Wakati wa Awamu ya Tano tuliona Marais wengi sana wa Afrika wakija, ilikuwa mwanzo wa uimara?

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,389
9,664
Tuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini.

Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika.

Nini kimetokea siku hizi, maana siwaoni wakija tena.

Je, Magufuli alikuwa na nia ya kuiunganisha Afrika?
 
Nikutajie Wachache.

Mfalme wa Morocco.
Rais wa SA.
Rais wa Malawi.
Rais wa Ethiopia.
Rais wa Msumbiji.
Mfalme wa Eswatini.
Rais wa Burundi.
Rais wa Congo.
Mseveni.
Kagame.

N.K.

Ukipenda kujua zaidi Gugu hapo.
Wengi ya uliowataja walikuja wakati wa mkutano wa SADC na ilibidi waje kwa sababu Tanzania ndio walikuwa wenyeji!
 
Walikuja madikteta uchwara tu, yule mwingine alikuja kipindi cha kampeni wana intlejesia wake walimstua ameingizwa cha kike akaondoka fasta.
 
Tuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini.

Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika.

Nini kimetokea siku hizi, maana siwaoni wakija tena.

Je, Magufuli alikuwa na nia ya kuiunganisha Afrika?
Walikuwa wanakuja wanao fanana naye
 
Nikutajie Wachache.

Mfalme wa Morocco.
Rais wa SA.
Rais wa Malawi.
Rais wa Ethiopia.
Rais wa Msumbiji.
Mfalme wa Eswatini.
Rais wa Burundi.
Rais wa Congo.
Mseveni.
Kagame.

N.K.

Ukipenda kujua zaidi Gugu hapo.
Wote hao walikuja mwaka Jana waje mwaka huu kufanyaje tena?
 
Tuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini.

Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika.

Nini kimetokea siku hizi, maana siwaoni wakija tena.

Je, Magufuli alikuwa na nia ya kuiunganisha Afrika?

Hamna jizi la kura linaweza kuunganisha Afrika.
 
Tuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini.

Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika.

Nini kimetokea siku hizi, maana siwaoni wakija tena.

Je, Magufuli alikuwa na nia ya kuiunganisha Afrika?
Sasa hivi hawawezi kuja tena. Majizi yametamalaki kila kona.
 
Itakuwa basi.

Maana hadi nchi zialianza kuchangamkia Kiswahili. Yalikuwa maandalizi ya kuifanya africa moja.
Afrika inaweza kufanywa moja na hao viongozi wanaoingia madarakani bila ridhaa ya wananchi wao?! Kama ni muungano ungekuwa sio wa bara la Afrika, bali wa viongozi wezi na makatili katika bara la Afrika.
 
Awamu ya JPM Tanzania ilipokea ugeni wa Maraisi na wafalme wengi kuliko tunachoshuhudia kwa sasa.

Nchi kama hii yenye raslimali lukuki halafu Rais anashinda mitaani Kuomba Omba?

Hakukuwa na rais hata mmoja wa maana bali matapeli wenzake wa Afrika. Na wengi wao hawakuwa na tija yoyote zaidi ya business as usual.
 
Unawahesabia na waliokuja mazishini?
Nikutajie Wachache.

Mfalme wa Morocco.
Rais wa SA.
Rais wa Malawi.
Rais wa Ethiopia.
Rais wa Msumbiji.
Mfalme wa Eswatini.
Rais wa Burundi.
Rais wa Congo.
Mseveni.
Kagame.

N.K.

Ukipenda kujua zaidi Gugu hapo.
 
Back
Top Bottom