Kabla haijaitwa Bahari ya Hindi, watu wa Afrika Mashariki waliitaje?

Lilikuwepo Kwa Kila mtu Na Kabila lake
Ndio jamaa kauliza, wenyeji wa mikoa ya pwani hasa Wazalamo na Wakwere walikua wanaitaje? Ingawa bado napata wasiwasi kuhusu asili ya hilo neno kwamba ni Uarabuni; remember baadhi ya maneno yanafanana though lugha ni tofauti so ni ngumu sana kujua nani alianza
 
Hili swali ni swali la muhimu sana na linaonesha kwamba kuna eneo linahitaji kufanyiwa utafiti kwa kina kwa kuanza kuzinfanyia tafiti hizi lugha za jadi za pwani ya africa Mashariki
 
Hili swali ni swali la muhimu sana na linaonesha kwamba kuna eneo linahitaji kufanyiwa utafiti kwa kina kwa kuanza kuzinfanyia tafiti hizi lugha za jadi za pwani ya africa Mashariki
Kwanini za pwani tu?? Vipi kuhusu zile za Kigoma na Mbeya?
 
Back
Top Bottom