ada

1. Malipo ya Elimu (School/Tuition Fees)​

Hili ndilo matumizi makubwa na maarufu zaidi ya neno hili nchini Tanzania. "Ada" inamaanisha kiasi cha pesa ambacho mzazi, mlezi, au mwanafunzi anapaswa kulipa shuleni au chuoni ili kupata huduma ya elimu.
  • Mifano: Ada ya shule (School fees), Ada ya chuo (Tuition fees), Ada ya muhula (Semester fees).
  • Matumizi ya mitaani: Ukisikia Mtanzania anasema "Natafuta pesa ya ada," anamaanisha anatafuta pesa kwa ajili ya kulipia shule.

2. Malipo ya Huduma au Uanachama (Service/Membership Fees)​

Ada pia inatumika kumaanisha malipo yanayofanywa mara kwa mara (kwa mwezi, mwaka, n.k.) ili kupata huduma fulani, kibali, au kuwa mwanachama wa klabu/chama.
  • Mifano: Ada ya usajili (Registration fee), Ada ya uanachama (Membership fee), Ada ya leseni (License fee).
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bungeni: Serikali yapendekeza kufutwa kwa Ada ya kupewa Kadi mpya ya Mpigakura

    Akiwasilisha maelezo kuhusu Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023, Waziri Jenista Muhagama (Waziri wa Nchi, Bunge na Uratibu) amesema Serikali inapendekeza ibara za 12, 20 na 21 zifanyiwe marekebisho kwa kuongeza hali ya Ulemavu kuwa miongoni mwa taarifa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wanakerwa na Makonda ila wanataka madaraka; wamebaki kukimbizwa na misafara watoto wasikose ada

    Kanda ya Ziwa wanapiga kelele kuhusu Makonda na namna anavyolazimisha kila mtu atii na kuongozana naye kwenye misafara. Pamoja na elimu za viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya bado wamekuwa wakipeleka magari yao kwenye msafara kumpokea, kusimama jukwaa wapopolewe kisha wasindikize avuke...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wadau washauri kusiwe na Ada ya kupata Kitambulisho kipya cha Mpiga Kura iwapo cha awali kitafutika au kupotea

    JamiiForums , Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Jukwaa la Katiba (JUKATA), Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Taasisi ya Twaweza na Centre for Strategic Litigation (CSL) wametoa maoni kwenye Miswada ya Sheria ya Uchaguzi na kushauri kusiwe na gharama za kupata Kitambulisho kipya...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Wazazi ambao watoto wenu bado hawajapokelewa shule za English Mediums kwa sababu bado hamjalipa ada, pitieni hapa

    Amini nakwambia, hapa duniani kuna watu ambao wanahitaji kitu kimoja tu. Nacho ni mtu wa kuwaambia " hakuna tatizo kabisa endapo utafanya hivyo " au " usiogope" Miongoni mwa watu hao ni kundi la wazazi wanao struggle kuwalipia watoto wao ada kwenye shule za kulipia za kiingereza. Watoto...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Mawaziri wa Elimu na TAMISEMI, Shule ya Msingi Nyerere, Moshi kuna shida kubwa. Tunaomba mtusaidie

    Habari kaka? Sisi ni wazazi wa watoto wanaosoma shule ya msingi JK Nyerere, iliyopo Manispaa ya Moshi. Mwaka jana uongozi wa shule uliitisha kikao cha wazazi na kueleza nia ya serikali ya kuigeuza shule hiyo kuwa ya mchepuo wa kiingereza (English Medium school). Katika kikao hicho wazazi...
  6. JamiiForums Tanzania Kama unataka uuze gari, simu na vingine ili ulipe ada hamisha mtoto kwenda shule za Samia

    Ada zinasumbua sasa. Ukitaka kuuza kitu ulipe ada hapo unakosea sana! Magari, viwanja, nyumba, simu, pikipiki vinawekwa sokoni kwa kasi sana.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Sensa ya kwenye elimu ya chuo kikuu ila hawana ajira ikifanyika. Results zitabadili mtazamo wa wazazi kulipa ada mamilioni

    Habari wadau. Najaribu kuwaza ikitokea sensa ya wenye elimu ya chuo kikuu ila hawana ajira ikafanyika. Mtazamo wa wazazi juu ya elimu utabadilika sana. Kwa hali ya ajira ilivyo,,Ada za mamilioni tunazolipia watoto wetu ni bora tuwanunulie mashamba, mifugo, kuwajengea vyumba vya kupangisha etc...
  8. JamiiForums Tanzania HESLB imewanyima ada wanafunzi wa mwaka wa kwanza kada za afya wanaosoma "Private Universities"

    Ni jambo la kushangaza kidogo lakini hali halisi ndiyo iko hivyo. Wanafunzi wanaosoma vyuo binafsi kada za afya wamenyimwa "Ada" huku wale wanaosoma kada zingine mfano ualimu wakipewa japo kitu kidogo. Ndiyo mmewapa pesa ya kujikimu lakini kama mwanafunzi hawezi kujilipia ada yafaa nini...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Keneth Nollo: Serikali ifute ada Vyuo Vikuu

    Akichangia bungeni mbunge Keneth Nollo, amesema serikali ifikirie kuondoa ada kwa wanafunzi wa chuo nchini sababu umasikini na mkubwa na wengi hawawezi kumudu. Badala yake wanafunzi wa nje pekee ndio wawe wanalipa ada.
  10. JamiiForums Tanzania Kijana mwenye ndoto ya kujisomesha usiwe na haraka sana. Hiyo ada uliyojichanga izungushe kwenye biashara kwanza

    Mwaka 2015 nilipata Admission ya kwenda kusoma Masters kwenye ujasiriamali pale UDSM. Nilishapokea maelekezo yote ikabakia kulipa tu ada. Nilivyojicheki nikaona hadi wakati ule nilikuwa nina pesa ya kulipa ada na gharama zingine kwa mwaka mmoja tu. Hata kama Masters sio muda mrefu bado pesa...
  11. JamiiForums Tanzania Ni taratibu zipi zinatumika kupandisha ada katika taasisi na vyuo vikuu nchini?

    Habari za muda huu, Naomba kuuliza na kuhitaji kujua ni taratibu zipi zinatumika kupandisha ada katika taasisi na vyuo vikuu nchini. Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) IAE main campus kilichopo bibi titi road posta jijini Dar es salaam, wamekua na utaratibu wa kushtukiza na kupandisha ada...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Vyuo vinavyotoa Bachelor of Science with Education vyenye ada nafuu

    Habari ya asubuhi, naomba msaada wa vyuo vyenye ada nafuu kwa kozi tajwa hapo juu Mbarikiwe
  13. P

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya Ada Estate kuna mgao wa maji wa kimyakimya? DAWASA wakitafutwa hawatoi ushirikiano

    Wakuu, Nimekuja jamaa yangu maeneo haya ya Ada Estate, Kinondoni, Dar maji ni shida. Nadhani kuna mgao wa maji wa kimyakimya ambao hauna taarifa rasmi na DAWASA wapo kimya. Leo tuna siku ya nne maji yanatoka usiku tu na preshayake ni ndogo sana. Ukienda kwenye ofisi zao hawatoi ushirikiano...
  14. JamiiForums Tanzania Kutakiwa kulipa ada ya kidato cha tano

    Wanafunzi wa kidato cha sita waliomaliza Shule ya Sekondari Mbweni Teta iliyopo kata ya Mbweni wilaya ya Kinondoni mkoa wa Dar es Salaam wanapitia changamoto ya kunyimwa Result slip zao kwa kutakiwa kulipa Ada ya kidato cha tano ambayo Ilifutwa na serikali Ndipo wapewe slip hizo za matokeo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ada za malipo kwa M-Pesa Visa card

    Wakuu kwa anayetumia Vodacom M-Pesa Visa kulipia online naomba kujua ada ni asilimia ngapi. Nimeuliza customer care kupitia Whatsapp yao naambiwa ni 10%. Siamini kama ni ghali hivyo maana naona Safaricom ya Kenya wanachaji 3.5%. Zamani nilikuwa natumia Mastercard yao haikuwa ghali kiasi hicho...
  16. JamiiForums Tanzania Refund ya Ada chuo cha Mipango Dodoma, Mamlaka husika ziingilie kati

    Habari za Saizi wana jukwaa. Nimeleta mada hapa jukwaani nikiamini mamlaka husika wataona na kulishughulikia haraka. Ni zaidi za miezi kadhaa imepita dogo alinigusia habari kuwa alikuwa amelipa ada na amemaliza ada yote lakini baadae alikuja kujua kuwa bodi pia walimlipia kiasi cha ada, na...
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Uongozi wa UDOM unazuia matokeo ya mitihani kwa Wanafunzi ambao tumecheleweshewa malipo ya ada kutoka Bodi ya Mikopo

    Kuna kitu kinaendelea Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baadhi ya Wanafunzi wanaolipiwa hela na mkopo na Bodi ya Mikopo (HESLB) wamefungiwa matokeo yao na chuo kwa madai Bodi haijaingiza pesa za ada chuoni. Hivyo, uongozi wa UDOM umewataarifu Wanafunzi kuwa walipie wenyewe ada direct na kama bodi...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded TCU tunaomba msaada, Chuo cha St. Joseph kinatoza ada na direct costs kwanza ndipo uweze ku-confirm udahili wako

    Leo tarehe 25.08.2023 TCU wametoa majina ya wanafunzi wa kidato cha sita waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali. Kama inavyojulikana, kuna ambao hupata "multiple selections", yani mwanafunzi mmoja anadahiliwa na vyuo zaidi ya kimoja kwa kozi tofauti au kwa kozi ileile. Hii ni stage ambayo...
  19. JamiiForums Tanzania Vyuo Ulaya au America vinavyotoa certificate kwa ada nafuu

    Ndugu zangu naomba mnisaidie majina ya vyuo ulaya au US vyenye ada nafuu kwa kozi za muda mfupi. Viwe kwenye European Union kwa ulaya kama Scandinavia etc. Nataka nipambane nikasome majuu.
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Malalamiko yaendelea kuhusu malipo ya 'Mchango wa Uendeshaji wa Shule Tsh 65,000' licha ya Serikali kufuta ada

    Ujumbe wa Mdau ambaye mtoto wake anasoma kidato cha Tano katika Shule ya Sekondari Ruvu ametoa povu: Jamani tusaidieni kupaza sauti. Tuliambiwa ada ya shule zimeondolewa lakini bado wazazi tunatakiwa kulipa Tsh. 65,000/= kama pesa ya uendeshaji ili hali fomu ya kujiunga inamtaka kwenda na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…