africa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Six (6) Best hospitals in Africa as of June 2022

    Do you want to learn about the top African hospitals? What would we do if we didn't have health-care services available to us? Many observers believe that the quality of a country's hospital facilities reflects the country's entire healthcare system, and we couldn't agree more. Pandemics with...
  2. R

    JamiiForums Tanzania REDIFINE AFRICA achenj utapeli

    Kwanza kabisa serikali ingeingilia kati hizi kampuni uchwara zinazovaa mwamvuli wa kufanya research zinazoibuka from know where na kutapeli watoto wa watu, kwa kuwafanyisha kazi kwa shida bila kuwapa malipo baada ya kumaliza kazi. REDIFINE AFRICA huwafanyisha kazi watoto wa kike kwa...
  3. JamiiForums Tanzania HR Coordinator - Eastern Africa at Qatar Airways

    Qatar Airways are pleased to announce an incredibly exciting opportunity to join our International HR team based in Nairobi, Kenya as HR Coordinatior for Eastern Africa Region. Reporting to the HR Manager- Eastern Africa , you will be responsible for providing HR support for the 8 countries in...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu uchaguzi Bunge la Afrika Mashariki

    Wakuu heshima kwenu. Naomba kufahamu kuhusiana na uchaguzi bunge la Afrika Mashariki, mwaka wa uchaguzi ni lini? Je, kuna utaratibu gani kuchukua fomu mpaka kugombea? Natanguliza shukrani.
  5. JamiiForums Tanzania HOLLYWOOD MOVIES: kwa nini huwa wanaweka filter za rangi za ajabu ajabu hasa kwenye scenes au movies zinazohusu Africa, India, .......?

    Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa movies utagundua jambo hili. Movie au vipande vingi vya sinema vinavyohusu nchi zisizo za kimagharibi utakuta wameweka rangi kama kuna vumbi vumbi😀. Hivi huwa wanatuonaje? Mfano huu hapa chini Moja ya picha ya kipande toka kwenye kampuni kubwa ya kutengeneza...
  6. JamiiForums Tanzania Mei 25: Maadhimisho ya Siku ya Afrika (Africa Day)

    Siku hii huadhimishwa kila Mei 25 ikiwa ni kumbukumbu ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Umoja wa Afrika (OAU) Mei 25, 1963 ambayo baadaye ilibadilishwa kuwa Umoja wa Afrika (AU) Maadhimisho yanabeba Kaulimbiu "Kuimarisha Ustahimilivu katika Lishe na Usalama wa Chakula Barani Afrika". Umoja wa Afrika...
  7. JamiiForums Tanzania Kati ya Misri na Ghana, ipi ilikuwa nchi ya kwanza Africa kupata uhuru?

    Shuleni tumefundishwa kuwa nchi ya kwanza kupata uhuru ni Ghana, mwaka 1957. Lakini Egypt ilipata Uhuru wake mwaka1952. Ikiondoa waingereza na mfalme. Sasa imekaaje tukasema Ghana ndiyo ya kwanza kupata uhuru?
  8. JamiiForums Tanzania Rayvanny aweka rekodi ya kuwa wa kwanza East Africa kufikisha streams milioni 100 Boomplay

    STAA wa muziki wa Bongofleva na bosi wa lebo ya Next Level Music, Raymond Shaban Mwakyusa (Rayvanny) amefikisha (streams) milioni 100 kupitia jukwaa namba moja la muziki barani Africa Boomplay 🙆🏿 Rayvanny anakuwa msanii wa kwanza East Africa kufikisha idadi hiyo ya streams kwenye boomplay...
  9. JamiiForums Tanzania Mfahamu Clara Luvanga mchezaji wa Yanga na timu ya taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17

    Huyu mchezaji anachezea Yanga na timu za taifa za wanawake. Kimuonekano amevuka 17 ila bado anachezea mpaka timu u-17. Asijesababisha matatizo ila kama ni u17 kweli haina tatizo.
  10. JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania na maisha ya mashaka South Africa

    Maisha wanayoishi huko ni mabaya kweli kweli.
  11. JamiiForums Tanzania Transport Supervisor at Amref Health Africa

    VACANCY Amref Health Africa –Tanzania is an independent, non-profit, non-governmental organization (NGO) whose mission is “to improve the health of people by partnering with and empowering communities and strengthening health systems”. Amref Health Africa-Tanzania is largely supported by...
  12. JamiiForums Tanzania Wakati wa Awamu ya Tano tuliona Marais wengi sana wa Afrika wakija, ilikuwa mwanzo wa uimara?

    Tuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini. Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika. Nini kimetokea siku hizi, maana siwaoni wakija tena. Je, Magufuli alikuwa na nia ya kuiunganisha Afrika?
  13. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Kusini mwa Africa waliowahi kucheza soka Tanzania

    Leo, tuwakumbuke wachezaji kutoka kusini mwa Afrika waliowahi kucheza soka hapa Tanzania, nikianza na Wisdom Ndlovu kutoka Malawi, huyu alicheza Yanga. Unamkumbuka yupi? Endeleaa..
  14. JamiiForums Tanzania Technical Support Engineer- Camera/CCTV at Career Option Africa

    Technical Support Engineer- Camera/CCTV Our Client Our client is a leading Vision technology Company offering internet of things (iot) solutions with specialization in vision (camera) technology for various sectors including security, health, banking, transport etc. The Job The technical...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majirani huwa mnakwama wapi kwenye masuala ya teknolojia, hamskiki kwenye start up zozote

    Hapa Afrika, mataifa manne tu ndio mambo yao yanaongoza kwenye ulingo huu. ======= Kenya ranks among Africa’ four biggest destinations for tech start-up funding after Nigeria, Egypt and South Africa. The African Tech Startups Funding Report (2021) shows that last year in the African tech...
  16. JamiiForums Tanzania Wa Russia, Uingereza, China, Arab, German, Hindi, Afrika wote wanatamani kuishi USA

    Hata pro Russia, China wote wanatamani kuishi USA. Kwa hiyo tusidanganyane. Beberu USA ataendelea kututawala tu
  17. C

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa Moroco na Afrka Kusini hawajakaangia sumu teams zao?

    Yaliyotokea yanasikitisha sana, Walibya wamenyimwa penalty ila afadhali kidogo ukilinganisha na vituko vya Berkane , nasubiri kwa hamu manguli ya soka kwenye nchi hizo waanze kuzishukia teams zao kwa hasira zote maana simba hapa kuna team ilipewa escort ya pikipiki moja ikalalamika wachambuzi...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio Afrika tunayotaka

    Ukiiangalia hii video toka mwanzo hadi mwisho utakubaliana nami, huku ndo Africa tunafaa kuelekea, mambo ya kutegemea China kwa kila kitu tuache, imagine kitu rahisi kama router ya mtandao wa 4G ama decoder ya TV tunaagizia kutoka nje, je ushawahi kuifungua hapo ndani uangalie vile ni very...
  19. JamiiForums Tanzania Mwinyi Jr anaweza kuweka rekodi ya kuwa Mmoja ya Marais wachache wenye akili kutawala Afrika Mashariki

    Ametulia sana tofauti na wengine wengi. Anaonekana kujali sana maslahi ya Wazanzibar na yupo smart kupata anachotaka kwa ajili ya watu wake. Siku tukipata Rais wa namna hii ambaye atatanguliza Tanzania mbele tutafika mbali sana. Ingekuwa si Mzanzibar ningesema 2025 aje agombee huku lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

    Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…