Hili ndilo matumizi makubwa na maarufu zaidi ya neno hili nchini Tanzania. "Ada" inamaanisha kiasi cha pesa ambacho mzazi, mlezi, au mwanafunzi anapaswa kulipa shuleni au chuoni ili kupata huduma ya elimu.
Mifano:Ada ya shule (School fees), Ada ya chuo (Tuition fees), Ada ya muhula (Semester fees).
Matumizi ya mitaani: Ukisikia Mtanzania anasema "Natafuta pesa ya ada," anamaanisha anatafuta pesa kwa ajili ya kulipia shule.
2. Malipo ya Huduma au Uanachama (Service/Membership Fees)
Ada pia inatumika kumaanisha malipo yanayofanywa mara kwa mara (kwa mwezi, mwaka, n.k.) ili kupata huduma fulani, kibali, au kuwa mwanachama wa klabu/chama.
Mifano:Ada ya usajili (Registration fee), Ada ya uanachama (Membership fee), Ada ya leseni (License fee).
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA. Amos Makalla, amebainisha kuwa hadi zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu ndani ya CCM limekamilika siku ya jana Julai 2, 2025, jumla ya wanachama 5,475 walichukua fomu za ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar...
Wanabodi,
Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo
Mada ya leo ni kuhusu "Ada ya Mja Hunena, Muungwana ni Kitendo", nikiuliza je tuache ushindani wa haki kwa wagombea wa ukweli wenye kuleta ushindani, ili tusimshindanishe na vivuli!, ili kuziacha ada za mja huyu ndizo zimnenee hiyo October...
Uanzishaji wa Vyanzo vya Mapato kwa Ajili ya Kudhibiti Maambukizi ya Ukimwi na Kugharamia Bima ya Afya kwa Wote
Kutoza magari na mashine (heavy machines) zinazoingizwa kutoka nje ya nchi kama ifuatavyo: Shilingi 50,000 kwa magari yenye ukubwa wa injini (CC) kati ya 0 -1000; Shilingi 100,000 kwa...
Yule uliemuua ili uchukue pesa zake pale benki..
Ndugu zake walimzika kwa vilio, na Dunia nzima ililaani kitendo kile..
Yule bondia mwenzio ulingoni, uliempiga mpaka akazimia..
Mkewe alipiga kelele akiwa nje, na kusema bado yupo pamoja na mumewe..
Yule rafiki yako mwanfunzi mburula...
Habari Wana Jamii,Sina maneno Mengi ni hii bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.
Huu ni mwaka wa pili mwanangu anaomba mkopo anakosa!Cha ajabu anapoomba,lazima atoe mchango wa mkopo,ambao unaenda na haurudishwi!Ifikie wakati ukikosa urudishiwe hiyo hela ya maombi au kama unaomba kwa mara...
Leo nimejaribu kuingia katika tovuti ya MillardAyo.com na nimepata ujumbe huu:
Overdue Hosting Payment - Site SUSPENDED!
This website is down due to the client's failure to pay for hosting for the past 5 years.
It will be back online once this is resolved!
Kama ni kweli kwanini Millard Ayo...
Tangazo hilo hapo
By the way, ada ya law school ni kiasi gani?
My Observation...kozi zote walizoziweka, unazisoma zote darasani 1st year to 3rd year. It is like a repetition..why that repetition?
Kwa sasa kibali kinatolewa kwa dola 20,000 ambacho wawekezaji wengi wanakimudu hivyo kufanya mbuga zetu kuzidi kuharibika na kuathiri asili yake. Kwa mujibu wa muongoza watalii Simon Sirikwa ni kuwa kwa sasa Serengeti imekuwa kama Ngarenaro. Majengo mengi na binadamu wa kutosha. Hii ina athari...
Mimi nimemaliza chuo kikuu cha iringa mwaka 2024 mwezi wa 7 na nishamaliza clearance lakini hela sijarudushiwa nimeandika mbaka barua lakini wapi na ho hela nataka nifanye mtaji ajira hakuna sikuhizi kwa mwenye uzoefu au kama kuna msaada wa kupaza sautii maana hali ni mbaya na ninadai zaidi ya...
Watoto wangu nimewaamishia Mlimani primary school iliyopo udsm ambayo ni english medium primary school inayomilikiwa na serikali
Siamini kabisa kwenywe primary schools zinazomilikiwa na watu binafsi
private school Nilikuwa nalipishwa Ada milioni 2 kwa mwaka , halafu walimu wanaomfundisha...
Benki ya CRDB wamekuja na huduma mpya inayoitwa Ada Loan. Ni bonge la ubunifu, lakini tatizo ni kwamba maafisa masoko wameifanya kuwa huduma ngumu sana kwa mteja kuipata.
Mfumo wa benki unazitaka shule zioanishe mfumo wa shule na mfumo wa CRDB ili mteja alipiwe ada ya mtoto wake.
Shule nyingi...
Ninamshangaa yeye na walio nyuma yake kwa kupinga mchakato wa uteuzi wa mwenyekiti kuwa mgombea wa urais uchaguzi 2025....
Niwafikirishe hivi ;
Ikiwa utaratibu wa "awamu mbili" ni ada na kawaida isiyo ndani ya katiba iweje leo tuikimbilie KATIBA ya chama kwa kuwahoji wale walioisigina ...
huu ni ukweli mchungu.
tazama mwenyewe video uone ubora wa shule hii ya msingi ya serikali wanaiita kayumba english medium. inayoitwa Mikongeni primary school iliyopo gongo la mboto dar kisha linganisha na private primary school iliyo jirani na unapoishi ilivyo ama shule ya private...
Vitu vya kupewa Bure wewe unavinunua Kwa hela , hela yenyewe ndogo. Wenzako wanauziwa Dola elfu 30 Kwa mwaka wewe unauziwa Dola elfu moja Kwa mwaka. Huoni kwamba unapigwa?
Unazidiwa na wale wanaochukua bure Kwa sababu wamejipima wameona gharama halisi ni Dola elfu thelathini Kwa mwaka, hii Dola...
Je, mafanikio ya elimu hutegemea ada kubwa ya shule au mshikamano wa familia katika kukuza juhudi binafsi za mtoto?
Swali hili linaibuka mara nyingi, hasa tunapojadili tofauti kati ya shule za English Medium na zile za kawaida, maarufu kama Saint Kayumba. Wakati wengi wanaamini ada kubwa na...
Nimekutana na Winga karikoo anatema ung'eng'e umenyooka. Baada ya kuzoeana nae. Akanipatia CV yake nimsaidie kusaka kazi.
Kucheki CV ya winga huyo wa karikoo naona primary kasoma St marys, O level kasoma Shaban robert, A level kasoma Feza. Chuo pekee ndio kasoma chuo cha kayumba Udsm...
Dar es Salaam. Tarehe 7 Januari 2025: Katika kuukaribisha mwaka mpya 2025, Benki ya CRDB imezindua mikopo ya ada kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini kote. Mikopo hiyo inayoitwa Ada Fasta ni mwendelezo wa juhudi za Benki ya CRDB kukidhi mahitaji na matarajio ya wateja wake ili...
Ada tuweke 1.5 m
Uniforms, usafiri na vikorokoro vingine tuweke 1ml . Jumla milioni 2.5, mara 4 ni milioni 10. Hiyo ni minimum.
Hapo hatujagusa hizi International schools ambapo kwa miaka 4 hamna hamna milioni 20 inakwenda.
Form one mpaka form four nimesoma shule ambayo kulikuwa na wanafunzi...
Tuko hapa Machame, wilayani Hai mkoani Kilimanjaro na hivi, ndivyo tunavyozitumia pesa za kikoba cha mjomba.
Asitokee mtu wa kutaka kukipora kikoba chetu, labda akaanzishe chakwake.
Makamanda piiiipoooz (kwa sauti ya mjomba)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.