afariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Naibu IGP, Major General Paul Lokech afariki dunia kwa mgando wa damu

    22 August 2021 Kampala, Uganda NAIBU IGP WA JESHI LA POLISI UGANDA AFARIKI GHAFLA Naibu Inspekta jenerali wa polisi wa Uganda Major General Paul Lokech amefariki ghafla siku ya ijumaa iliyopita. Uchunguzi wa kitabibu wa vifo umebaini kuwa marehemu Maj Gen Lokech umetokana na chembechembe za...
  2. J

    TANZIA Johara Mtei, Mke wa Mzee Edwin Mtei na mkwe wa Freeman Mbowe afariki dunia

    Mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe amefiwa na mama wa mke wake ambaye ni mke wa mzee Edwin Mtei. Poleni sana familia ya Mbowe na Mtei. RIP mama Mtei
  3. P

    TANZIA Mwalimu Alex Kashasha, mchambuzi nguli wa Soka afariki dunia

    Mchambuzi nguli wa habari ya michezo maarufu kama mwalimu Kashasha amefariki dunia hivi punde alipokuwa amelazwa hospitali ya Kairuki. Chanzo mimi mwenyewe niko eneo la tukio. ---- Mchambuzi nguli wa soka nchini Tanzania, Mwalimu Alex Kashasha amefariki dunia leo Agosti 19, 2021 akipatiwa...
  4. Informer

    TANZIA Mzee ASAS (CEO wa ASAS Group of Companies) Alhaj Faraj Ahmed Abri, afariki dunia

    DEATH ANNOUNCEMENT ‎إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون "Surely we belong to Allah and to Him shall we return". It is with sadness that we share the news of the demise of ALHAJ FARAJ AHMED ABRI MZEE ASAS ) CEO of ASAS GROUP OF COMPANIES Who Passed away In Dar es salaam today Friday 13th...
  5. B

    TANZIA Profesa Justinian Anatory afariki dunia

    Aliyekuwa Naibu Makamu Mkuu Mipango, Fedha na Utawala katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya, Profesa Justinian Anatory amefariki dunia. Profesa Anatory ameacha alama zake za kitaaluma UDSM na UDOM aliko pitia akilisukuma gurudumu la maendeleo mbele. Bwana alitoa, bwana ametwaa...
  6. Elitwege

    TANZIA Mmiliki wa Peacock hotel, Joseph Mfugale afariki dunia

    Joseph Mfugale ambaye alikuwa mmiliki mwenza wa Peacock hoteli amefariki dunia leo asubuhi. ======== Mmiliki wa hoteli ya Peacock, Joseph Mfugale amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam. Mmoja wa ndugu za Mfugale aliyetajwa kuwa msemaji wa familia, Expedito Mfugale alipoulizwa kuhusu taarifa...
  7. Tusker Bariiiidi

    TANZIA Fredrick Shoo (FRESHO) Mmiliki wa Kampuni Tanzu za FRESHO INVESTMENT LIMITED Afariki

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Fresho Investment Company (1999) Ltd ya Mjini Shinyanga Fredy Shoo maarufu Fresho amefariki dunia siku ya Jumatano Julai 28,2021 wakati akiendelea kupata matibabu jijini Dar es salaam. Mwekezaji Mzawa Fredy Shoo ndiye mmiliki wa kiwanda cha kuchambulia pamba , kiwanda...
  8. Shujaa Mwendazake

    TANZIA Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kusini Unguja "Mzee Kichupa" afariki Dunia

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko, majonzi na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Ali Abdallah Maarufu (Mzee Kichupa) kilichotokea Jumanne 27 Julai, 2021 katika Hospital Kuu ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
  9. Shujaa Mwendazake

    TANZIA Sophia Nyerere, Mjukuu wa Baba wa Taifa afariki Dunia

    Sophia Nyerere, ambaye ni Mjukuu wa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, amefariki dunia leo Jumanne katika Hospitali ya Mzena mkoani Dar es Salaam, alipokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu. Marehemu Sophia ni Mtoto wa John Nyerere. ==== SOPHIA Nyerere, ambaye ni mjukuu wa Baba wa...
  10. Analogia Malenga

    Mwanamume anayeshutumiwa kwa kumshambulia Rais wa Mali afariki dunia

    Mwanamume anayetuhumiwa kujaribu kumdunga kisu rais wa mpito wa Mali, Assimi Goïta, wiki iliyopita amekufa hospitalini akiwa chini ya ulinzi, serikali inasema. Mshambuliaji huyo, ambaye hajatambuliwa, alikamatwa baada ya kushindwa kutekeleza jaribio lake, ambalo lilifanyika wakati Bwana Goïta...
  11. Analogia Malenga

    TANZIA Baba mdogo wa Freeman Mbowe afariki dunia

    Familia ya Freeman Aikael Mbowe wametangaza kifo cha Baba Mdogo wa Mbowe aitwaye Manase Alphayo Mbowe aliyefariki baada ya kupata mshtuko baada ya kupata taarifa za mwanaye kutuhumiwa Ugaidi Amefariki Hospitali ya Machame Julai 23, alikopelekwa baada ya kupata mshtuko Freeman Mbowe ametuhumiwa...
  12. Superbug

    Afisa elimu mkoa wa Geita afariki ghafla kikaoni

    Afisa elimu mkoa wa geita Julius Nestory amefariki ghafla kikaoni. Taarifa zitawajia punde. === Ofisa Elimu Mkoa wa Geita, Julias Nestory amefariki ghafla wakati akiwa kwenye kikao na maofisa elimu wa wilaya kilichofanyika katika Shule ya Sekondari Nyankumbu iliyopo mjini Geita. Mganga...
  13. Jile79

    TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

    Ni Mjasiriamali maarufu Mlowo Mbozi mkoani Songwe ambaye pamoja na mambo mengine alikuwa anamiliki kiwanda cha kukoboa kahawa ktk mji wa Mlowo kafariki kwa ajali usiku wa kuamkia leo Morogoro. Alikua pia maarufu kwa jina la FULL DOZE na GDM Bwana ametoa bwana ametwaa. Jina lake libarikiwe
  14. simplemind

    Hilary Ng’weno, mwana habari bingwa Kenya afariki

    Atakumbukwa hasa kwa jarida la siasa the weekly review miaka ya themanini na Documentary Making of the Nation inayooneshwa na kituo cha NTV Kenya. Mkenya wa kwanza kujiunga na chuo cha havard marekani aliposome fizikia(Nuclear physics) Mungu amlaze pema peponi. --- Hilary Ng’weno, the...
  15. Suley2019

    Richard Donner gwiji filamu za 'Superman' afariki

    Richard Donner, mtengenezaji gwiji wa filamu na ambaye aliongoza filamu maarufu za "Superman", "The Goonies," na nyingine zilizotamba, amefariki dunia jana Jumatatu akiwa na miaka 91, vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti. Kazi nyingine za Donner ni pamoja na filamu ya kutisha ya mwaka 1976...
  16. Dumas the terrible

    TANZIA Njombe: Anthony Mwandulami Afariki Dunia. Alijijengea kaburi la mamilioni ya shilingi

    Dokta Anthony Mwandulami mganga maarufu kutoka Kijiji Cha Itunduma kitongoji Cha wangama Kata ya Mtwango mkoani Njombe Afariki Dunia usiku wa Jana jijini Dar es Salaam. Mganga huyo aliyejipatia umaarufu nchini baada ya kujijengea kaburi lake la mamilion ya fedha ambalo alisema atazikwa yeye na...
  17. Linguistic

    Meneja Wa Msanii Davido Afariki Dunia

    Wakuu, Manager wa Mwanamuziki DAVIDO aliyejulikana kama OBAMA na maarufu sana kwenye viunga vya Lagos nchini Nigeria amefariki ghafla baada ya moyo kusimama kushindwa kupumua.. Apumzike kwa Amani Mjuba OBAMa p
  18. The Sheriff

    Ruvuma: Mwalimu afariki kwenye ajali ya gari, wengine 11 wakiwemo wanafunzi wajeruhiwa

    Mwalimu Jumanne Makandilu amefariki dunia huku watu wengine 11 wakiwemo wanafunzi 7, wakazi wa Mkoani Songwe wakijeruhiwa baada ya gari waliyopanda kutumbukia kwenye korongo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wakati wakitoka Kwenye Michezo ya UMITASHUTA na UMISETA Mkoani Mtwara. Chanzo: ITV
  19. Musoma Yetu

    TANZIA DR. Theophir Kayombo afariki dunia

    Aliekuwa mgombea ubunge kupitia hatua za awali za kupata kupeperusha bendera ya c.c.m Musoma mjini Dr. Kayombo afariki ktk hospital ya Mkoa wa Mara alfajiri alipokuwa akipata matibabu. Kayombo the Dr. alikuwa maarufu sana pale alipoimbwa na mwanamziki Bestnaso! Kesho mwili utasafirishwa...
  20. U

    TANZIA TANZIA: Daktari Bingwa Mishipa ya Fahamu na Ubongo Ronald William Hodge Afariki Dunia

    Mwendazake alihudumu akiwa Daktari Bingwa wa Mishipa ya Fahamu & Ubongo (Neurologist) Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando
Back
Top Bottom