TANZIA Dkt. Ibrahim Msabaha afariki dunia

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,447
7,827
1707823032580.png
Dr. Ibrahim Msabah(72) amefariki muda mfupi uliopita Muhimbili alipopelekwa baada ya kuzidiwa nyumbani kwake, Masaki Dar es Salaam. Katika uhai wake, Msabaha alishawahi kuongoza wizara ya nishati na madini mwaka 2006 mpaka 2007 kama waziri.

Dkt. Msabaha alikuwa rafiki wa karibu wa Hayati Edward Lowassa. Msabaha alijiuzulu uwaziri wa Afrika Mashariki mwaka 2008 pamoja na Nazir Karamagi aliyepokea mikoba ya wizara ya nishati kutoka kwa Ibrahim Msabaha kutokana na kashfa ya Richmond.


====== For English Audience ======

FORMER MINISTER DR. IBRAHIM MSABAHA DIES AT 72​
Former Minister of Energy and Minerals, Dr. Ibrahim Msabaha, has passed away on February 13, 2024, at the age of 72, while on the way from his home in Masaki, Dar es Salaam, to Muhimbili National Hospital.

His Sister, Pili Msabaha, confirmed his demise, noting his prolonged illness and frequent hospital visits.

Dr. Msabaha also served as the Minister of East African Cooperation and Member of Parliament for Kibaha Constituency
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom