afande

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania 'Afande' aliyeagiza binti wa Yombo abakwe pamoja na mtuhumiwa wa 5 wako wapi? Kwanini wanamlinda kiasi hiki?

    Wakuu mpo salama? Jana (August 19) tulishuhudia mengi back to back, huku RPC akahamishwa nkule watuhumiwa wakafikishwa mahakamani, lakini kwaini watuhumiwa wanne? Walikuwa 6 ikiwemo na yule aliyetambulishwa kama 'afande' pamoja na mtu wa 5, ambako kwenye video watano wote walionekana. Sasa huyu...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Afande Sele awachana CHADEMA

    Sikiliza Afande Sele alivyowashukia CHADEMA hapa; "Nyie wapumbavu lazima muongeleswe kipumbavu, machadema nyie ni mapumbavu kabisa kabisa bora vyama vingine vijipange vitaitwa upinzani sio nyinyi wapumbavu. Nyinyi wapumbavu ndio tulikuwa tunaongea pamoja tukiwa CHADEMA, tunajenga CHADEMA mimi...
  3. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Hivi unakumbuka kwanini P Funk aliwahi mchapa vibao Afande Sele?

    VISA na MIKASA SIKU P FUNK alipomchapa Makofi AFANDE SELE… Turudi nyuma kidogo, Miaka zaidi ya 18 iliyopita na Ilikuwa ni kipindi kifupi tangu P funk aanze kufanya kazi na Afande. P anasema miezi kama miwili nyuma ya siku hiyo ya tukio alikuwa na Sele, alimpatia wimbo mmoja na sele akaahidi...
  4. UKWAJU WA KITAMBO

    JamiiForums Tanzania Album ya Mkuki Moyoni ya Afande Sele

    AFANDE WA MOROGORO MFALME WA TANZANIA. Toka mwaka 2002 mpaka sasa 2022 ni miaka 20 imepita toka album ya "mkuki moyoni" toka kwa Afande Sele izame sokoni. Mwaka 2004 hii album kwa uzito wa nyimo zake ilitosha kabisa kumtangaza mfalme wa rhymes ni Afande Sele. Mkuki moyoni ni miongoni mwa...
  5. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi mstaafu, Saba Sita anafukuzana na kivuli cha mauti yake

    Huyu askari mstaafu Kimaro a.k.a Saba Sita, anafukuzana na kivuli chake cha mauti. Siyo rahisi kwa mila za kiafrika, kukikaribisha kifo kwa bashasha na kimipango kama huyu Saba Sita anavyofanya. Mauti yake yamemkaa akilini kisawasawa na hafikirii kitu kingine cha maendeleo. Huyu Saba Sita...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

    Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma. Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba ndani ya Miezi hii Miwili Muuaji Rakesh Kato Mayele ( alias ) Rasta Kato au Rasta Mayele ( Dereva...
  7. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Tunapofunga mwaka ingekuwa vizuri kama afande waitara na samuel kiboye wangepatana

    Kuna vurugu CCM Mara ambazo zinasababishwa na watu kukitafuta kiti cha ubunge cha 2025. Kwa hiyo inatokea hali kwamba watu wanatukana,pia hawasiti kushambuliana kwa silaha. Ni jambo baya. Kama alivyokuwa anasema Mhe.Kiboye,"Sisi wore ni CCM,kwa nini tunagombana.?" Nawaomba hawa watu watanzue...
  8. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kipozeo amshukia Afande Sele kuhusu kifo cha Magufuli

    Sheikh Kipozeo amshukia Afande Sele kuhusu kifo cha Magufuli. Sitii langu hapa kwa sasa, jionee mwenyewe: Chanzo: https://youtu.be/_rImiIvDHnI?si=jVvGaHv0PVX-7CeH
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

    Afande ( Luteni Kanali ) aliyeuawa jana Kawe Jirani na Baa maarufu ya Bombardier anaitwa Muna. Marehemu ni Mkazi wa Mkoa wa Singida. Marehemu Afande Luteni Kanali Muna alikuwa kapandishwa Cheo na alikuwa anaenda kuwa Mkuu wa Kikosi Mkoani Arusha na leo Ijumaa ndiyo alikuwa anatakiwa Kuripoti...
  10. central midfielder

    JamiiForums Tanzania Songa na Afande Sele

    Kwenye LET IT BE, Kuna line SONGA anachana anasema ''Sele atabaki afande mfalme Hashimu Dogo'' Kweli Hashim Dogo unaweza kumuweka mzani mmoja na AFANDE SELE? Au SONGA Alimaanisha nini???
  11. Scars

    JamiiForums Tanzania Afande Sele tushike lipi sasa mbona unatuchanganya?

  12. R

    JamiiForums Tanzania Afande Wambura soma kesi ya Machano vs Republic hapa chini ujiridhishe ni elements zipi zinaweza kufanya treason

    S.M. Z versus Machano Khamis Ali and 17 Others; Criminal Application No 8 of 2000: Court of Appeal of Tanzania at Zanzibar (Unreported). Criminal Law Treason – whether or not treason can be committed against the Revolutionary Government of Zanzibar. Treason – what are the elements of offence...
  13. BUSHU3

    JamiiForums Tanzania Afande Rama aachiwa huru, Jamhuri yashindwa kutoa uthibitisho. Amwaga chozi mahakamani

    Mahakama ya Mkoa wa Vuga mjini Unguja imemwachia huru mshtakiwa Ramadhan Ali maarufu kama Afande Rama aliyekuwa akikabiliwa na mashtaka ya kuingiliwa kinyume na maumbile. Afande Rama ameachiwa huru baada ya hakimu wa mahakama hiyo, Khamis Simai kudai kuwa mshtakiwa hana hatia chini ya kifungu...
  14. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Nini kilikua chanzo cha ugomvi wa Afande Sele na O Ten?

    Kipindi bifu limeiva Oten alimuimba Sele Kwenye wembo wa Mimi, Oten anaimba kwamba! Nilizaliwa Morogoro, hata siku nikifa maiti yangu iende Mor. Naweka wazi adui yangu asinizike, hata muhuni yoyote asiyenipenda asisogee. Kama vipi itupeni maiti yangu porini wale tai, muone mimi sifai. Kama...
  15. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Afande Kagame: Wanajeshi huwa hawalalamiki?

    Afande Kagame siku nyingine najua unapitia pitia mitandao ya kijamii ya Watanzania iliyoandikwa kwa lugha za Kiswahili ama Kingereza kama Jamii Forums na kadhalika. Afande najua hupendi kuulizwa maswali ila mimi ngoja nikuulize swali, mbona unakuwa muoga wa kurudi frontline kupambana na haya...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Safari ya maisha na mikasa mizito ya Msanii Afande Sele

    Sikumfahamu, nilimuona ni mwanamke tu amekaa sebuleni, nilimsalimia na kuendelea na shughuli zangu naye aliniangalia bila kusema chochote, hivyo ndivyo nilivyokutana na mama yangu mzazi kwa mara ya kwanza,” anaanza kusimulia Afande Sele katika mahojiano maalumu na gazeti hili akiwa nyumbani...
  17. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

    Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia macho masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa...
  18. miamiatz

    JamiiForums Tanzania Poem: Dear Afande, Why did you do that?

    Dear Afande, why did you do that, To humiliate the police force, was that your act? Did you forget the oath you took, To serve and honor, not to humiliate. The force you represent is one of pride, Yet your actions tore that image apart, You left many with a bitter taste inside, And the trust...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Afande Muliro kuwa askari isiwe sababu ya kuvua ubinadamu. Ina maana unajitoa fahamu juu ya vipigo vya polisi?

  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mashujaa wa taifa hili mwezi huu afande mtarajiwa Majaliwa na Yangaa mmenikosha sana

    MUNGU Awabariki KUJITOA KUNA BARAKA ZAKE THX ENGN THX MAJALIWA THX DAR YOUNG AFRICANS
Back
Top Bottom