Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,967
- 35,668
Fikiria baba wa taifa wa Singapore kitabu chake kilikuwa na maono mpaka leo. Rais wa China mtu kabla ajashika uraisi lakini ana vitabu ambavyo china imefika hapo.
Mfalme wa Dubai ana vitabu ambavyo mpaka leo nchi imefika leo.
Hapo sija zungumzia ulaya,USA kama wengine .kwa urusi labda wanasayansi tu,wao zaidi ubabe,kuwa gachi,kugundua sumu gani itamaliza mtu na mtindo wa CCM.
Tuje sasa huku Afrika .Picha linaanza Rais anaomba msamaha kwa aliyofanya sababu kakaribia kufa.