Mfahamu Clara Luvanga mchezaji wa Yanga na timu ya taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17

Mzingo

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
4,468
9,685
Huyu mchezaji anachezea Yanga na timu za taifa za wanawake. Kimuonekano amevuka 17 ila bado anachezea mpaka timu u-17.

Asijesababisha matatizo ila kama ni u17 kweli haina tatizo.
 
Itakuwa hata picha yake hujawahi kuiona ni binti mdogo sana

Aya kalete picha yake uweke hapa wananzengo wakusaidie kutambua umri wake
 
download.jpeg
 
Subiri waje Cameroon uwaone Walivyo. Tuliwahi kuwa wenyeji wa mashindano ya CAF under 17 tukapeleka vijana sahihi Kwa umri, Wenzetu wakaleta vijeba tulipigwa karibu mechi zote Tena tukiwa wenyeji.
Baada ya mashindano Yale TFF walijifunza namna ya kushiriki mashindano ya CAF.
Hongereni under 17.
 
Jana alifunga goli la nne walipocheza na cameroon ,mechi ya under 17 wanawake.

.................................,........................

Mchango wa mdau Insigne

Kitendo alichofanyiwa mshambuliaji wa Yanga Princess na timu ya Taifa ya Tanzania U17 (Seregenti Girls) Clara Luvanga na maafisa wa Cameroon cha kumkagua njisia yake sio kitu cha kiugwana bali ni udhalilishaji, Unyanyasaji na Ubaguzi wa hali ya juu.

-Some time mpira wa Afrika una mambo ya ajabu ajabu sana yaani wale maafisa mpaka wanataka kulazimisha kumkagua mtu uwanjani hivi hii ni haki kweli? Nigeria ina wachezaji wengi wenye maumbo ya kiume kwa nini wao hawajakaguliwa jinsia zao.

-Pongezi nyingi ziende kwa maafisa wa Tanzania ambao waliambatana na timu pamoja na bechi la ufundi la Serengeti Girls kwa kumjenga kisaikolojia Clara pamoja na udhalilishaji aliofanyiwa akawafunga magoli matatu pekee yake kwenye ushindi wa magoli 4-1.

FB_IMG_1653305668929.jpg
 
Walichomfanyia wacameron ni udhalilishaji walitaka kumkagua jinsia yake uwanja na kwa hasira akawafunga
 
Back
Top Bottom