Na uhakika kabisa Afande C.J Tesha ambae leo ametrend kwenye mitandao ya kijamii yuko nchini.
Na kama yuko nchini basi ni ujasiri wa aina Yake huko ndo kujitoa mhanga.
Andrew Nyerere tu ile statement yake Rais hakaribishwi Butiama akatembelewa.
Huyu jamaa kila ukiingia kwenye page yake ya instagram ni mwendo tu wa kumsifia mke wake mpya. Pigo zile za kishamba kama za Manara.
Siku yakimkuta naamini atalia zaidi ya alivyolia kwenye msiba wa Magufuli.
Huu ni Ujumbe wa Msanii wa Bongo Fleva, Afande Sele kuhusu huduma ya Kituo cha Treni ya Mwendokasi (SGR) Mkoani Morogoro.
Afande ameandika "Time is Money. 🔨Muda ni Pesa.. Muda ni Mali.. Muda ni uchumi✊🏽Jamii ambayo haiwezi kuheshimu muda,isahau kupata maendeleo yoyote ya kijamii ukitoa...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amehoji wanasiasa wanaosema watalinda kura, akisema watalindaje na kwa sheria gani?
Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokuwa akihojiwa katika kituo cha televisheni cha Clouds TV jijini Dar es Salaam.
Kauli ya Oktoba Linda Kura...
https://www.facebook.com/share/r/1ATsucVFUU/VIDEO:
Msanii mkongwe wa muziki wa 'HipHop' nchini Selemani Msindi @afandesele1976 amesema hivi karibuni amekutana na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi ambapo miongoni mwa mambo aliyomweleza ni mashaka yake ya uwepo wa namba ndogo...
Askari wa Jeshi la Polisi, akifurahia hotuba ya Lissu kuhusu No Reforms No Election ambapo Lissu amegusia pia namna maaskari na watumishi wengine wa umma wanavyokutana na kikotoo baada ya kustaafu.
Kila mmoja atafikiwa tu na Lissu kwa namna yake. Lissu ndio habari ya nchi kwa sasa
Kama ni MTAZAMO sidhani kama alistahili labda Hit song ya Darubini Kali.
Historia kidogo.
Mwaka 2004, Mfanyabiashara Mwandishi wa Vitabu, Eric James Shigongo, alianzisha Shindano la kumtafuta Mkali wa kughani muziki wa Rap nchini. Shindano hilo aliliita "Mfalme wa Rhymes 2004".
Kupitia Kampuni...
Nina uhakika, naweza kusema hivyo, kama ungelimpigia simu kuwa Dr. Slaa unahitajika kituo fulani cha polisi, angelikuja.
Kwanini mnamkamata usiku wa manane .....Was there a need to arrest him at midnight?
Yes, he is a criminal suspect, but I guess his criminality is not that "grave" to...
AFANDE SELE FT BWANA SAM - MTU NA PESA
Verse ..1 ( afande sele)
Mtu na pesa hakuna mwanadamu asie jua maana ya pesa/ hata mwanangu Tunda hi leo ana ijua pesa/ tangu ana miezi tisa (9)/ maana kila kukicha anacheki inavyonitesa/ baba ake nateseka / mchana kutwa mbilika na usiku ni batashika/...
AFANDE SELE FT MR. NICE
( MIMI NA WEWE BASI)
CHORUS ( MR NICE)
Ahadi yangu mimi na wewe ilikuwa ni kuishi wawili/ ( afande sele) - "Aah"
Kwakuwa umebadilika mimi na wewe Basi /... ( Afande sele) - "Basi" ×2
Nakupenda sana na bado Roho yaniuma/ eeeh
Kwakuwa umebadilika mimi na wewe Basi/ ("...
Leo nimekumbuka mkasa mmoja uliotokea enzi ya awamu ya tano!
Ilikuwa ni Julai 16 ya mwaka 2019 Jumanne tulivu tu ndani ya jiji la Mwanza, ghafla Gereza Kuu la Butimba likapata ugeni wa Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli.
Basi baada ya maofisa wa juu kutonywa kuwa Rais angeweza kufika pale...
Wakuu
Katika tukio la kipekee Afisa wa jeshi la Polisi alijikuta akirekodi sehemu ya mkutano wa kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe alipokuwa akiwaombea kura wagombea wa chama chake kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, katika kijiji cha Nyankwi kata ya Busunzu, jimbo la...
K
ARATA DUME - AFANDE SELE
Alichoimba kwenye Karata Dume kilitimia !! Baada ya mtoto wa afande sele mwana Dada " Tunda" kubukua mitihani kidato cha 6 mwaka 2019, Afande Sele msanii mkongwe wa Bongofleva alichinja beberu na kusherehekea Tukio la mwanae Tunda kuchaguliwa kusoma chuo kikuu...
Unamkumbuka yule aliyekuwa mvuvi kijana Majaliwa aliyeokoa wahanga wa ajali ya ndege ya precision.
Baada ya lile tukio alipelekwa kwenye mafunzo ya kijeshi kikosi cha uokoaji.
Sasa hii ajali ya uokozi kila aliyeonekana anaweza kusaidia aliitwa akiwemo afande Majaliwa,katika jitihada za uokozi...
WATU PORI - NAFSI YA MTU.
Watu pori a.k.a washamba a.k.a washamba a.k.a washamba /nyani wapya msitu wa zamani beat mjerumani mambo yote kwa Bonnie/
Sikiliza haya ninayo kueleza leo na kesho usije kuyapuuza / kwenye mizizi ya Dhambi wivu ndio Unaongoza / kwa upande wa Mema upendo ndio wa...
Hello
Wengi huwa wanaomba nafasi mbalimbali katika vyombo vya ulinzi wengine wanakuja kufeli kwenye usahili kwa vitu vidogo vidogo ambavyo vinaweza kurekebishwa kabla ya usahili ila mnavipuuzia
Nafasi zinapotoka kunakuwa na ushindani mkubwa unakuta kila mtu anapambana mtu wake apite au apate...
Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo. Huyu ni afisa wa Jeshi la Polisi. Fatuma ndiye yule ‘afande’ aliagiza ‘JM’ abakwe na kulawitiwa.Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo ni msaidizi wa mkuu wa kituo cha polisi - Bunge (Dodoma). Ni afisa anayefahamika sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.