Mzee Kennedy Kaunda amefariki mchana wa leo wakati akipatiwa matibabu kwenye hospital ya Maina
=====
MAISHA YA AWALI
Kaunda ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto wanane. Alizaliwa katika hospitali ya Misheni ya Lubwa katika kitongoji cha Chinsali, katika Mkoa wa Magharibi mwa Northern...
Taarifa zinaeleza kwamba amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Muhimbili alikolazwa tangu tarehe 13 June
========
MWIGIZAJI wa Kikundi cha Maigizo cha Kashkashi kinachorusha mchezo wao wa kuchekesha wa Mizengwe kupitia Televisheni ya ITV, Jumanne Alela almaarufu Mzee Matata...
Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo tarehe 12 Juni, 2021 baada ya kupata ajali eneo la Kawe.
Kwa wale wakongwe, utamkumbuka Fredwaa kwa lipi?
====
Dar es Salaam. Mwandishi wa habari Fred Fidelis maarufu Fredwaa amefariki katika ajali ya gari iliyotokea...
Wapendwa katika imani tumsifu Yesu kristo.
Father Baptist Mapunda wa Kanisa Katoliki Parokia ya bikra Maria Usagara Jimbo Kuu la Mwanza amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea huko Usagara nje kidogo ya jiji la Mwanza. Fr Mapunda alifikwa na umauti huo tarehe 3 ya mwezi huu na mazishi...
Wandugu,
Mwanasiasa mkongwe humu nchini bwana Christian mzindakaya amefariki dunia. Mzindakaya amefariki jioni hii katika hospital ya taifa ya Muhimbili ulipokuwa akipatiwa matibabu.
Wakati wa uhai wake bwana Mzindakaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali ikiwemo kuwa mbunge wa Sumbawanga kwa...
Mhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, Temitope Balogun Joshua, maarufu kama TB Joshua amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 57
Amefariki saa chache baada ya kumaliza Huduma ya kichungaji katika Kanisa lake Jijini Lagos
Ni mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nation (SCOAN)...
Mama Vicky Nsilo Swai mwenye historia ya kuhifadhi nyumbani kwake viatu vya mpigania uhuru wa Afrika ya kusini hayati Rais Nelson Mandela mwaka 1962 amefariki dunia.
Pia soma
- https://www.jamiiforums.com/threads/vicky-nsilo-swai-i-kept-mandelas-boots-for-33-years.566731/
Rais wa kwanza...
Habari za kusikitisha kutoka zambia,mke wa mchezaji nguli wa simba sc amefariki dunia.
===
#ZSUpdates is saddened to learn the passing of Chipolopolo boys midfielder Clatous Chota Chama's wife Mercy Mukuka Chama. Our thoughts and prayers are with Chama and Mukuka's family.
Mwanaharakati Renatus Mkinga afariki, alikuwa mjumbe wa bodi ya Tasac iliyovunjwa na mama Samia mwezi uliopita.
Source: TPA
=========
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TPA Bw Renatus Mkinga amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili usiku wa kuamkia tarehe 25 Mei, 2021. Atakumbukwa...
Mtu mmoja ambaye amebainika kuwa ni mganga wa jadi, Robert Masumbuko, amefariki dunia mkoani Tabora wakati akijaribu kuwaaminisha wateja wake kwamba ana uwezo wa kuwapatia kinga dhidi ya sumu yoyote ambayo mtu anaweza kuinywa pasipo kudhurika.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Safia Jongo...
Mzee Shareef Al Ahdal ambaye ni Baba Mzazi wa Sheikh Nudreen Kishk na Shareef Abdurgadil Al Andal amefariki majira ya saa sita mchana Wilayani Temeke
Mazishi yake ni leo baada ya alasiri na ataswaliwa Masjid Maamur.
Atazikwa makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam.
Mtanzania digital
Director of Ops mstaafu wa Air Tanzania Captain, Narzis Mapunda jana asubuhi tarehe 23/05/2021. RIP Capt. Mapunda.
=====
Mwaka 2019 Kapteni Mapunda ambae ni rubani mstaafu alitunukiwa tuzo na Rais Magufuli kwa uzalendo wa kutorosha ndege ya Tanzania baada ya kuvunjika iliyokuwa Jumuiya ya...
Jenerali Tumainiel Kiwelu amefariki tarehe 18 Mei 2021 na atazikwa shambani kwake Mbezi Luis Dar es salaam tarehe 22 May 2021
Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe.
Pia soma
- Historia ya Jenerali Tumainiel Kiwelu
Mkazi maarufu wa mjini Morogoro, Hassan Bantu pichani chini amefariki dunia jana katika hospitali ya Muhimbili alikopelekwa baada ya kuugua kwa muda mfupi:
Hassan Bantu alikuwa mfanyabiashara maarufu mzawa baina ya wengi wenye asili ya kiasia mjini humo.
Katika kipindi chake, Bantu amekuwa...
BURIANI BABA, RAFIKI NA MZUNGUMZAJI WANGU BALOZI ABBAS KLEIST SYKES
Mwezi October 1999 nilikuwa Dubai na nikikaa Carlton Hotel.
Siku moja jioni simu yangu ikalia.
Walikuwa BBC London Idhaa ya Kiswahili wanataka kunihoji kuhusu Mwalimu Julius Nyerere ambae wakati ule alikuwa amelazwa St...
Mkurugenzi Mtendaji wa Montage, Teddy Mapunda amefariki muda mfupi uliyopita baada ya kuugua ghafla wakati akipata futari na wenzake hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam na kukimbizwa hospitali ya Aga Khan.
Machi, 2012, alichaguliwa kuwa mmoja ya wajumbe watano waliounda Bodi ya Wakurugenzi ya...
Mfanyabiashara Haroon Zakaria amefariki hii leo. Anamiliki makampuni kadhaa ikiwemo Murzah Oil mills, Zan fast ferries , majipoa Nk.
Mwenyezi Mungu ailaze mahela pema peponi roho yake.
Jeshi la Chad limetangaza kuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Deby amefariki baada ya kupata majeraha kwenye mapambano dhidi ya waasi.
Deby alienda mwishoni mwa wiki kuvitembelea vikosi vya nchi hiyo ambavyo vinapambana na waasi kaskazini mwa nchi hiyo. Waasi hao wamevuka mpaka wakitokea Libya.
Kifo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.