africa

  1. ward41

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli bara la Afrika lina rasilimali nyingi?

    Nimesikia watu wakisema bara la Africa Lina utajiri mkubwa wa rasilimali. Cha kushangaza ktk somasoma yangu naona kama hatumo kivile. Kwenye mafuta middle east, Canada, Russia, USA, Venezuela wanatamba. Kwenye gas ni haohao. Madini ya chuma naona china, Iran, Chile, USA wanatamba. Kwenye rare...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania NATO has become a laughing stock in Africa

    Nato is a laughing stock and a thing to laughing at here in africa because of russian stance and power mighty in ukraine war. Many africans hate USA and nato because of two reasons 1. USA invasions in islamic countries which to many were baseless eg killing of sadam and gadafi and syrian war...
  3. M

    JamiiForums Tanzania African Super League inakuja kuua soka la Afrika

    Mwezi wa nane mwakani mgeni anakuja mgeni ambaye wenzetu Ulaya wamemkataa lakini kama kawaida ya wazungu wakaamua kumleta Afrika na kama kawaida yetu tunamkumbatia bila kujali madhara yake kwa soka letu. Kwa kiwango cha pesa kwenye super league na guarantee ya kutoshuka daraja Simba haitojali...
  4. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya has surpassed South Africa as Africa’s top avocado exporter

    Kenya has surpassed South Africa to become Africa’s top exporter of avocados. In Central Kenya in particular, where the majority of the country’s small-scale avocado farmers are found, coffee bushes are fast being replaced by avocado trees. A problem surrounding this new production is theft...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Financial hub ya East Africa iko wapi?

    Financia hubs zinaza endeleza miji husika. Mipango mingi ya biashara hufanyika humo na wageni wanahitaji usafiri, malazi, chakula, kununua zawadi kwa wapendwa wao na hata nguo zinazoendana na hali ya hewa katika miji waliyofikia. Huduma hizi zote huzalisha ajira, kuanzia tax, cafe, migahawa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mionekano ya Makamanda wetu wa Majeshi ya Nchi za Afrika Mashariki

  7. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu mwanamke muuza bar South Africa 🇿🇦

    Salamu wakuu.. Juzi siku ya jumapili nilisema wacha nitoke niende zangu club nikapate beer 🍺 kadhaa ila sjaenda club anayofanya demu ambaye nilikuwa natoka nae. Wiki iliyopita alienda kwao KZN (Durban) ila mimi naishi Jozi. Sasa bana kipindi napiga mambo yangu na mizuka imepanda ya akili za...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Kujengewa Chuo na Wachina wafundishe Ukommunist kwa Vyama Tawala - China’s political party school in Africa

    Nimeona hiki kichwa cha habari kidogo kikanistua, yaani Nchi ya China ijenge Chuo kwa vyama tawala kufundisha siasa ya uongozi wa kikommunist? Sasa hapa upinzani upo wapi? Democracy si ndiyo inakufa? Ukoloni wa pili? Hivi position ya Afrika kujitawala yenyewe bado ipo? China’s political party...
  9. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

    SIRI Iliyojificha Kwenye Ganja , Kaya , Bangi , Mmea Wa Uzima Inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani Aswa Africa na Kuruhusiwa Matumizi Ya Pombe na Sigara... Habari yako mpenzi msomaji wa makala hii , natumai wewe ni mzima wa afya kabisa,na kama ni mgonjwa usiwaze sana mungu...
  10. Lavan Island

    JamiiForums Tanzania Kilwa Kivinje mji uliosahaulika Afrika Mashariki

    Mwenye kumbukumbu na historia ya huu mji aje mi nimeleta heading mengine muongezee nyie. Asanteni sana karibuni.
  11. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Aaliyah ndio mwanamke mzuri na mrembo kuliko watangazaji wote wa kike East Africa

    Ana sura nzuri. Ni mrembo. Anapendeza kila nguo. Ana swaggs. Ana mvuto. Hakuna mtangazaji yoyote wa kike anaemfikia East Africa.
  12. Slowly

    JamiiForums Tanzania Siwajui majina Yao Ila nafkri hii ndo commedy Bora kabisa Kwa Afrika Kwa sasa

    Hawa jamaa ni amsha, ni kwere, ubunifu wa Hali ya juu, sifurahii camera wanayotumia Ila action zao ni za kiwango cha standard gauge. Kitu Kingine kizuri kwao, ni kuwa hawatumii sauti , na hii inafanya mtu yeyote duniani anaweza kuwaelewa ,...wabongo tunakwama wapi aisee, jamaa naona wanazidi...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watu zaidi ya 1500 waambukizwa Monkey pox Afrika, 66 wafariki

    Afrika imeripotiwa kuwa na Maambukizi 1,597 ya Virusi vya MonkeyPox tangu kuanza kwa mwaka 2022, ikielezwa Watu 66 wamefariki dunia Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa (CDC) Afrika, Ahmed Ogwell Ouma amesema Ugonjwa huo bado haujadhibitiwa Afrika. Amefafanua, "Msimamo...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mtoto wa Afrika: Huwa unamsomea mwanao hadithi?

    Wazazi wa zamani walikuwa wanatuhadithia sana hadithi. Hasa walizosoma. Bahati mbaya mabadiliko ya maisha, wameachia kazi hiyo TV na Cartoon. Utamaduni wa kusomea watoto hadithi bado unafaa leo? Vipi, huwa unamsomea mwanao hadithi?
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mtoto wa Afrika: Tumepiga hatua kutokomeza ukatili dhidi ya Watoto?

    Siku hii ilianzishwa kama Kumbukumbu ya uasi uliotokea 16 Juni 1976 kwa Wanafunzi walioandamana kupinga Elimu duni huko Soweto Nchini Afrika Kusini Licha ya jitihada za Mataifa na Bara katika kutokomeza vitendo vya kikatili dhidi ya Watoto, Kamati ya Wataalamu wa Haki na Ustawi wa Mtoto Afrika...
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sh32bn terminal pushes Kenya's harbours to top five in Africa

    Kenya now is among the countries with the five largest harbours in Africa after completion and handover of a Sh32 billion container terminal in Mombasa. The Japanese contractor handed over the second container terminal to the Kenya Ports Authority this week in a major boost to maritime trade...
  17. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania US yazionya nchi za Afrika kutonunua nafaka kutoka Urusi

    Hawa jamaa wanataka Waafrika tufe kwa njaa kwa sababu ya manufaa yao? Ni wakati Africa kufanya mambo yetu bila kupangiwa wala kushinikizwa na mataifa mengine 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 ======== U.S. officials are cautioning African countries against buying grains plundered from Ukraine as some nations...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kabla haijaitwa Bahari ya Hindi, watu wa Afrika Mashariki waliitaje?

    Eti wakuu Kabla ya kuitwa bahari ya Hindi, wakazi wa asili wa pwani kama Wazaramo na Wakwere waliita jina gani?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Six (6) Best hospitals in Africa as of June 2022

    Do you want to learn about the top African hospitals? What would we do if we didn't have health-care services available to us? Many observers believe that the quality of a country's hospital facilities reflects the country's entire healthcare system, and we couldn't agree more. Pandemics with...
  20. R

    JamiiForums Tanzania REDIFINE AFRICA achenj utapeli

    Kwanza kabisa serikali ingeingilia kati hizi kampuni uchwara zinazovaa mwamvuli wa kufanya research zinazoibuka from know where na kutapeli watoto wa watu, kwa kuwafanyisha kazi kwa shida bila kuwapa malipo baada ya kumaliza kazi. REDIFINE AFRICA huwafanyisha kazi watoto wa kike kwa...
Back
Top Bottom