Neno "adhabu" katika Kiswahili linamaanisha pigo, mateso, au malipo anayopewa mtu kutokana na kosa alilofanya au kwa kuvunja sheria. Kwa lugha ya Kiingereza, lina maana ya punishment, penalty, au sentence.
Hili neno hutumika katika mazingira mbalimbali, kuanzia ngazi ya familia, shuleni, hadi kwenye masuala ya kisheria. Hapa kuna mifano ya matumizi yake:
1. Kwenye Sheria na Mahakama (Legal Penalties)
Mtu anapovunja sheria za nchi na kupatikana na hatia mahakamani, hupewa adhabu.
Adhabu ya kifo (Death penalty / Capital punishment).
Adhabu ya kifungo (Prison sentence).
Adhabu ya faini (Financial penalty / Fine)
2. Shuleni na Nyumbani (Disciplinary Actions)
Hatua zinazochukuliwa dhidi ya mwanafunzi au mtoto ili kumfundisha nidhamu anapokosea.
Kupewa adhabu: Mfano, "Mwalimu amewapa wanafunzi adhabu ya kufyeka nyasi kwa kuchelewa shule."
Kutumikia adhabu: Kufanya lile jambo uliloagizwa kama malipo ya kosa lako.
Dereva wa Treni iliyobeba watu 160 Nchini Japan anakabiliwa na adhabu baada ya kuachia nafasi yake kwa dakika kadhaa ili kwenda kujisaidia
Dereva huyo wa miaka 36 aliumwa tumbo na alihitaji kwenda maliwatoni haraka hivyo alimuita Kondakta asiye na Leseni ya Udereva, na kumuachia treni kwa...
Habari za asubuhi wakuu, poleni na pilikapilika na kutafuta liziki ya hapa na pale, sitaki kuongea mengi naomba nieleze kwa ufupi sana na naamini kwa walio pitia kadhia kama yangu watakuwa wanaelewa, nimekuwa kwenye mapenzi na binti kwa miaka 8 (nilianza nae mahusiano nikiwa o-level, advance...
Wito kwa CAF na FIFA wafwatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe Fundisho, kama kweli ratiba ilibadilishwa kwa sababu za itifaki ya kitabu kuwa kuna huduma zingine hii halikubaliki, kwani kabla ya hayo masaa 24 ratiba hiyo ya kiserekal ilikuwa haitambuliki?
Yani...
Waziri wa Elimu Prof.Joyce Ndalichako leo Bungeni tarehe 4 Mei 2021. Ameiagiza Bodi ya mikopo elimu ya juu kuondoa adhabu ya asilimia 10 ya mkopo inayotozwa na kwa wanafaika wa mikopo elimu ya juu wanaochelewa kulipa mikopo hiyo baada ya miaka miwili kupita tangu kuhitimu kwao chuo.
Kwaniaba ya...
Adhabu ya viboko shuleni bado ni halali katika nchi angalau 64! Watoto milioni 246 bado wanakabiliwa na unyanyasaji wa kijinsia Mwanafunzi 1 kati ya 3 huonewa & kunyanyaswa kimwili 50% huripoti vurugu kutoka kwa wenzi wao shuleni.
===========
Corporal punishment is a practice that remains...
Nilivyosafari kuenda kwenye shughuli zangu za biashara takriban mwezi moja na nusu, jana nilirudi nikakuta mke wangu hayupo kasafiri na kuenda kwa Dada yake kukaa huko na nyumbani hamna mtu yeyote kuna giza kote, nikakagua nyumba yote na Kigari changu nikaona vyote viko salama nikamshukuru Mungu...
Mwalimu mkuu ndiye mwenye mamlaka ya kutoa adhabu ya viboko au mwalimu mwingine ambaye atakasimishwa na mwalimu mkuu kwa uangalizi maalum.
Tukio la viboko kwa mwanafunzi sharti liwekewe kumbukumbu kwa kuandika jina la mwanafunzi, kosa alilofanya, idadi ya viboko na jina la mwalimu aliyetoa...
Wakati sakata la gesi ya Mtwara halijaisha CCM kupitia kwa Mwenyekiti wake Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete amesaini mktaba wa kujenga bandari nyingine huko Mbegani Bagamoyo Nyumbani kwa Rais, huku zile za Mtwara na Tanga zikiachwa hoi, CCM ikumbuke kuwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni kaburi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.