Wanaosema kwamba Kenya inaomba omba chakula na kutegemea msaada kutoka nchi za ulaya. Tazameni hapa Kenya ikitoa msaada wa teknolojia. Tunapatia nchi 5 za Africa tablets 45,000 ili kuwasaidia kufanya census yao kidijitali. Isitoshe tutawafunza jinsi ya kufanya census kidijitali. Sisi hatutoi...
Baada ya kipigo cha 4-1 kocha Ibenge amewaambia wana habari kwamba hana la kusema anakiri amefungwa kihalali na timu bora Afrika kwa sasa.
Nami nasema nitamlipa Simba Sc hizo goli 4 usiku wa leo kuanzia mida ya 4 hivi
Liberians rejected a referendum backed by President George Weah to curb the length of presidential terms — a vote that could have helped the former soccer star extend his stay in office
Chanzo: Bloomberg Africa
Nimeamini kuwa Mwenyezi Mungu ana namna yake ya Kuwaokoa Watu wake katika HATARI...
Kwa mujibu wa vitabu na walimu mbali mbali ina sadikika kuwa hivyo
Wewe kama mwana historia jadili kutuaminisha kwa hii maada hapo juu
Kiswahili & kingereza
0 KARIBUNI
Utawala bora na nidhamu ya chama cha CPC ni mifano ya kuigwa na Afrika kukabili maskini na ufisadi
Kulingana na takwimu za benki ya dunia, mwaka 1960 China ilikuwa maskini kuliko baadhi ya nchi barani Afrika.
Kwa mfano mwaka 1960, mgao wa pato la kitaifa kwaChina ulikuwa dola 89 tu, wakati DR...
Kulingana kasi ya ukuaji wa usawa wa kijinsia ya sasa kwa Afrika utafiti uliofanywa na "Global institute on the power parity in advancing women's equality in Afrika" kama ilivyonukuliwa na (Nanjala, 2020) East African, Afrika itachukua muda wa miaka mia na arobaini na mbili(142) kufikia usawa wa...
Kama ukichunguza vizuri utagundua katika serikali iliyopita ya Dkt. JPM katika miaka yote ya uongozi wake kwa wastani kasi ukuaji wa uchumi ilikua ni zaidi ya asilimia 6.8 hadi 7. Na ni dhahiri kuwa ndani ya Afrika Mashariki kuna nchi moja tu ambayo ndiyo ilikua ikitupa Changamoto ambayo ni...
Katika mahojiano ya Jana VOA
-Anasema Vyama vya upinzani havijaenea kama CCM,kwa hiyo hii inathibitisha ushindi wa kishindo wa CCM kwenye uchaguzi mkuu 2020?
-Mbona hakuzungumza kuhusu credibility ya uchaguzi ule,ambao dunia nzima ilisema una dosari nyingi?
-Je, kuzuia Uhuru wa vyombo vya...
Demokrasia katika nchi nyingi za Afrika imekuwa ikilegalega kutokana na Sheria ambazo Bunge linatakiwa kumtii Rais hali inayopelekea Marais kutengua Katiba na kujiongezea muda wa kukaa madarakani.
Suala hilo la kubadilisha Katiba kwa kuondoa ukomo wa muda au umri wa Urais linafahamika kama...
Gazeti la The Nation la Kenya liliripoti kuwa kundi la kigaidi la al-Shabaab hivi karibuni limetekeleza mfululizo wa mashambulizi katika kaunti ya Mandera, nchini humo na kusababisha vifo vya watu wengi na uharibifu mkubwa, na huenda nusu ya ardhi katika kaunti hiyo inadhibitiwa na kundi hilo...
Itoshe kusema kwamba ndani ya misimu hii mitano huyu ndio golikipa bora kwa Tanzania. Kumlinganisha na golie wengine ni kumkosea heshima tu. Tusisubiri mpaka Rais Samia amtolee tamko. Hii kesi tunaifunga na faili tunalitupa makumbusho.
Tunafungua faili jipya tunasema Aishi Manula anatosha kuwa...
Na
Victor Wilbard.
Kwa mujibu wa ripoti ya Benki ya Dunia inayohusiana na taarifa a kila mwaka za usafiri wa anga " World Bank Report; Air transport annual report" mwaka 2016 ilionesha kuwa usafiri wa anga unaohusisha hedge za abiria ukiendelea kufanya vizuri katika mataifa yaliyoendelea kwa...
Wakati majirani zetu bado wanalala usingizi wa pono, Kenya imekuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na kati kuzindua mtandao wa 5G. Safaricom imezindua mtandao wa 5G leo.
Ndugu Wanajukwaa
Kumpenda na kutokumpenda Hayati Magufuli ni chaguo binafsi la mtu. Pamoja na kwamba yeye alikuwa ni binadamu kwahivyo hakukosa kufanya makosa lakini ukweli ni bora usemwe tu. Mambo ya maendeleo aloyafanya ni makubwa sana. Ni kweli kwamba marehemu alikuwa na ujasiri mkubwa wa...
TUMETOLEWA RASMI!!!!
Ungana nami kuanzia saa 4 kamili kupata updates za video, Mechi ya Equotorial guniea vs taifa stars
HIGHLIGHTS KIPINDI CHA KWANZA
1. CHUPU CHUPU
2. MANULA ANATUSAVE
3. MWAMBA.
KIPINDI CHA PILI
ASANYE MANULA
VIJANA WA EWUATRIAL WAMEDOMINATE SANA
MSUVA...
WAZIRI MKUU WA UINGEREZA
Boris Johnson ameandika kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter kusikitishwa na taarifa za kifo cha Dkt. John Magufuli
RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA
Dkt. Akinwumi "Akin" Adesina ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Rais Magufuli kupitia ukurasa...
PLO Lumumba ambae ni Mwanaumajimui maarufu wa Afrika anasema wazungu wanatumia jitihada kubwa kutunza Ndovu,Sokwe, Chui na wanyama wengine ambao wamo kwenye mapori ya Afrika ili wapate mahala pa kuja kupumzika lakini hawajali lolote kuhusu maslahi ya Afrika.
Anasema hivi karibuni watatuzuia...
Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli atazikwa nyumbani kwao Chato Machi 26, tofauti na tarehe iliyotajwa awali ambayo ilikuwa Machi 25.
Mwili wa Rais Magufuli utaagwa na wananchi wa Dar, Machi 20 na 21 Uwanja wa Uhuru kabla ya kusafirishwa kwenda Dodoma ambapo...
TUMEPOTEZA JABARI NA MWAMBA WA UCHUMI KATIKA SIASA ZA AFRIKA
NA ELIUS NDABILA
0768239284
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli amemaliza kazi yake aliyoandaliwa kufanya hapa duniani. Kifo si hiari, ni lazima kwa kuwa vitabu vya dini vinatuasda kuwa kila mtu aliyezaliwa na mwanamke siku zake si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.