afya

  1. JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania inatumia 10.1% ya Fedha za Mikopo kulipia Mikopo ya Nje

    Kwa mujibu wa Kanzidata ya Kimataifa ya Takwimu za Madeni (IDS) kuhusu Madeni ya Serikali za Afrika, imeonesha kati ya mwaka 2015 hadi 2023, Tanzania imetumia wastani wa 4.26% hadi 10.1% ya Fedha za Mikopo katika kulipa Deni la Nje. Ripoti imeonesha Nchi 30 za Afrika zinatumia Fedha nyingi...
  2. JamiiForums Tanzania Wananchi Bukoba: Machinjio Manispaa ya Bukoba siyo rafiki kwa matumizi, yaboreshwe

    Wananchi Manispaa ya Bukoba Mjini wameilalamikia miundombinu ya machinjio na kudai kuwa siyo rafiki kwa matumizi ya binadamu na afya kwa ujumla. Baadhi ya changamoto zilizolalamikiwa katika machinjio hiyo ni pamoja na Plumbing system ni chafu na mifereji imekufa, drainage system hakuna, sakafu...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada kuhama chuo cha afya NACTE baada ya kuahirisha kwa Muda Mrefu

    Habari zenu ndugu zangu wa JF Hii ni mara yangu ya kwanza kushiriki na swali ni kama linavyojieleza hapo Niliwahi soma clinical medicine mpk Level 5 semester 1 changamoto za ada ikanilazimu nisimame nihangaike na mishe zingine nashkuru Mungu nimejipata kiasi Sasa juzi wakati nacheki student...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada kwa tatizo la afya ya ubongo

    Amani iwe kwenu, Nina ndugu yangu amepatwa na tatizo la kuweweseka, kuona vitu visivyo na uhalisia (hallucinations). Kuna muda anakakamaa mwili hadi inapelekea kuanguka kama mgonjwa wa kifafa. Tafadhali mwenye kujua sababu na aidha matibabu yake anaweza kushare hapa. Tatizo limemuanza juzi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wafanyakazi wa viwandani iwe lazima kisheria

    Habari wana JF! Ndugu zangu nimefanya kazi katika baadhi ya viwanda mkoa wa Pwani nimegundua wapo Watanzania wanafanyakazi maeneo hatarishi sana. Ndugu zangu kama mnavyojua viwandani kuna kemikali na emissions nyingi mno. Ingawa kwenye sheria zetu kuna taratibu nyingi zimewekwa kwa ajili ya...
  6. JamiiForums Tanzania Shule za binafsi (msingi na sekondari) kutoza wazazi/ walezi bima za afya wanafunzi kwa kila mwaka Ummy mwalimu unalifahamu hilo?

    Kuna wimbi limeingia kwenye wizara ya elimu shule binafsi kutoza bima ya afya 300, 000 kila mwanafunzi kwa kila mwaka. Hizi bima ni halali au wazazi/ walezi tuna upinga mwingi!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Vyoo vya stendi ya Kahama ni vichafu sana na hatari kwa Afya

    Ninaomba nikufikishie hii kero iliyoko Stand ya Mabasi - Kahama mjini. Pamoja na kuwepo choo bora cha manispaa, bado kuna vyoo hatarishi (kama hiki) kwa afya za Watanzania na wasafiri wanaotumia stand hii ya Kahama. Nimeambatanisha picha hapa chini kama ushahidi. Mamlaka husika tunaomba mchukue...
  8. JamiiForums Tanzania Matunda kwa afya ya Macho

    Aloo wakubwa Matumaini yangu mko vizuri na ambao Afya zao haziko sawa Basi na Mwenyezimungu awasaidie wakae vizuri, Leo nataka tushee kitu kuhusiana na Afya ya macho. Wengi wamekuwa wakisumbuliwa na macho Kwa eidha kuwa na uoni hafifu na chàngamoto zingine pia za macho. Na hapana shaka yakuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini wizara ya afya iko hivi?

    Kila mara kuna tokea taarifa ambayo pengine haiko sahihi ...inaachwa mda mrefu Sana watu wanaamini na wenye kudhurika Wana dhurika halafu inapita miaka ndo wizara inakuja na tamko.... Mwarobaini...hii imani kuwa mti wa mwarobaini unatibu magonjwa zaidi ya 40 ilienea Kwa miaka kabla ya wizara...
  10. JamiiForums Tanzania Mayai ya viini viwili ni mazuri kwa afya? Tunaomba ufafanuzi wa wataalamu

    Hivi karibuni kumekuwa na Trends kuwa kuna kiwanda fulani hapa Dar es Salaam kinatengeneza mayai ambayo sio ya kutagwa na kuku na haya mayai bhana yanakuja yakiwa yamepakia viini viwili ndan yake. Tunaomba msaada wa ufafanuzi kutoka kwa wataalamu wa chakula na dawa, juu ya haya mayai ya kisasa...
  11. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Afya: Umuhimu wa kuanzishwa kwa Bodi ya Wakemia (Chemists Registration Board)

    Mheshimiwa Waziri, Natumai barua hii inakupata ukiwa katika afya njema. Napenda kutumia fursa hii kuelezea umuhimu wa kuanzishwa kwa Bodi ya Wakemia (Chemists Registration Board) nchini Tanzania. Wakemia ni wataalamu muhimu katika sekta ya afya na viwanda, na wana jukumu kubwa la kuhakikisha...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya atuombe radhi Wakulima na Wafanyabiashara ya matunda

    Kauli ya Waziri wa Afya kuwaeleza Watanzana kuacha kula matunda mchanganyiko si ya kitaalamu bali imejaa hisia yenye lengo la kuharibu soko la matunda ambalo linashamiri Tanga ni wakulima wazuri sana wa matunda hivyo kama mbunge anayetoa Tanga tulitegemea ahakiki taarifa aliyopewa na wataalamu...
  13. JamiiForums Tanzania Vituo saba vya Afya, Zahanati vyaanza kutoa huduma Wilayani Mbogwe

    Katika mkakati wa Serikali kuboresha huduma za afya nchini, vituo saba vya afya, zahanati katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe, mkoani Geita, leo Jumanne Oktoba 10, 2023; vimeanza kutoa huduma baada ya kufunguliwa rasmi. Akizungumza wakati wa halfla ya ufunguzi huo iliyofanyika katika Kituo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ukiona mpaka navaa Condom tafsiri yake sina imani na afya yako

    Huwa nachukizwa sana na wanawake ambao katikati ya mechi anakuomba uvue Condom Weekend iliyopita nilikua na manzi flani Lodge sasa mzee mzima wakati nipo round ya tatu manzi akaniomba nivue Condom na alivoona sitaki kuvua akaniuliza "huniamini" ??? Mpaka navaa Condom tafsiri yake ni kwamba...
  15. JamiiForums Tanzania Bugando: Kati ya Wagonjwa wa Afya ya Akili 5,000 wanaofika Hospitali, 500 wanahitaji Matibabu Maalumu

    Mkuu wa Idara ya Afya na Magonjwa ya Akili Hospitali ya Bugando, Dkt. Catherine Magwiza amesema Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando ya jijini Mwanza inapokea na kuhudumia wastani wa Wagonjwa 5,000 wenye tatizo la Afya ya Akili kila mwaka. Dkt. Magwiza ametaja baadhi ya Viashiria na...
  16. JamiiForums Tanzania Afya ya akili, mwili na roho

    Afya ya akili-Usomaji wa vitabu Afya ya mwili-Lishe bora na mazoezi Afya ya roho-soma kitabu chako cha imani, maombi, dua na kushiriki na ibada. SIMPLIFIED. Kuongezea iko tafauti ya ubongo na akili. Ubongo upo ndani ya mwili. Akili ipo ndani ya nafsi. Let me simplify it. Mtu anaundwa na vitu...
  17. JamiiForums Tanzania Udhalimu kwenye huduma za Afya, watoa huduma wengi Matapeli // Sakata la Mwakinyo

    Nina mada mbili leo acha niziseme tu maana binafsi zinanikwaza sana na kunifanya nione dunia imejaa maadui na watu wabaya. Tumekuwa na kawaida ya kutoa lawama na kashfa kwa serikali, lakini Watanzania naomba tukumbuke kuwa waliokaa kwenye uwongozi ni sisi hao hao Watanzania Tamaa ya fedha...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Fahamu namna ya kulinda Figo zako

    Utangulizi: Katika nakala hii, tutachunguza umuhimu wa afya ya figo na jinsi tabia fulani zinaweza kuleta tishio kwa figo zetu. Kwa kuelewa hatari zinazowezekana na kufuata tabia nzuri, tunaweza kuhakikisha utendakazi mzuri wa figo zetu na kudumisha ustawi wa jumla. UMUHIMU WA FIGO Figo ni...
  19. JamiiForums Tanzania Malumbano ya kisiasa hayana afya kwa ustawi wa demokrasia nchini

    Yanayoendelea miongoni mwa vyama vya siasa na vyama vya kiraia hususani chadema na sauti ya watanzania ni kudhoofisha afya na ustawi wa demokrasia nchini. Ni kudhoofisha jitiahada zilizoanza vyema sana za kutetea haki, uhuru, usawa na demokrasia. Malumbano yanarudisha nyuma na kupoteza uelekeao...
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Watoa huduma wa Zahanati ya Mianzini ni jipu. Wizara ya Afya ikaangalie wanachofanyiwa Wajawazito

    Kuna hii Zahanati ya Serikali ipo Mburahati hapa Dar es Salaam, inafahamika zaidi kwa jina la Zahanati ya Mianzini, kiukweli huduma zao ni mbovu sana hasa kwa hawa mama zetu Wajawazito. Awali nilikuwa nasikia tu taarifa hizo kuhusu madai hayo lakini nimeshuhudia mimi mwenyewe, nilienda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…