afande

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Afande Meki wa Oyster Bay Polisi, kwa kumrusha kichura babu yangu (73) lazima upatwe na la kukupata

    Afande Mecky, mwembamba mrefu na mweupe, ulikuwa bodyguard wa RPC, juzi umemusha babu yangu kichura na umri wake wa miaka 73. Mzee sasa anaumwa na hawezi hata kwenda kujisaidia haja ndogo. Sababu ya mateso yote hayo eti kapita kwenye nyumba za polisi. Sisi mambo ya shirki hatuna na hatuyajui...
  2. naliwe

    JamiiForums Tanzania Mpwapwa: Askari adaiwa kumpiga risasi mwenzie wakati wa kumkamata bodaboda

    Kwa hali isiyo ya kawaida, Askari aitwae NANGU amepigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na askari mwenzie kwenye harakati za kukamata bodaboda, tunaendelea kulifuatilia swala hili kwa ukaribu kwa maelezo ya kina.
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Magufuli alikopa na kufanya makubwa, sasa hivi wanakopa na hakuna linaloonekana

    "Unajua kwenye each one teach one hatupingi mikopo, lakini tunapinga aina ya mikopo na kile ambacho kinatumika kupitia hiyo mikopo. Yaani, hiyo mikopo ina impact gani kwa wananchi inayoeleweka. Ni kama vile wewe umeenda kwa bwasheee kukopa unga au mafuta kwa sababu watoto wako wale" "Sasa wewe...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TCRA yaipiga faini ya Tsh. Milioni 2 ZamaMpya TV (DarMpya), Maudhui ya Afande Sele kuhusu Tozo yatajwa

    Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA)imeiamuru ZamaMpya TV Online kulipa faini Shilingi Milioni Mbili (2,000,000) ndani ya siku 21 kufuatia kuchapisha hisiyo na midhania ya habari. Taarifa hiyo ilihusu maudhui ya Selemani Msindi (Afande Sele) ambayo yanatuhumiwa kuwa ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Tozo zimekuwa nyingi na hazionekani zinafanya kazi gani

  6. kyagata

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ni lini utateua Mkuu Mpya wa Magereza?

    Ni takribani mwezi mmoja sasa toka umuondoe aliyekua mkuu wa Jeshi la Magereza. Je, lini utateua mkuu mpya?
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Bondia Karim Mandonga alikuwa baunsa wa kundi letu, alipenda msosi kuliko bia

    Zamani bondia Karim Mandonga alikuwa 'baunsa' wa Watu Pori, kundi la Afande Sele. Alikuwa anapenda msosi kuliko bia, kila wenzake wakiagiza bia moja naye anaagiza sahani ya chips. Afande Sele anasema Mandonga mtu wa kazi kweli.
  8. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Hongera afande unastahili kupandishwa cheo

    Iringa. Licha ya kutengenezwa baada ya kuharibika, Jeshi la Polisi, Kitengo cha Usalama Barabarani, Mkoani Iringa limezuia basi la Kimotco lililokuwa limebeba wanafunzi 62 na walimu saba wa Shule ya Msingi Camaldoli wilayani Mufindi lisiendelee na safari. Jeshi hilo lilimelazimika kulizuia...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kinana akerwa na Utitiri wa Traffic barabarani. Atoa maagizo mazito kwa Afande IGP Camilius Wambura

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinanana amemshauri Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura kufanya tathimini ili kuona uwezekano wa kupunguza idadi ya Askari wa usalama barabarani ambao wanalalamikiwa na Wananchi...
  10. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania R.i.p Afande Nicholaus Lonjino

    Huyu ni mmoja wa maafande waliofariki katika ajali ya gari iliyoua wapiganaji wenzetu huko Kigoma. Pumzika kwa amani MP Nicholaus Lonjino, daima tutakukumbuka sana hasa ucheshi wako na uwezo wako wa kusakata kabumbu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CDF Jenerali Mkunda na Serikali kuhusu uendeshaji wa Shule za Jeshi

    Awali ya yote nampongeza sana Mhe. Rais wetu, mpendwa wetu Mama SAMIA SULUHU HASSANI kwa kazi nzuri anayoifanya na wasaidizi wake. Pia nampongeza sana aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya ulinzi mstaafu kwa kazi kubwa aliyoifanya na nampongeza sana Mkuu mpya mteule wa majeshi ya ulinzi kwa uteuzi wake...
  12. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kwa usalama wa nchi yetu, huyu afande anafaa kuwa IGP ajaye

    Habari za asubuhi wana JF wenzangu. Ndugu zang baada ya kufuatilia kwa makini utendaji wa kazi unaofanywa na jeshi la polisi, pamoja na mbinu mbalimbali zinazotumiwa na makanda wa jeshi hilo katika jitihada za kupambana na uhalifu nchini, hasa kwa mkoa wenye uhalifu mwingi kama Dar es...
  13. S

    JamiiForums Tanzania RPC Shinyanga anafanya kazi kwa weledi

    Leo nimeona taarifa ya Habari Itv afande ameyakamata na kuyapiga faini mabasi yote yanayotoka Mwanza kwenda Dar kwa kuzidisha Mwendo , vilevile amewakamata madereva 4 na kuwapeleka mahakamani kujibu mashitaka ya kuzidisha Mwendo kupindukia. Vilevile amewapa abiria elimu ya usalama barabarani...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Afande Veronica yupo barabarani kukusanya hela au kufilisi Raia?

    Salaam Wakuu, Polisi wana mbinu nyingi za kutengeneza mazingira ya Rushwa na kukupiga faini. Huwezi pona kwenye 18 zao, watatafuta kosa hadi walipate. Sitaki kusema Chuo cha Polisi Moshi (CCP) hawafundishi ila nadhani wanatakiwa kubadili Mitaala yao. Kuna vitu wanavifanya Polisi wetu hadi...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Video: Afande IGP Sirro anamjibu nani hapa?!

    Najaribu kuwaza, hapa Afande IGP anamjibu nani? Nikifiria zaidi nahisi kama anamjibu mama. Msikilize mama hapa 👇 https://www.jamiiforums.com/threads/nikisema-jeshi-la-polisi-halifanyi-kazi-vizuri-najibiwa.1967071/
  16. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi inayomkabili Mbowe na wenzake leo Februari 4, 2022. Kesi imeahirishwa. Shahidi wa 13 kuendelea kutoa ushahidi Februari 7, 2022

    Habari Wakuu, Leo 04/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuanza kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri kesi ya Mbowe 01/02/2022. Luteni Denis Urio amaliza kutoa ushahidi wake. Shahidi wa 13 kuanza 04/02/2022...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Shahidi wa michongo Afande Jumanne kuja na jipya lipi leo?

    Tunaona kila kitu kinavyoenda na kwa kweli sio mbaya kabisa kwani Mbowe akifungwa itakuwa ni chachu Zaidi ya mapambano kwani very soon we will see the right light! Leo Shahidi wa michongo Afande Jumanne anakuja kuendelea kutoa ushahidi wake wakati hata yeye anajua fika kuwa yeye ni Shahidi wa...
  18. barcelonista

    JamiiForums Tanzania Jay Moe vs Afande sele

    Wakuu kwema? tukutane hapa kidogo... Jay Moe(juma mchopanga) Pamoja na Afande Sele....Hivi hawa wote wakiwa kwenye kilele cha ubora wao nani hatari zaidi?.. NB: Hasa nyakati zile za Ulimwengu ndio Mama na Mkuki Moyoni... Nani zaidi Jay Moe vs Afande Sele. #Forgive Me
  19. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro achana na ukaguzi wa mafunzo ya kidini, staafu kwa fahari

    Bado naendelea kushtushwa na kitendo cha IGP kusema kua wana mpango wa kukagua mafunzo yalotolewayo na na taasisi za kidini humu nchini, watuambie kua Polisi huo ujuzi wameutoa wapi na wanaruhusiwa na sheria ipi kuingilia imani za watu? Afande Sirro mzee wangu unataka kufika mbali sana, staafu...
  20. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro viatu vimekupwaya mno, omba kupumzika

    Kulikuwa na haja gani ya kusema kuwa Polisi wataanza kukagua shule za dini zaidi ya kuleta taharuki na kuzalisha chuki? Kama Polisi inadhani kuna matatizo huko kwenye shule za dini, je mbinu sahihi haikuwa kuchunguza kimyakimya na kwa siri? Alafu bila aibu anasema eti amejifunza Rwanda! Kitu...
Back
Top Bottom