za exray, huku...
Usafi wa mazingira ni ustaarabu, usafi binafsi ni utu. Tusiwe chanzo cha kero kwa wadau wengine mtaani kwetu kwa matumizi yasiyosahihi ya miundombinu ya maji au matumizi ya makusudi kwa kuharibu.
Serikali inajenga miundombinu hii kwa matumizi ya wananchi wote na kuimarisha afya ya jamii yetu...
Kwanza, napenda kuwapongeza Tanzania Health Summit kwa kuanzisha na kuendesha tuzo zinazowatambua na kuwapa motisha wafanyakazi wa afya nchini Tanzania. Hili ni jambo zuri na muhimu, hasa katika mazingira ambayo mchango wa wataalamu wa afya mara nyingi haupati utambuzi unaostahili.
Pia, sina...
Tukutane New York!!!!!!
Tanzania ikiendelea kuongoza juhudi za kuimarisha afya na ustawi wa mama na mtoto barani Afrika.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Bingwa wa AU wa Afya ya Mama na Mtoto, atakuwa mwenyeji wa tukio la UNGA81 kuhusu - Malengo matatu...
Kutokana na jua kuwa kali sana, na kuchoma usoni, mwili, mpaka mifukoni, kumekuwa na ongezeko kubwa sana la waganga na manabii kwenye mitandao ya kijamii, hasa kule Tiktok.
Ukifungua kidogo tu, mara pasta fulani anatokea, hujakaa sawa, mara nabii, hujakaa tena sawa mara mganga wa utajiri n.k...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Ameingia na Kutua Mkoani Tabora kwa Ziara ya kikazi ya Siku nne .
Ambapo katika Ziara hiyo Atafanya ukaguzi Wa Utekelezaji wa miradi ya Afya inayotekelezwa Chini ya Taasisi yake ya Jakaya...
Ahsante kwa kutoa taarifa ile, imetusaidia kwa kiasi fulani, Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Wilaya ya Momba – Tunduma tumeanza kupe stahiki zetu.
Mfano wapo waliokuwa wanadai malipo ya miezi tisa, lakini wamepewa malipo ya miezi minne, hivyo bado tunasubiri miezi mitano.
Hoja ya awali ~...
Sioni faida ya hawa mapolisi kupiga kwata na mazoezi kila uchwao kama mtu tu wa kawaida ambaye amedhoofika vile amemtandika kisawa sawa askari.
Najiuliza , je angekuwa mtu wa mazoezi / body builder huyo askari angekuwa na hali gani?
Nimewaza tu kwa sauti na kwa maono ya Kimadhabau,
Je yawezekana Rais akatokea huko mbeleni (Sisemi wa sasa) akaomba kupimzika kwa maslahi ya Taifa?
1. Inaweza kuwa ni kweli anataka kupumzika kisa Afya
2. Yaweza kuwa Nia njema kwa kusoma michezo ya wanaotaka kumrithi kwa mtandao akaamua akae...
Kwamba umepiga PCB , cbg hasa kwa nyie madaktari wamifugo , kwamba mnakosa pesa ?
Halafu fomu six umehitimimu 2006 , ila hapa jukwaani hauna hata 2000 ya local bia🤔
Wewe ni bora ungekufa tu tupate mbolea ya kurutubisha udongo bwashee 🤔
Mkutano huu unatoa fursa ya tafakari ya pamoja katika safari yetu kama Taifa, Afrika na dunia kwa ujumla katika kufikia malengo ya Maendeleo Endelevu- Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Arusha-Tanzania
🗓️Septemba 09, 2026
———————————————-
Ameyasema hayo wakati alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya...
Nchi za Afrika zinapaswa kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Arusha-Tanzania
🗓️Septemba 09, 2026
———————————————-
Ameyasema hayo wakati...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Septemba 9, 2026, amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi.
Mkutano huo unafanyika katika Kituo cha Mikutano...
Ipo hivi jamaa yangu anaishi na mke ambaye tayari Wamejaaliwa kupata watoto wawili ,sasa anasema mwaka jana waliingia kwenye mgogoro mkubwa baada ya kugundua mke wake alikuwa akimsaliti japo huo usaliti ulitokea kipindi cha nyuma hili suala limefika pabaya jamaa aliamua kumufukuza waifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.