Siku ya Mtoto wa Afrika: Tumepiga hatua kutokomeza ukatili dhidi ya Watoto?

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,855
6,271
Siku hii ilianzishwa kama Kumbukumbu ya uasi uliotokea 16 Juni 1976 kwa Wanafunzi walioandamana kupinga Elimu duni huko Soweto Nchini Afrika Kusini

Licha ya jitihada za Mataifa na Bara katika kutokomeza vitendo vya kikatili dhidi ya Watoto, Kamati ya Wataalamu wa Haki na Ustawi wa Mtoto Afrika (ACERWC) inasema vitendo hivyo vinaendelea kushamiri

Maadhimisho ya Mwaka 2022 yanaangazia vitendo vya kikatili vinavyowakabili Watoto katika maisha yao ya kila siku, na tathmini ya hatua zilizofikiwa kuhakikisha Watoto wanalindwa

Vitendo vya Ukatili huwaathiri Watoto Kimwili, Kisaikolojia, Kijamii na hata Kiuchumi, na kuwakwamisha kushiriki kikamilifu katika jamii

Ndoa za Utotoni, Utumikishwaji Watoto, Ukeketeji, Usafirishaji Haramu wa Watoto ni baadhi ya vitendo vinavyotajwa kuathiri Watoto, na kuwanyima fursa ya kuamua mustakabali wa maisha yao

Wito umetolewa kwa Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) kuchukua hatua stakihi kukabiliana na vitendo hivyo ambayo vinakiuka Haki za Watoto

=======

The theme of the Day of the African Child (DAC) 2022 is ‘Eliminating Harmful Practices Affecting Children: Progress on Policy and Practice since 2013’. The African Committee of Experts on the Rights and Welfare of the Child (The Committee/ ACERWC), established in accordance with Articles 32 and 33 of the African Charter on the Rights and Welfare of the Child (the Charter/ACRWC) selected this theme for the commemoration of the DAC in 2022

The commemoration of the DAC is mainly to recall the 1976 uprisings in Soweto when high-school students in South Africa started protesting against apartheidinspired education resulted in the public killing of these unarmed young protesters by police officials

The commemoration of the DAC 2022 presents an opportunity to take stock of what has been done with regards to the adoption of policies and practices and reflect on what more needs to be done to effectively eliminate harmful practices affecting children in Africa. The DAC 2022 presents further an opportunity to review the status of harmful practices affecting children in Africa by highlighting the issues that African children are facing in their daily lives due to the harmful practices, and assess where we are toward the protection and assistance of children who are at risk and victims of harmful practices in Africa.

These reviews and assessments aim to inform relevant stakeholders who are working in the area of children’s rights on the continent in order to reinforce their efforts in addressing the obstacles related to harmful practices affecting children in Africa

The DAC 2022 also provides an occasion for Governments, UN Agencies, International Organizations, NGOs, CSOs and other relevant stakeholders to renew their ongoing engagements towards the protection and assistance of children affected by harmful practices through the organization of specific activities and programs to prevent, protect and assist children who are at risk and victims of harmful practices in Africa

The commemoration of DAC 2022 aims to re-evaluate the approaches, policies, programs and legislation that have been adopted by the Member States since the celebration of DAC 2013
 

Attachments

  • Concept-Note-of-DAC-2022-English.pdf
    753.8 KB · Views: 2

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom