Afrika huenda tukamkumbuka Trump

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,418
7,206
Kusema kweli wengi duniani wameshituka sana kuona mtu aliyechaguliwa kua waziri na biden kijana mrembo fulani hivi akimtambulisha mwanamume mwingine bila hata aibu kama mumewe.😩😩

Nilifikiri labda biden aliyefungisha ndoa ya mashoga ofisini kwake alipokua makamu wa rais huenda atawastahi walimwengu kuhusu aibu hii ya ushoga.

Kwenye maendeleo ya binadamu kwenye kupigania usawa wa jinsia binadamu duniani wanakubaliana ni kuleta usawa kwa jinsia za asili yaani wanawake na wanaume.

Ushoga hakika si jinsia asilia na binadamu wanajua ni uharibifu tu na tamaa ovu za binadamu. Kurasmisha ushoga hakika ni kuendekeza matamanio maovu ya binadamu na kufungua pandora box kwenye mambo maovu.

Hivi leo kuna wanaume wenye kujibadili viungo kutoka kiume kwenda kike na wanawake wenye kujibadili kwenda kiume. Kuna wanaume waliyojibadili jinsia na kufanywa wabebe mimba na kuzaa.

Mambo kama hayo kimaadili ya binadamu na kiroho hayakubaliki kwa binadamu karibu wote.

Utawala huu wa mademocrats zaidi ya mwenendo wao kuhusu ushoga wanaziandama nchi changa hasa za kiafrika kuzihujumu na kuziwekea vikwazo kama haziungi mkono kukubali wazi kuwapa heshima na kutambua ushoga kama kitu cha kawaida na haki ya mtu.

Nchi badala ishughulikie mambo ya msingi itatakiwa kuwalinda mashoga watoke kifichoni waishi kwa heshima na uhuru kitu ambacho kwa waafrika na binadamu karibu wote ni tabia ya aibu isiyofaa mbele ya jamii na kiroho.

Kipindi cha trump afrika na dunia imeshuhudia ushoga ukiwekwa sehemu yake. Kama jambo la aibu na lisilofaa kwenye jamii na kiroho.

Kipindi cha trump Afrika imeshuhudia uondoaji wa majeshi ya marekani sehemu mbalimbali za dunia na somalia. Pia Afrika imeshuhudia uingiliaji mdogo wa mambo yake ya ndani.

Tunakumbuka uingiliaji wa mademocrats wakati wa clinton huko congo uingiliaji uliyoleta maafa makubwa kwa Congo DR na eneo zima la maziwa makuu.

Pia wakati wa obama tumeona jinsi wamarekani walivyoingilia libya na kumuua kadhafi.

Kwa hivyo tujiandae kwa balaa. Wengi wanasema kuna hila za mademocrats na vyama vya kimafia freemason na mashoga inawezekana na mayahudi kuidhuru dunia kwa faida ya kuweza kuidhibiti dunia kiuchumi. Hata hili gonjwa la covid 19 huenda ni katika njama hizo.
 
No offence. Ushoga ni chukizo mbele ya Mungu. Si jambo zuri.

But si jambo zuri kwetu, ila kwao.. wenye tamaduni zao tuwaachie tamaduni zao.

Ushoga ungekuwa unafilisi nchi nadhani America wangekuwa maskini wa kutupwa.. wasingekuwa na maendeleo.

The fact ni taifa lenye uchumi mkubwa na maendeleo makubwa.. tuwaache kama walivyo.

Hakuna mahali biden alisema ataaambaza ushoga duniani.. hakuna..

Trump hakuwa kuuupinga hata siku moja. Hakuwahi hata kupeleka mswada bunge la senate ili wabatilishe hizo sheria.

Kama wenye nchi yao america.. hawaoni shida ya huo ushoga. Ww unacholalamika ni nn?

Tubaki na tamaduni zetu. Wao wabaki na tamaduni zao. Mambo ya kulalamikia tamaduni za watu wkt hazituhusu tuachane nayo.
 
Waitara kwao wanakeketa wanawake, mbona hamjakataa asiwe waziri? Ushoga wa Waziri wa Marekani unanihusu nini Mimi rijali wa Kwa Mtogole?
 
Kwanza unihusishe "mbona hamjamkataa". Kwanza siwakilishi kundi ama kikundi chochote. Wala siko upande wa mtu fulani.

So nitoe kwenye wingi. Waitara kwao wanakeketa wanawake.. okay.. ni waitara ndio anakeketa wanawake?
Hakuna sheria ya nchi inayomshtaki mtu kutokana na kabila lake.. wkt yeye mwenyewe hajavunja sheria za nchi.
 
Richard Grenell ambaye ni shoga aliteuliwa na Trump kama Balozi wa US nchi Ujerumani na baadaye kaimu mkurugenzi wa National Intelligence
 
Congo haijwahi kupata amani tangu imekuwa nchi huru na Gaddafi alistahili kuondolewa jinsi alivyoondolewa,alionywa kuuvuka mstari mwekendu wa kuanza kutumia mabomu kuwalipua waandamanaji ambao ni raia wasio wanajeshi na yeye bado akauvuka.
 
Yale maandamano yalisababishwa na propaganda zao, pamoja na kwamba Gadaffi alikuwa na mapungu, wananchi wake walikuwa better off kuliko hali waliyonayo sasa.
 
Mkuu fanya yako. Mwenyewe utakuwa na watoto ndioo utakuja kuelewa.

Trump hajawahi hata siku moja kupinga ushoga.

Marekani ni mbali, hapo Africa Kusini tu na kenya mashoga wako huru na wanafunga ndoa za kifahari.

Hapa Tanzania mashoga kibao, tembea ujionee. Ukiachana na mashoga watu wanakula tigo ni LUNDO nchi hii.

Nionavyo mimi kama ambavyo tulikuwa tunashangaa wanawake kuvaa vimini na suruali miaka hiyo na sasa tumezoea hivyo hivyo hali hiyo itakuwa kwa mashoga. Ni suala la muda tu.
 
Tuangamize kwanza ushoga kwetu ndio tusonte kidole kwa wengine, vinginevyo tuache tu unafiki.
 
No offence. Ushoga ni chukizo mbele ya Mungu. Si jambo zuri.
But si jambo zuri kwetu, ila kwao.. wenye tamaduni zao tuwaachie tamaduni zao.
Ushoga ungekuwa unafilisi nchi nadhani america wangekuwa maskini wa kutupwa.. wasingekuwa na maendeleo.
The fact ni taifa lenye uchumi mkubwa na maendeleo makubwa.. tuwaache kama walivyo.
Hakuna mahali biden alisema ataaambaza ushoga duniani.. hakuna..

Trump hakuwa kuuupinga hata siku moja. Hakuwahi hata kupeleka mswada bunge la senate ili wabatilishe hizo sheria.

Kama wenye nchi yao america.. hawaoni shida ya huo ushoga. Ww unacholalamika ni nn?

Tubaki na tamaduni zetu. Wao wabaki na tamaduni zao. Mambo ya kulalamikia tamaduni za watu wkt hazituhusu tuachane nayo.
Ila wasilazimishe tamaduni zao kwetu
 
Kusema kweli wengi duniani wameshituka sana kuona mtu aliyechaguliwa kua waziri na biden kijana mrembo fulani hivi akimtambulisha mwanamume mwingine bila hata aibu kama mumewe.😩😩

Nilifikiri labda biden aliyefungisha ndoa ya mashoga ofisini kwake alipokua makamu wa rais huenda atawastahi walimwengu kuhusu aibu hii ya ushoga.

Kwenye maendeleo ya binadamu kwenye kupigania usawa wa jinsia binadamu duniani wanakubaliana ni kuleta usawa kwa jinsia za asili yaani wanawake na wanaume.

Ushoga hakika si jinsia asilia na binadamu wanajua ni uharibifu tu na tamaa ovu za binadamu. Kurasmisha ushoga hakika ni kuendekeza matamanio maovu ya binadamu na kufungua pandora box kwenye mambo maovu.

Hivi leo kuna wanaume wenye kujibadili viungo kutoka kiume kwenda kike na wanawake wenye kujibadili kwenda kiume. Kuna wanaume waliyojibadili jinsia na kufanywa wabebe mimba na kuzaa.

Mambo kama hayo kimaadili ya binadamu na kiroho hayakubaliki kwa binadamu karibu wote.

Utawala huu wa mademocrats zaidi ya mwenendo wao kuhusu ushoga wanaziandama nchi changa hasa za kiafrika kuzihujumu na kuziwekea vikwazo kama haziungi mkono kukubali wazi kuwapa heshima na kutambua ushoga kama kitu cha kawaida na haki ya mtu.

Nchi badala ishughulikie mambo ya msingi itatakiwa kuwalinda mashoga watoke kifichoni waishi kwa heshima na uhuru kitu ambacho kwa waafrika na binadamu karibu wote ni tabia ya aibu isiyofaa mbele ya jamii na kiroho.

Kipindi cha trump afrika na dunia imeshuhudia ushoga ukiwekwa sehemu yake. Kama jambo la aibu na lisilofaa kwenye jamii na kiroho.

Kipindi cha trump Afrika imeshuhudia uondoaji wa majeshi ya marekani sehemu mbalimbali za dunia na somalia. Pia Afrika imeshuhudia uingiliaji mdogo wa mambo yake ya ndani.

Tunakumbuka uingiliaji wa mademocrats wakati wa clinton huko congo uingiliaji uliyoleta maafa makubwa kwa Congo DR na eneo zima la maziwa makuu.

Pia wakati wa obama tumeona jinsi wamarekani walivyoingilia lybya na kumuua kadhafi.

Kwa hivyo tujiandae kwa balaa. Wengi wanasema kuna hila za mademocrats na vyama vya kimafia freemason na mashoga inawezekana na mayahudi kuidhuru dunia kwa faida ya kuweza kuidhibiti dunia kiuchumi. Hata hili gonjwa la covid 19 huenda ni katika njama hizo.

Chama cha Democrats cha Marekani ni mawakala wa shetani. Hakuna kitu ninachokichukia kama USHOGA
 
The same effort inayotumika kupinga ushoga inatakiwa tuitumie kupinga anal sex Kati Man & Female ili kundi ni Kubwa kuliko had Mashoga hapa Tz
Hivi kama mtu anagonga Tigo ya mwanamke, anashindwa nini kugonga shoga ??
 
Chama cha Democrats cha Marekani ni mawakala wa shetani. Hakuna kitu ninachokichukia kama USHOGA
Haijalishi ni mawakala wa voda au tigo.
Haijalishi ni mashoga au lah..

Wamerekani wenyewe hawana shida nao.. wao wanashida na qualification za mtu anaetaka kuwa rais.

Ndio maana wapewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa kupigiwa kura
 
Back
Top Bottom