Afrika leo tunasimama na Mexico kombe la dunia

Deleted01

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2018
Posts
3,883
Reaction score
8,992
Salaam to everyone, and Happy World Cup Holiday.

Kama ilivyo kawaida ya kwamba kila baya litalipwa hapa hapa duniani.

Leo kwenye World Cup mechi ya ufunguzi kati ya Mexico na South Africa, wa-Africa wengi kwenye social media platforms mbalimbali wameanzisha campaign ya kui-support Mexico against South Africa kutokana na mauaji yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika kwa raia kutoka nchi mbalimbali za Africa kutoka kwa raia wa South Africa, nchini South Africa.

It has been encouraged as well for fans watakao hudhuria mechi hio uwanjani ku-show up banners za ku discourage Xenophobic characters on SA in general.

I hope Mexico wins it by an infinite margin.
Happy Holiday, everyone.
 
Screenshot_20260611-090946.png
 
Salaam to everyone and Happy World Cup Holiday,
Kama ilivyo kawaida ya kwamba kila baya litalipwa hapa hapa duniani.
Leo kwenye World Cup mechi ya ufunguzi kati ya Mexico na South Africa, wa-Africa wengi kwenye social media platforms mbalimbali wameanzisha campaign ya kui-support Mexico against South Africa kutokana na mauaji yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika kwa raia kutoka nchi mbalimbali za Africa kutoka kwa raia wa South Africa, nchini South Africa.
It has been encouraged as well for fans watakao hudhuria mechi hio uwanjani ku-show up banners za ku discourage Xenophobic characters on SA in general.

I hope Mexico wins it by an infinity margin.
Happy Holiday everyone.
Wajinga Hawa wasouth,tuliwahifadi,wametugeuka,kwanza wavivu, cha pombe sana!
 
Salaam to everyone, and Happy World Cup Holiday.

Kama ilivyo kawaida ya kwamba kila baya litalipwa hapa hapa duniani.

Leo kwenye World Cup mechi ya ufunguzi kati ya Mexico na South Africa, wa-Africa wengi kwenye social media platforms mbalimbali wameanzisha campaign ya kui-support Mexico against South Africa kutokana na mauaji yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika kwa raia kutoka nchi mbalimbali za Africa kutoka kwa raia wa South Africa, nchini South Africa.

It has been encouraged as well for fans watakao hudhuria mechi hio uwanjani ku-show up banners za ku discourage Xenophobic characters on SA in general.

I hope Mexico wins it by an infinite margin.
Happy Holiday, everyone.
moja ya vitu vinavyotumika kuwapumbaza watawaliwa duniani ili wapoteze focus ya kufuatilia jinsi tabaka tawala linavyowalawiti ni mpira wa miguu.
 
Hata tuki focus, hatuna uwezo wa kupambana na watawala.
Last time y'all tried, Wadogo zetu wa kwenye foolish age wengi sana walipoteza maisha.
Let us enjoy our adulthood in peace, turidhike na hiki kidogo tunachopata, waiting for our D-day.
 
Back
Top Bottom