africa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tunasaidia kuandika CV, kuandika email pamoja na kuomba nafasi za kazi

    Habarini wakuu, Kumekuwa na Changamoto ya Graduates kuomba kazi lakini hawaitwi kwenye udahili kutokana na CV pamoja na Coverletter kukosa ushawishi kutoka kwa Mwajili. Pia inawezekana Muda wa kuomba kazi huna, hujui uombe wapi? Pengine huwezi kuandika Email yenye ushawishi kwa Mwajili hili...
  2. JamiiForums Tanzania Familia yaridhia Sony Music Africa waachie album mpya ya AKA

    Timu ya Rapa #AKA kwa kushirikiana na Kampuni za Kusimamia Kazi za Sanaa Sony Music Entertainment na The T Effect zimepata baraka za familia ya #JarrydForbes kuachia albam kama alivyopanga mwenyewe. Mkurugenzi Mtendaji wa #SonyMusicAfrica, Sean Watson amesema “Mioyo yetu imevunjika, tumepoteza...
  3. JamiiForums Tanzania Simulizi ya Vita: Mwanzo baada ya Mwisho by M.Kitua

    HABARI WANA JF. SEHEMU YA 1 MWANZO BAADA YA MWISHO .... Watu walikuwa wakifa, wengine wakikimbia, wengine wakijikuta kuna miguu mikubwa kama ile ya vunjachungu(parying mantis) ikitenganisha miili yao na wengine wakihangaika kupambana na wanyama ‘beasts’ wakubwa kuliko wao walio wazidi...
  4. JamiiForums Tanzania Mahakama yakamata Nyumba na Yacht, mali za Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea

    Nyumba 2 na Jahazi (Super Yacht) 1, mali za Teodoro Nguema Obiang zimewekwa chini ya Ulinzi kwa agizo la Mahakama baada ya Mfanyabiashara Daniel Janse Van Rensburg kudai Kiongozi huyo alimkamata kinyume cha Sheria na kumtesa. Mfanyabiashara huyo anataka kulipwa fidia ya Tsh. Bilioni 5.1...
  5. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini ni pazuri ila ni hatari

    Johannesburg - Afrika Kusini ndiyo nchi hatari zaidi barani Afrika Pretoria iliorodhesha juu zaidi barani kwa alama za uhalifu wa 82, ikifuatiwa na Joburg, Durban, Cape Town, na Bloemfontein. Uhalifu unaojulikana zaidi katika kila moja ya miji hii, ikiwa ni pamoja na rushwa ya polisi, shambulio...
  6. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

    Kuna tetesi mwanamuziki A.K.A kutoka South Africa amepigwa risasi huko Durban, South Africa A.K.A aliwahi kushirikiana na mwanamuziki Diamond miaka ya nyuma wakachia kibao kinaitwa 'Make Me Sing' na Don't Bother alioimba na Joh Makini --- Statement Rasmi kutoka kwa Familia ya AKA ======...
  7. JamiiForums Tanzania Tuzungumze sababu zinazorudisha nyuma ukuaji wa e-commerce(Biashara za mitandaoni Afrika)

    Kabla hatujaenda kwenye maada ngoja tumsaidie maana ya e-commerce kwa asiefahamu: (In a layman way) e-commerce ni uuzaji/ununuaji wa bidhaa au huduma kwenye mtandao mahala popote. Mfano: Umekaa kwenye kochi unachukua simu/laptop unaingia mtandaoni unaagiza bidhaa unaletewa mpaka nyumbani kwako...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi inayoangaliwa kufikishwa kimaendeleo kama Afrika Kusini ni Tanzania ila CCM ndiyo inapoteza muda

    kila mtu unayemuuliza sehemu nzuri ya kuweza kufanya maendeleo africa utaambiwa tanzania ila kitu kimoja kinacho waogopesha ni hii serikali iliyopo ya ccm na kipindi kilichopita cha mwendazake. Kama mnakumbuka Fastjet ilikuja kuleta mapinduzi ila walichofanyiwa,tuache hayo ni mengi tu...
  9. JamiiForums Tanzania Mo Dewji Aipaisha Tanzania Kimataifa on CNN "Unfortunately We Don't Have The Right Framework & Policies to Deal With Large Investment in Agricalture!"

    Wanabodi, Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia ametubagaza kuwa "we have got tons of arable land that can feed Africa, but he is surprised why are...
  10. JamiiForums Tanzania Umeshawai kusikia nchi iliyopo africa inaitwa Ambazonia

    Ambazonia ina patikana africa magharibi upande wa nchi ya cameroon ikipakana na nigeria chini au unaweza kuiita Southern Cameroons. Historia: Ambazonia inajulikana kama Ardhi ya Amba, ni jimbo lililojitenga lisilotambulika katika Afrika Magharibi ambalo linadai Kanda ya Kaskazini-Magharibi na...
  11. JamiiForums Tanzania Zama Zama kikundi kinacho sumbua africa ya kusini kuliko M23

    Zama Zama ni neno litokalo kabila la hausa kwa kngereza (To be).ila kwa kizuru(Try Try). South africa imebarikiwa kuwa na uchimbaji mkubwa wa dhahabu na migodi mikubwa inayozalisha madini ya dhahabu. kutokana na upatikanaji mkubwa wa dhahabu nchini south africa,ukilitimba wa wachimbaji wa dogo...
  12. JamiiForums Tanzania Waliosema Tanzania ni miongoni mwa ligi tano bora Afrika wajitafakari

    Mtandao uliotoa takwimu na kusema Tanzania inashika nafasi katika ligi tano Bora Afrika bila kujali Kigezo walichotumia huenda takwimu hizo zilisukumwa na aidha kutokuwa na taarifa sahihi kuhusu ligi za Afrika, au mitazamo na mihemko binafsi au labda alitumia Kigezo cha kuwa na mashabiki na...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania na Africa hatuna uhusiano na Latin America?

    Huwa najiuliza marais wa Africa ikiwemo Tanzania hatuna uhusiano na nchi za Latin America?(America Kusini). Nakumbuka Jakaya Kikwete aliwahi tembelea Brazil lakini sio nchi kama Paraguay, Colombia, Argentina, Ecuador, Venezuela, Chile na nyinginezo. Na pia marais wa huko ni kama hawana time na...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi yenye mfumuko wa Bei mdogo zaidi Afrika Mashariki

    Kati ya nchi za Afrika Mashariki, Tanzania ndio yenye kiwango kidogo zaidi cha mfumuko wa Bei Swala la mfumuko wa Bei ni suala la kidunia, wale waliojifungia wasiojua kinachoendelea duniani wafahamu hilo
  15. JamiiForums Tanzania Forbes Africa: MO Dewji ndiye tajiri namba 1 Afrika Mashariki na Kati

    Ripoti ya utafiti iliyotolewa na Forbes Januari 30, 2023, Mo Dewji alikuwa nafasi ya 15 hapo awali, amepanda kwa nafasi mbili kutokana na utajiri wake unaokadiriwa kufikia Dola 1.5 bilioni (Sh 3.5 trilioni). Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'MO Dewji amepanda kwa nafasi mbili katika...
  16. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kwa basi

    Habarini wana JF Naomba kujua safari ya kwenda Afrika Kusini kwa basi gharama zake kwa aliyesafiri hivi Karibuni pamoja na mabasi yanayokwenda huko. Asanteni
  17. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa maslahi ya Wafanyakazi wa Star TV, Radio Free Africa, Kiss FM mambo bado magumu

    Mgogoro baina ya wafanyakazi na uongozi wa Kampuni ya Sahara Media Group Limited hauoneshi dalili za kuisha hivi karibuni baada ya taarifa kuibuka kwamba kampuni hiyo imewasimamisha kazi wafanyakazi kwa madai kwamba hakutakuwa na uzalishaji wa vipindi kupisha maboresho ya kiufundi. Hata hivyo...
  18. JamiiForums Tanzania Pan African Movement of East and Central Africa (PAFMECA)

    MKUTANO WA PAFMECA MOSHI 1959 Kanirushia ndugu yangu barua hii ya PAFMECA nami nimeiweka hapa sote tufaidi. Naweka hapo chini kipande kidogo kuhusu PAFMECA kutoka kitabu cha Abdul Sykes: Pan African Movement of East and Central Africa (PAFMECA), 1958 ''Ilikuwa katika ya mazingira ya namna...
  19. JamiiForums Tanzania Kwenye Mapenzi na Maufundi Kitandani Hakuna Zaidi ya Myao Africa Mashariki Yote

    Hello hello JF family Ukiwa mkweli raha sana, mimi niwe mkweli nshakuwa na wapenzi kadhaa na kupita kimtindo na wanawake wa makabila kiasi najua kuna wanawake wa pwani mfano wadigo, wakwere, wazigua, wabondei, wazaramo, na mashine za kusini mmakinde, mwera, mmakua, wangoni, wanyasa. Na kuna...
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika ulimbukeni unawasumbua msururu wa magari kwenye misafara yao

    Katika kitu ambacho huwa hela inatumika vibaya ni misururu ya magari. Matendo Yao siyo mazuri ndo maana hawajiamini kutembea huru kwani wanaumiza wengi. Hata mkuu wa wilaya/mkoa utashangaa magari hayo Check Rais wa Ufaransa na waziri mkuu Denmark wanavyojiachia huku wakipishana na Raia bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…