Dkt. Joyce Singano awa Mtanzania wa kwanza kupata Medali ya Brady

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
3,141
2,000
Mtanzania Dkt. Joyce Singano, amekuwa mwafrika wa kwanza kupata Brady Medal inayotolewa kwa wataalam watafiti wa miamba.

Dkt. Singano anafanya kazi Shirika la Maendeleo ya Mafuta Tanzania (TPDC) ambapo alitengeneza maabara yake mwenyewe tangu mwanzo.

Hadi hivi sasa Dkt. Singano ana machapisho 12, amefanyiwa marejeleo 1500 hali inayoonesha mchango wake katika taaluma ya miamba inaheshimiwa sana.

1611553406894.png

===

Tanzanian scientist Joyce Singano becomes the first African to be awarded the ‘Brady Medal.’

This is the highest accolade given to micropaleontology scientists who have had major influence in the field by means of excellent research and service to the community.

Micropaleontology is the study of organisms so small that they can be observed only with the aid of a microscope, and Dr Singano became the first micro paleontologist professional in Africa, spending much of her career working at the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) where she set up her own laboratory from scratch.

Speaking to The Citizen, Dr Singano said this is an inspiration to the young generation aspiring to be scientists. It is also palpable recognition for our country since she is also the only African micro-paleontologist to win the award.

“Some of researches that we did here in Tanzania have been used by many scientists and academics in their fields of work - and, till this day, researchers and other international scientists use samples from Tanzania,” she said.

According to The Micropalaeontological Society (TMS) which presented her with the award, Dr Joyce Singano’s knowledge and contribution have played a huge role in the geology and micropalaeontology research done in the country for the past twenty years.

“She has 12 published papers, many with University College London (UCL) researchers, and with almost 1,500 citations to-date - which, undoubtedly, represents a substantial body of outstanding research,” the statement by TMS asserts.

Most of Dr Singano work has been applied - and, therefore, remains unpublished. But, she had a huge contribution within the international Tanzania Drilling Project (TDP).

The Brady Medal

This is the highest award of The Micropalaeontological Society. It is named in honour of George Stewardson Brady (1832-1921) and Henry Bowman Brady (1835-1891) in recognition of their outstanding pioneering studies in micropaleontology and natural history.

The Medal is awarded to scientists who have had a major influence on micropaleontology by means of a substantial body of excellent research.

Service to the scientific community may also be a factor for consideration by the Awards Committee.
 
std7

JF-Expert Member
May 6, 2011
695
1,000
Hongera sana mama wewe Dr wa ukweli, tofauti na yule prof wa majalala anaesababisha elimu yetu idharauliwe.
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
53,476
2,000
Safi sana tunataka kusikia watu kama hawa
Mnatoa taarifa zao.....
Maana uraiani huku vichwa vya watu wanajua wakina shyshy ggy na wengineo ni vichwaaa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
6,248
2,000
Mtanzania Dkt. Joyce Singano, amekuwa mwafrika wa kwanza kupata Brady Medal inayotolewa kwa wataalam watafiti wa miamba.

Dkt. Singano anafanya kazi Shirika la Maendeleo ya Mafuta Tanzania (TPDC) ambapo alitengeneza maabara yake mwenyewe tangu mwanzo.

Hadi hivi sasa Dkt. Singano ana machapisho 12, amefanyiwa marejeleo 1500 hali inayoonesha mchango wake katika taaluma ya miamba inaheshimiwa sana.

View attachment 1685619

===

Tanzanian scientist Joyce Singano becomes the first African to be awarded the ‘Brady Medal.’

This is the highest accolade given to micropaleontology scientists who have had major influence in the field by means of excellent research and service to the community.

Micropaleontology is the study of organisms so small that they can be observed only with the aid of a microscope, and Dr Singano became the first micro paleontologist professional in Africa, spending much of her career working at the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) where she set up her own laboratory from scratch.

Speaking to The Citizen, Dr Singano said this is an inspiration to the young generation aspiring to be scientists. It is also palpable recognition for our country since she is also the only African micro-paleontologist to win the award.

“Some of researches that we did here in Tanzania have been used by many scientists and academics in their fields of work - and, till this day, researchers and other international scientists use samples from Tanzania,” she said.

According to The Micropalaeontological Society (TMS) which presented her with the award, Dr Joyce Singano’s knowledge and contribution have played a huge role in the geology and micropalaeontology research done in the country for the past twenty years.

“She has 12 published papers, many with University College London (UCL) researchers, and with almost 1,500 citations to-date - which, undoubtedly, represents a substantial body of outstanding research,” the statement by TMS asserts.

Most of Dr Singano work has been applied - and, therefore, remains unpublished. But, she had a huge contribution within the international Tanzania Drilling Project (TDP).

The Brady Medal

This is the highest award of The Micropalaeontological Society. It is named in honour of George Stewardson Brady (1832-1921) and Henry Bowman Brady (1835-1891) in recognition of their outstanding pioneering studies in micropaleontology and natural history.

The Medal is awarded to scientists who have had a major influence on micropaleontology by means of a substantial body of excellent research.

Service to the scientific community may also be a factor for consideration by the Awards Committee.
Akina mama njooni huku, wanaweza wanaweza bila kuwezeshwa
 
Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
1,630
2,000
Sijaelewa kilichoandikwa sababu ya lugha, but I believe that she deserves it, to get recognition na kuaminika na mabeberu sio kazi ndogo. Yote haya ni juhudi za Serikali ya awamu ya tano katika kuinua uchumi wa nchi yetu.

#MitanoTena
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,160
2,000
Hiyo medali huwa inaambatana na kitita cha shilingi ngapi au unavalishwa lidude tu shingoni
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,160
2,000
Hizi ni juhudi zake BINAFSI, utasikia mipopooma inataka kumpongeza Yule mwamba aliyekwapua thesis ya korosho
Mimi huyu mamá nampongeza kwa kujenga maabara binafsi kawashinda Chadema ambao hadi leo hawajajenga ofisi binafsi ya makao makuu ya Chadema ana akili kuliko Chadema wote
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
57,794
2,000
Mimi huyu mamá nampongeza kwa kujenga maabara binafsi kawashinda Chadema ambao hadi leo hawajajenga ofisi binafsi ya makao makuu ya Chadema ana akili kuliko Chadema wote
Umenena vyema, Chadema hawawezi kujenga ofisi za kudumu, maana hata wakijenga ofisi, zitabomolewa kwa sababu mbalimbali, CCM ni madhalimu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom