afrika

  1. Robert Heriel Mtibeli

    Kipigo cha mbwa koko ukizaliwa Afrika hakiepukiki

    AFRIKA KIPIGO CHA MBWA KOKO HAKIEPUKIKI. Na, Robert Heriel Leo sina maneno mengi kama wengi wasivyotaka makala ndefu. Haya twende sasa. Kipigo cha mbwa koko Afrika hakiepukiki maadam umezaliwa Afrika na wewe ni Muafrika. Ukiwa tumboni mwa mama yako apapaswa na kichapo ambacho anapigwa Mama...
  2. B

    Miundo-mbinu yaharibiwa Afrika ya Kusini, Waafrika tunasumbuliwa na nini

    Miundo mbinu ya reli ikiwemo stesheni za reli, nyaya za umeme , hata lifti ktk majengo ya stesheni za reli nchini Afrika ya Kusini imekwapuliwa na vibaka waliowasili wakiwa na malori hivyo kufanya uharibifu mkubwa kwa mtandao wa reli wa Afrika ya Kusini ambao umekuwa ukitiliwa mfano na kutajwa...
  3. J

    Afrika Kusini waanza kupitishia mizigo yao yakiwemo magari katika bandari ya Dar es Salaam

    Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo. Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana...
  4. sky soldier

    Waafrika kusini wanatuonaje Watanzania tunaoishi nchini mwao, hutuona ni watu wa aina gani?

    Unavyoenda nchi za watu ni vema ukajua watu wa nchi hizo wanawaonaje watanzania ili kujua mapema hali ilivyo na kama kuna matatizo ujue mapema jinsi ya kuyakwepa au kama ni positivity uijue mapema. Kuna dogo hapa anataka kwenda huko kusoma na hatimae kuishi huko.
  5. YEHODAYA

    Wasanii na Wanamuziki wengi kugombea Uraisi nchi za Afrika je wasomi na wataalamu wamekata tamaa au nini?

    Ukifuatilia siasa za Africa sasa hivi wasanii ndio wanaanza kuibuka kugombea vyeo vya uraisi africa Mfano Raisi wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina alikuwa DJ wa mziki Bob Wine wa Uganda ni Mwanamuziki kagombea Uraisi uganda Tanzania Freeman Mbowe alikuwa DJ wa Muziki na alishagombea uraisi...
  6. K

    Rais Magufuli akijibu maswali haya atakuwa Rais bora wa Afrika wa karne ya 21

    Nawasalimu wanabodi! Tunaposema haya si kwamba tunamchukia Rais wetu, hapana. Tunampenda sana. Tunampenda afanikiwe maana akifanikiwa Taifa limefanikiwa kwa ujumla. Hivyo basi, hata wapambe wake wajue hivyo. Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Marekani Robert Jackson anasema, "Si kazi ya Serikali...
  7. Leslie Mbena

    Pan-Africanist, Mapinduzi ya Zanzibar, Muungano wa Tanzania kuelekea Muungano wa Afrika

    PAN AFRICANIST,MAPINDUZI YA ZANZIBAR,MUUNGANO WA TANZANIA KUELEKEA MUUNGANO WA AFRIKA. Leo 13:00hrs 12/01/2021 Pan Afrikanist,Mwalimu Julius Nyerere, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika,na hatimaye Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ndiye Pan Afrikanist mbeba maono aliyebuni na...
  8. Sky Eclat

    Balcony inachukua nafasi kubwa ya eneo, unaweza kujenga ghorofa bila balcony

    Nimeona hii nyumba na kutafakari. Kwa wale wapenzi wa ghorofahii ni plan ni ya bei nafuu. Juu Ina vyumba vitatu vya kulala a family bathroom. Chini ina jiko, choo, sebule na dining. Katika kiwanja cha kawaida cha 1/4 eka unaweza kujenga hii nyumba na nyuma ukapata nafasi ya banda la kuku...
  9. TODAYS

    Siasa za Afrika kama wamoja, Bobi Wine anaonja joto siku chache za kupiga kura

    Wakati wa kampeni mpaka uchaguzi nchini Tanzania wanasiasa wa upinzani walikuwa wanalia faulo za hapa na pale na ilifika mahali hata mitandao ya kijamii kupungua uwezo. Haya hapo jirani kwa mzee anayetaka kuvunja rekodi kufika miaka 100 akiwa madarakani mu7 anafanya yake. Huyu ni mgombea...
  10. Artifact Collector

    Ni muda wa maabara katika nchi za Afrika kuwa na "Next generation sequencing instruments"

    Next generation sequencing ni instruments inayotumika ku-unlock cells and microorganisms genetic code, ambapo baada ya ku-unlock inazalisha data (omics datanyingi ambazo zinatakiwa zifanyiwe analytics na bioinformatician Modern medicine imekua centered na data driven tofauti na traditional...
  11. H

    Upangaji wa makundi klabu bingwa na kombe la shirikisho Afrika muda huu

    Upangaji wa makundi unaendelea muda wakati tayari kombe la shirikisho wawakilishi wa Tanzania timu ya Namungo imedondokea kwa timu ya CD1 de Agosto ya Angola
  12. B

    Kwanini China inapendwa na Marais wa Afrika?

    Pamoja na nchi za Afrika kutaka kujitegemea ila viongozi wake wamekuwa wepesi sana kutaka sifa za kijinga kwa kununua au kukopeshwa fedha kupitia miradi ambayo hugeuka mzigo kwa wananchi. Mikataba ya China hufanywa siri kubwa wakati miradi inaanza ila unapofika muda wakuilipa ndipo mijadala...
  13. MK254

    Afrika bado sana, tusichekane, kule Tanzania wanafunzi kusoma kwa zamu kisa uhaba wa madarasa

    Yaani wanafunzi wanasubirishwa nje ili kundi la kwanza likamilishe somo kwenye ratiba yao, hii Afrika tumechelewa kweli maana siamini mambo kama haya yanatendeka kwenye karne hii miaka mingi sana tangu mkoloni aondoke. Vipau mbele hamna, utakuta wakulu wanasafiri kwa magari ya kifahari kwenye...
  14. Miss Zomboko

    Rais Touadera ashinda kwa Muhula wa Pili Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Rais Faustin-Archange Touadera ametangazwa Mshindi wa Uchaguzi wa Rais uliofanyika tarehe 27 Desemba katika Jamhuri ya Afrika ya Kati. Matokeo yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi ya nchi hiyo usiku wa kuamkia leo, yamempa Touadera asilimia 53 ya kura zilizopigwa. Mwenyekiti wa tume hiyo Mathias...
  15. Analogia Malenga

    Msikiti wa al-Najashi: Msikiti wa kwanza Afrika waharibiwa kwa makombora Tigray Ethiopia

    Serikali ya Ethiopia imeahidi kukarabati Msikiti wa kale wa uliyoharibiwa mwezi uliyopita katika mzozo uliyokumba jimbo la Tigray kaskazini mwa nchi hiyo Msikiti wa al-Nejashi uliripotiwa kushambuliwa kwa makombora, vitu ndani kuibwa na makaburi ya kihistoria ya viongozi wa Kiislamu kuharibiwa...
  16. Replica

    Asasi nne za kiraia zaishitaki Tanzania mahakama ya Afrika Mashariki kwa 'Ukiukwaji mkubwa' kutoka kwa polisi wake

    Asasi nne za kiraia zimeifikisha mahakamani Serikali ya Tanzania kwa ukiukwaji mkubwa kwenye uchaguzi mkuu wa karibuni ambao ulimrudisha madarakani Rais John Pombe Magufuli. Taasisi kutoka Kenya na Uganda zinaishtaki Tanzania kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki, zikituhumu vyombo vya usalama...
  17. Q

    Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika, AfCFTA kuanza leo, Tanzania haimo

    Nchi za Afrika zilizosaini mkataba wa African Continental Free Trade Area (AfCFTA) leo 1/1/2021 zinaanza kufanya Biashara bila vikwazo. Katika eneo la Afrika Mashariki ni Tanzania na Burundi pekee ambao hawamo katika Eneo Huru la Biashara, ina maana bidhaa za Kenya kwenda Rwanda au DRC...
  18. beth

    Uingereza yaidhinisha Chanjo ya Covid 19 iitwayo AstraZeneca

    Chanjo dhidi ya Virusi vya Corona iliyotengenezwa na Kampuni ya AstraZeneca kwa kushirikiana na Wanasayansi wa Chuo cha Oxford imeidhinishwa kwa ajili ya matumizi. Waziri wa Afya, Matt Hancock amesema itaanza kutolewa kwa Umma Januari 04, 2021. Uingereza imeagiza dozi Milioni 100 ambazo...
  19. Ngamanya Kitangalala

    Mwaka 1985, Tanzania ndio ilikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuweka term limit kwa Rais

    Mwaka 1985 kwenye marekebisho ya katiba yetu ya jamhuri wa muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Tanzania ndio ilikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuweka term limit ya vipindi viwili vya miaka mitano kwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, baadaye ilifuatiwa na nchi ya Senegal kufanya...
  20. Superbug

    Siasa za Afrika zinaharibiwa na watawala walioko madarakani

    Siasa za Kiafrika zimejaa hila uhuni mauwaji jinai utekaji hujuma wizi na kila aina ya uovu. Yaliyotokea Tanzania ndio yanatokea Uganda kwa Museveni. Somo la historia tunalofundishwa kuwalaani wazungu na ukoloni wao kwetu inabidi tubadili mtaala wake kwasababu viongozi wa Afrika wa sasa ni...
Back
Top Bottom