Africa vs Developed Countries = Women vs Men

Samiaagain2025

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
2,919
3,047
Ndiyo!

Afrika dhidi ya nchi zilizoendelea ni sawa na wanawake dhidi ya wanaume. Wanawake wana kauli mbiu nyingi, ikiwemo Ile ya "wanawake tunaweza''. Sawasawa na Waafrika.

Kwa nini?

Kila siku waafrika wanajigamba, "sisi tunaweza, sisi ni matajiri" lakini nchi zilizoendelea wao wametulia tu.

Kumbe kweli wanaoweza hawajigambi kama ilivyo kwenye mtazamo wa wanawake dhidi ya wanaume. Afrika sisi ni wanawake,dhidi ya wanaume.

Tutulie tuoneshe uwezo na utajiri wetu kwa vitendo. Siyo unadai tajiri huku miaka 60 ya uhuru wanafunzi wa shule wanakaa chini. Huwezi hata kutengeneza dawa ya kikohozi kikavu (dry cough).
 
Na ndiyo maana kama Waafrika mnalitambua hilo na kupunguza ukali wa maneno mkawaita mabeberu nadhani unajua upande wa pili ni nani na kazi ya beberu ni nini
 
Na ndiyo maana kama Waafrika mnalitambua hilo na kupunguza ukali wa maneno mkawaita mabeberu nadhani unajua upande wa pili ni nani na kazi ya beberu ni nini
Kazi ya Beberu ni hii hapa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom