afrika

  1. beth

    Afrika Kusini: Mahakama kuu yamfutia Rais Ramaphosa mashtaka ya utakatishaji fedha na kudanganya Bunge

    Mahakama Kuu ya Afrika Kusini imefuta mashataka yote yaliyokuwa yakimkabili Rais wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa aliyeshtakiwa na Mpelelezi wa Masuala ya Rushwa, Busisiwe Mkhwebane. Alimshtaki Rais huyo kwa kulidanganya Bunge kuhusu matumizi ya fedha hizo. Pia alitaka Rais achunguzwe kwa tuhuma...
  2. J

    Maseneta wa Ufaransa wampongeza Rais Magufuli wasema ni kiongozi mwenye maono barani Afrika

    Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake. Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia. Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa...
  3. Ng'wamapalala

    Membe ulisema ‘’NIGUSE NINUKE’’, Kwa sasa tunasubiri hiyo harufu uliyoahidi!

    Baada ya kuvujishwa sehemu ya maongezi ya Bernard Membe na Katibu katika kijiji Rondo kata ya Chiponda katika mkoa wa Lindi akijidai na kumwambia, ‘’tunagonja sijui watatufukuzwa, mbona hawatugusi? Wapendekeze watufukuze waone moto wake’’ na kumaliza maongezi kwa kusema ‘’tuna vita kati ya...
  4. J

    Wabunge wa Tanzania wasusa na kutoka nje Bunge la Afrika Mashariki wakipinga kupitisha mswada wa Forodha

    Wabunge wa Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki wamesusia kikao na kutoka nje ya ukumbi wakipinga kupitisha muswada wa forodha. Spika wa bunge hilo aliahirisha kikao kwa akidi kutotimia. Source ITV habari!
  5. K

    Tahadhari kwa waafrika na Afrika

    Tunapoendelea na shughuli zetu huku kwenye hizi nchi zetu tusisahau kumuomba Mungu atuepushe na ugonjwa wa hatari kabisa wa Corona maana ugonjwa sasa hauko China peke yake bali tayari ushasambaa Iran, India, South Korea, Japan na ndani ya siku si nyingi tayari utakuwa ushatua kwetu na jinsi...
  6. J

    Rais Magufuli afanya mazungumzo na msomi Prof Patrick Loch Otieno Lumumba, msomi huyu ammwagia sifa lukuki Dr Magufuli

    Rais Magufuli leo amekutana na msomi mbobezi duniani Prof Patrick Lumumba Ikulu jijini Dsm. Rais Magufuli amempongeza Prof Lumumba kwa namna anavyojitahidi kuwashauri viongozi wa Afrika namna ya kuzifanya nchi zao zijitegemee. Nay Lumumba amempongeza Dr Magufuli kwa jinsi alivyoibadilisha...
  7. Miss Zomboko

    Misaada mingi ya China barani Afrika, Marekani yaitaka Afrika kuwa makini

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo hivi karibuni alimaliza ziara nchini Senegal, Angola na Ethiopia na katika Umoja wa Afrika. Hii ni mara yake ya kwanza kufanya ziara katika nchi za Afrika zilizoko kusini mwa Sahara, katika karibu miaka miwili iliyopita, tangu ateuliwe kuwa Waziri...
  8. J

    Mike Pompeo wa USA amaliza ziara yake barani Afrika, akemea viongozi wa vyama vya siasa wanaoongoza kiimla

    Waziri Mike Pompeo wa serikali ya Marekani leo amemaliza ziara yake ya nchi kadhaa barani Afrika huku akiwataka viongozi wa kisiasa barani humu kuacha mara moja tabia ya kuongoza kiimla. Pompeo amezuru nchi za Senegal, Ethiopia, Namibia na Afrika ya Kusini. Chanzo: Star Tv Habari
  9. joto la jiwe

    Tanzania yaongoza Afrika katika kuunganisha umeme vijijini yafikia 74%

    Tanzania yaongoza Afrika katika kuunganisha umeme vijijini, yaipiku Nigeria iliyokua kinara Sasa hivi Tanzania imefikia 74% katika kuunganisha umeme vijiji, Tanzania inategeme kufikia 95% ifikapo June 2022, na kuifanya nchi ya sita Afrika kufikia ""Universal Access" na ya kwanza katika ukanda...
  10. Elius W Ndabila

    Ukoloni mambo leo unatuchelewesha Afrika

    Na Elius Ndabila 0768239284 Tujikumbushe, niliandika September 2019 Ukoloni mambo leo ni neon lenye dhana pana na huenda likawa si geni kwenye vichwa vyetu, lakini ni vema tukawa na ufahamu wa pamoja juu ya nini maana ya ukoloni mambo leo kabla ya madhumuni ya hoja yenyewe. Pamoja na...
  11. Jamii Opportunities

    Nafasi za Kazi kutoka Kituo cha Ufundishaji Data cha Afrika Mashariki, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Ofisi ya Mwanasheria ya Serikali

    UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/K/154 11th February 2020 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of The Open University of Tanzania (OUT), The Eastern Africa Statistical Training Centre (EASTC) and The Office of the Solicitor...
  12. mitale na midimu

    Kiukweli Rais Magufuli ndio mwanasiasa pekee Tanzania aliyeanza moto na anamaliza miaka mitano moto bila kupoa

    Moto alioanza nao ndio anamaliza nao. Kuna watu tulidhani pumzi itakata katikati ya safari ila hilo halijaonekana. Ameanza kwa kuogopwa na anamaliza kwa kuogopwa. Hili nililithibitisha siku amezushiwa kufariki mitandani, Kuna jamaa mmoja mtumishi wa Umma alishukuru akasema afadhali aondoke...
  13. J

    2020 Afrika Mashariki kutembelewa na marais wawili wa dunia, Trump wa Marekani na Netanyahu wa Israel

    Ni jambo la kujivunia kwetu sisi wana Afrika Mashariki kupata ugeni huu mkubwa wa viongozi wa dunia. Ujio wa Benjamin Netanyahu wa Israel na Donald Trump ni fursa muhimu kwa wadau wa ukanda wetu wa Afrika Mashariki kutangaza vivutio vyetu vya utalii na fursa nyingine. Mungu awabariki...
  14. Analogia Malenga

    Afrika: Watu milioni 239 wakabiliwa na njaa na utapiamlo

    Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa FAO Marina Helena Semedo amesema takriban watu milioni 239 wa Kusini mwa Jangwa la Sahara wanakabiliwa na tatizo la njaa na utapiamlo. Amesema njia pekee ya kutokomeza masaibu hayo ni kupitia amani na usalama wa kudumu...
  15. Miss Zomboko

    Tanzania yaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na miradi mingi ya ujenzi na yenye thamani kubwa sana. Kenya yafuata

    Wakati serikali ikiendelea kuwekeza katika miradi mikubwa ya maendeleo hasa katika sekta ya miundombinu, ripoti ya ujenzi ya The Africa Construction Trends Report (2019) iliyoandaliwa na Kampuni ya Deloitte kutoka nchini Uingereza inaonesha kuwa Tanzania inaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na...
  16. Barbarosa

    Wengi hawajui kuwa sasa hivi Afrika na Tanzania ni dodo, siyo kama zamani!

    Ndo maana kila big power anakimbilia kufanya Afrika-Summit, kuna China-Afrika summit, EU-Afrika, Japani - Afrika, Urusi- Afrika, hata Uingereza naye juzi kati kafanya summit na Afrika, wote hawataki kuachwa nyuma, Afrika ndo future, US anasinyaa na wala hawezi kumtisha kila mtu tena anavyotaka...
  17. GENTAMYCINE

    Je, tuna Watu Jeuri (Kauzu) kama akina Nancy Pelosi katika Serikali (Tawala) zetu za Afrika hii ya sasa?

    Spika wa Bunge Marekani, Nancy Pelosi amechana hotuba ya Rais Donald Trump muda mfupi baada ya kumaliza kuisoma wakati akihutubia Bunge kwa kile kilichoelezwa kuwa kiongozi huyo wa Marekani hakumpa mkono wakati anamkabidhi nakala. Chanzo Habari: Mwananchi Online Hivi Yule Spika Mmoja hivi wa...
  18. Miss Zomboko

    Nzige kuendelea kuzaliana zaidi, Afrika ndilo eneo litakaloathirika kwa sana Duniani

    Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO limesema pembe ya Afrika ni eneo lililoathiriwa zaidi na uvamizi wa nzige wa jangwani kati ya maeneo matatu duniani yanayokabiliwa na janga hilo, mengine mawili yakiwa ni Uganda na Sudan Kusini. Taarifa iliyotolewa jana na FAO inasema janga...
  19. M

    Je, Serikali ya Magufuli kuwatosa Wapalestina? Netanyahu anakuja Afrika ya Mashariki

    Tunamjua Rais wetu, akipewa heshima kubwa ya kubumba (charm offensive) au kusifiwa basi ataenda extra mile hadi kuichanachana misingi iliyowekwa na watangulizi wake. Sote tunafahamu kuwa sera ya nchi yetu kuhusu mgogoro wa Wapalestina na Waisrael ni kusimama na Wapalestina ili wapate haki yao...
  20. Mathanzua

    Makundi mbalimbali ya Watanzania wanaoichukia serikali ya Rais Magufuli na kwanini wanaichukia...

    Tumeshudia Rais Magufuli akitukanwa kwa sababu zisizo za msingi kabisa,tena wakati mwingine kwa kufanya mambo ya msingi ambayo kama nchi tunayahitaji.Tumeshuaudia pia akibezwa na kudharauliwa.Lakini ni akina nani hasa wanahusika na vitendo hivi ambavyo si vya kiungwana kabisa, vyenye nia ovu ya...
Back
Top Bottom